Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
hiki kigazeti wandishi wake wenyewe wana ilimu ya madrassa tu,Gazeti la Annuur la Ijumaa Agosti 6-12, ISSN 0856-3861 Na 902 limeandika katika ukurasa wa mbele kabisa kuwa Bunge lijalo kuwa la Usharika na Mchungaji atakuwa Spika Samuel Sitta.
Wanajenga hoja kuwa majina mengi yaliyopitishwa kwenye kura za maoni ni ya Kikristo na hata wale wa Upinzani waliopitishwa wengi ni wakristo.
Hivi vijarida vingine vinapaswa kufungiwa!
Mi naona kuna watu wanapenda fujo, na inawezzekana wanatafasiri vibaya maadili ya dini zao. Mtu naakili yako unapoteza muda kuandika hayo kweli ili iweje? Tuanze kupigana au nini? Its nonesense.
Kwani uwongo...waraka umesaidia sana mbona...?
Waraka upi, ule uliotolewa kwa kunakili ya wengine, na wakaongeza yao ya fujo na uchochezi kama huo wa gazeti linaloongelewa kwenye threadi hii?
Ukiona hakifungiwi ujue ni vuvuzela ya 'Dr.Mkwere', Isufu(sic) Makamba na genge lao, huhitaji darubini ya kutazamia nyota kuliona hili.Hivi vijarida vingine vinapaswa kufungiwa!
Mijitu mingine bwana, utafikiri akili zao wanaazima vile.
Unaweza ukasema wakati anaandika, basi CPU ilikuwa imechemka saana maana feni yake ilikuwa haifanyi kazi vizuri.
Utajuaje kuwa huyu ni Mkristo na huyu Muislaam?
Hivi Elton John na George Michael wangelikuwa Tanzania, hili juha si lingewahesabu kama Wakristo?
Kweli Freddy Mercury alizaliwa Zanzibar. Ukisema Tanzania unafanya makosa.
Hata mimi nimekiona hicho kigazeti pendwa. Kimekaa kihuni huni tu. Wao habari zao kila likitoka ni za mrengo wa kuwaponda au kulalamikia ukristo. Mbona Msemakweli haliwalalamikii Waislamu? endapo babako hakukupeleka shule elewa alikuwa anakuandaa kuwa mzigo mzito sana duniani. Waislamu hawabebeki kama furushi la m*vi!