Bunge letu na mahudhurio ya aibu!

[h=4]Comments [/h]

#3 rutashubanyuma 2011-07-09 09:48 mjadala wa kuwalipa au lutowalipa wabunge posho ya vikao sasa umepata pumzi...................kama posho hizo zitaondolewa ni dhahiri ya kuwa mahudhurio yatakuwa mabaya zaidi...........badala ya kuziondoa posho hizo ni kuweka misingi ya kuhakikisha kunakuwepo uhusiano kati ya posho tajwa na mahudhurio halisi..................siyo tu kusaini fomu lakini malipo yanede kwa masaa na tekinolojia ya kompyuta itumike katika kukokotoa mahudhurio halisi ya kila mbunge kwa ajili ya malipo tajwa....................kama kwenye mpira dakika tisini tekinolojia yaturuhusu kufahamu kila mchezaji amekimbia muda gani hivi tunashindwaje kuitumia tekinolojia hiyo hiyo kuhakikisha ya kuwa kila mbunge amekaa masaa mangapi Bungeni......................kina[NENO BAYA]sekana ni utashi wa kisiasa wa kutatua tatizo la mahudhurio Bungeni na hivyo kutoa mwanya kwa wanansiasa wachovu kama Zitto Kabwe kulipotosha Bunge kwenye eneo hili...............
Quote

0 #2 bukuru 2011-07-09 08:30 MAMBO SI HAYO?JE POSHO ZAO ZIMEKATWA/ MHESHIMIWA SPIKA MBALI NA KWAMBA BUNGE NI MAHALI PA KUJITAJIRISHA NI VEMA ANGALALU HIYO POSHO YA WABUNGE 300X70,000=2,1OO,OOO ZICHANGIE ANGALAU MADAWATI KATIKA SHULE MOJA IDODOMYA AMBAKO NI MAKAO MAKUU YA BUNGE.
Quote

0 #1 ahmed00 2011-07-09 04:01 Bora hao waliokacha kikao, kuliko Wasira anayechapa usingizi Bungeni
Quote

Refresh comments list

Waambie posho hakuna usikie yatakavyong'aka utafikiri wameibiwa chao...nao ni wezi tu ........
 
ukiuliza utaambiwa wote walikuwa kwenye vikao vya kamati.....hahahhha
 
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa jana

attachment.php

East African Cooperation minister Samuel Sitta (front row) & deputy Finance minister Gregory Teu clearly the only ones in the Government section of the National Assembly Hall at one point during yesterday`s morning session in Dodoma yesterday. (Photo: Selemani Mpochi).
 
Ni maamuzi gani hayo yaliyofanywa jana? Hatuzungumzii vikao vya siku zote, ni cha jana tu!

Mkuu kujadili vifungu vya kwenye bajeti ya ofisi ya VPO na wizara zake mbili, kuvikubali na kuvipitisha vifungu na bajeti nzima ni maamuzi yaliyofanyika jana!! Hivyo kwa hakika kanuni za bunge zilivunjwa kwa mujibu ya mtoa mada Candid Scope!
 
Do.jpg

East African Cooperation minister Samuel Sitta (front row) &
deputy Finance minister Gregory Teu clearly
the only ones in the Government section of the National Assembly Hall
at one point during yesterday`s morning session of the august assembly in Dodoma yesterday.

ZAIDI ya nusu ya wabunge wote 357 wanaotambuliwa kikatiba katika Bunge la Tanzania jana hawakuhudhuria bungeni na viti vingi vilikuwa wazi.Takwimu zilizochukuliwa na gazeti hili saa 5:40 asubuhi, zilionyesha kuwa ni wabunge 58 tu waliokuwapo.

Kwa mahesabu ya haraka, idadi ya wabunge waliokuwapo ni sawa na asilimia 16.2.Kama kanuni za Bunge zingekuwa zinazingatia kuwa ili kikao kiendelee ni lazima kuwa na nusu ya wabunge wote, kikoa cha jana kisingefanyika.Taarifa zilizopatikana zilisema wabunge wengi waliondoka Jumatano jioni, kwenda Dar es Salaam kwa ajili ya mapumziko ya Sikukuu ya Sabasaba juzi.

Kwa sababu hiyo, baadhi yao hawakurejea Dodoma kuendelea na mkutano wa 20 wa Bunge uliofanyika jana.Badala yake waliamua kuunganisha moja kwa moja na siku za mapumziko wa mwisho wa wiki (leo na kesho).
Baadhi ya wabunge waliozungumza na gazeti hili, walisema ingekuwa ni suala la kuzingatia kuwa ni lazima zaidi ya nusu wahudhurie, basi kikao cha jana kisingefanyika.

Kulingana na kanuni za kudumu za Bunge, toleo la 2007, kanuni ya 77(1) kuhusu uhalali wa shughuli za Bunge, uamuzi wowote wa Bunge ni lazima upitishwe na nusu ya idadi ya wabunge waliohudhuria.

Kipengele hicho kinasema: "Akidi kwa kila kikao cha Bunge wakati wa kufanya maamuzi itakuwa ni nusu ya wabunge wote."Lakini katika kifungu cha pili, kanuni hizo zinaeleza mbunge anaweza kumjulisha spika kwamba wabunge waliopo ni pungufu ya akidi inayohitajkika kwa ajili ya shughuli inayoendelea.

Vile vile inaeleza kwamba hoja ya mbunge itategemea uamuzi wa spika, iwapo ataridhika kwamba idadi ya wabunge waliopo hawakidhi mahitaji ya kuamua mambo muhimu.

Iwapo wabunge wengi walitaka kuhudhuria maadhimisho ya kilele cha Maonyesho ya kimataifa Dar, ingekuwa ni busara kwa Spika wa Bunge kuahirisha bunge kwa siku moja au mbili ili kuwapa nafasi wabunge, kwani maonyesho ya sabasaba nayo yana umhuhimu kwa taifa. Kukaa na 1/8 ya idadi ya wabunge ni shauri ya posho au kanuni zimevunjwa?
 
Bunge letu hilo

Hehehe yeah, ila kwenye posho hapo wabunge wanageuka wakali kupita ule ukali wa kabila la wanubi, na ujue sasa mifuko imeshaanza kujaa wapo kwenye fukwe za bongo hali wakijua jumatatu wanarudi ukumbini ukinga tena.
 
[h=4]Comments[/h]

#3 rutashubanyuma 2011-07-09 09:48 mjadala wa kuwalipa au lutowalipa wabunge posho ya vikao sasa umepata pumzi...................kama posho hizo zitaondolewa ni dhahiri ya kuwa mahudhurio yatakuwa mabaya zaidi...........badala ya kuziondoa posho hizo ni kuweka misingi ya kuhakikisha kunakuwepo uhusiano kati ya posho tajwa na mahudhurio halisi..................siyo tu kusaini fomu lakini malipo yanede kwa masaa na tekinolojia ya kompyuta itumike katika kukokotoa mahudhurio halisi ya kila mbunge kwa ajili ya malipo tajwa....................kama kwenye mpira dakika tisini tekinolojia yaturuhusu kufahamu kila mchezaji amekimbia muda gani hivi tunashindwaje kuitumia tekinolojia hiyo hiyo kuhakikisha ya kuwa kila mbunge amekaa masaa mangapi Bungeni......................kina[NENO BAYA]sekana ni utashi wa kisiasa wa kutatua tatizo la mahudhurio Bungeni na hivyo kutoa mwanya kwa wanansiasa wachovu kama Zitto Kabwe kulipotosha Bunge kwenye eneo hili...............
Quote

0 #2 bukuru 2011-07-09 08:30 MAMBO SI HAYO?JE POSHO ZAO ZIMEKATWA/ MHESHIMIWA SPIKA MBALI NA KWAMBA BUNGE NI MAHALI PA KUJITAJIRISHA NI VEMA ANGALALU HIYO POSHO YA WABUNGE 300X70,000=2,1OO,OOO ZICHANGIE ANGALAU MADAWATI KATIKA SHULE MOJA IDODOMYA AMBAKO NI MAKAO MAKUU YA BUNGE.
Quote

0 #1 ahmed00 2011-07-09 04:01 Bora hao waliokacha kikao, kuliko Wasira anayechapa usingizi Bungeni
Quote

Refresh comments list

Na mashaka kama posho zao zimekatwa vinginevyo hakuna anayekubali aende kutumia pesa wakati akijua siku hiyo mjengoni zinakatwa.
Hata mawaziri wanapokuwa nje kikazi bora posho wasilipwe maana wawapo nje kikazi hulipwa mafao kama mawaziri, iweje wapokee tena posho siku ambayo hakuwemo bungeni na wakati huo huo kwenye jukumu lingine alikokuweko alipata posho za kujikimu na malupulupu mengine3?
 
Ni matumaini yangu huu ni MHIMILI MUHIMU WA NCHI;

  • :eek2:

Na kipindi hiki ndo kipindi cha kusimamia serikali; lakini kwa utoro huu. kweli tutafika??????

  • A%20S%20cry.gif

Attachments

  • 580868_10151007195004339_375874071_n.jpg
    580868_10151007195004339_375874071_n.jpg
    34.1 KB · Views: 151
Na hao walihudhuria gawanya mara mbili,kuna wanaosinzia utadhani ucku wanakesha.
 
Back
Top Bottom