CAG kayakamata pabaya majizi sugu yakiongozwa na kamada lao Mkuu jiweWakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
CAG kayakamata pabaya majizi sugu yakiongozwa na kamada lao Mkuu jiweWakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
Bungeni hawatachimbwa mkwala kama wanaokwenda kuchimbwa hukoKwani wakienda huko au wakibakia bungeni kuna tofauti gani?!
Hivi nyie kila kiongoz anawatisha?nakubaliana na wewe lakini yule ndugai naona kama anatumwa tuu.
bado naamini bwana JOHN POMBE MAGUFULI ana matatizo makubwa sana.
ivi kulikuwa na ulazima gani wa kumpamdisha CDF Jukwaani kuwatisha watu? iv panaulazima wwte wa kumpa DG Wa TISS mike kisa tu kasoma kigonsera?
Mkuu naona siku hizi umebadikika sana kwenye comment zakoHata kikao cha kumtosa Aboud Jumbe kilikuwa cha kawaida
Wakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
Hii sio haki kwa walipa kodi!
Polisi wamepata taarifa za ki inteligensia kuwa patatokea fujo CDM nao wakifanya mkutano.Na wabunge wa upinzani wanaruhusiwa kukutana na mwenyekiti wao MBOWE...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kupanga mkakati wa kuitetea CCM kwenye ubadhirifu ndani ya ripoti ya CAG, na mkakati huu hufanyika kila mwaka kipindi cha bunge la bajeti.Wakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
Kuahilishwa kwa Bunge ni kawaida tu kwani ratiba si kila siku saa saba ni mapumziko linakuja kuendelea saa 11 jion...!Limehairishwa kwa sababu hiyo tuuu ama Kuna kitu kingine!
Usikute ile alarm ya mwezi 1 imelia Tena labda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzoefu wako wa siasa za CCM mkuu tupe matarajio kutokana na hiki kikako cha ghafla.Ndicho tulichosema tangu seke seke la Assad lianze
Unafanyaje maamuzi makubwa ya kuja na Azimio bila ya Kibali cha Kamati ya Wabunge wa Chama?
Kuna Mtu atasulubiwa vya kutosha bila ya Shaka
Wakirudi Bungeni Wabunge waelezwe kujikita kwenye Mjadala sio kejeli kwa CAG
In fact sio upumbavu, NI UPUNGUFU WA AKILIActually sio ujinga; NI UPUMBAVU.
Nyote nawashangaa anika Mbowe na wenzake wanapotoka wakaenda zao nje ni jambo jema na kuonewa hawa wameahirisha wameenda kwenye kikao chao nongwa. Je wale wanapotoka si wanalipwa piaThe point hapo ni kuwa wabunge wote watalipwa posho leo japokuwa hakuna kazi waliyofanya ya kibunge badala yake wanafanya kazi (binafsi) za kichama!
Huo mkutano wao unahusu nini? Taarifa ya CAG? Au kutokufanya kazi na CAG?bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.
Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jambo ni kwenye nchi isioeleweka kama ni ya kidemokrasia au kidikteta au inayochanganya mambo haya mawili.