Naomba msaada,
Wakihudhuria tunapata nini? na wasipohudhuria tunapata?
Naomba msaada,
Wakihudhuria tunapata nini? na wasipohudhuria tunapata?
Huwa aghalabu naangalia LIVE broadcast ya sessions za bunge letu 'tukufu' kama linavyorushwa na TBC 1 kwa sababu nimechoshwa na maigizo yanayofanyika hapo bungeni. Jana 'kwa bahati mbaya' nili-tune TBC 1 na kuona kituko....nashukuru Mungu sina historia ya matatizo ya ugonjwa wa moyo otherwise ningepata mshtuko wa moyo na kupoteza fahamu!!! Naweza ku-estimate yale mahudhurio kwamba yalikuwa ni robo au chini kidogo ya hapo (20-25%). inauma sana ndugu zangu watanzania!!! ni lini tutakuwa serious na mambo ya msingi kwa taifa hili? ni eneo lipi tupo serious? naomba nitumie maneno haya yanayoonekana kama mepesi lakini naomba nieleweke kwamba 'niliumia sana'!!!
hivi column ya bunge ni ngapi kwa bunge ku-proceed? Jana ilijadiliwa na kupitishwa bajeti ya wizara ya viwanda, biashara na masoko, je kikanuni ni halali basing on that column?
je, inawezekana sherehe za mkwere kurudisha fomu ndio zimesababisha hilo? kama ni kweli,je huko sio ku-subotage kazi ya bunge? kwa nini vikao vya chama na shughuli kama hizo za chama zisifanyike nje ya muda wa bunge, mathalani weekend? yet you want me to believe you that you push us towards the dvelopment rather pulling us back?
TBC 1 ipo ndani ya dstv hivyo inaonekana nje ya tanzania, je huko si ku-publicize ujinga wetu?
wadau,
Hebu tujadili hili. Asubuhi nilipowasha TV wakati bunge linaanza wabnge walikuwepo kidogo mno?Jee, ni kweli kwamba wasiwasi wa kutorudi tena mjengoni kunawafanya wasitulie na kuhaha huku na kule na kutugawia simu, baiskeli na pikipiki huku majimboni?Jee?hakuna kanuni inayotaka mahudhurio yawe kiasi kadhaa?
Naomba kuasilisha.
Poa mkuuHii mada ilisha wasiliswa humu siku nyingi. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/66109-bunge-letu-na-mahudhurio-ya-aibu.html
Sherehe za kurudisha FORM ndiyo sababu cha "EMPTY SEATS" ndani ya Jengo la Bunge la JMT!
You wonder ni sherehe ngapi zitafanyika mpaka JK atakapoapishwa tena kuwa RAIS
- Kuchukua Form sherehe
- Kurudisha Form sherehe
- "Kuvunja bunge" sherehe
- Kupitishwa "Jina la mgombea U-rais" sherehe
- Kutangazwa ushindi wa "Kishindo" sherehe
- Kuapishwa kuwa RAIS sherehe
"Akidi kwakila kikao cha Bunge wakati wakufanya maamuzi itakuwa ni nusu yawabunge wote."Napenda kufahamu kwamba kulikuwa na maamuzi gani ya kufanya kulingana na Kanuni ya 77 (1) maana naona kuna maneno "wakati wa kufanya maamuzi?"Kwa mazoea haya ikitokea siku Spika amebakiwa na wabunge watano ukumbini ataendesha kikao