Bunge Leo laahirishwa Sababu wabunge wa CCM wanaenda kufanya kazi za chama na posho wamechukua

Mhere Mwita

Verified Member
Jan 24, 2012
234
1,000
bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.

Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,Sent using Jamii Forums mobile app
 

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,357
2,000
@bunge_tz limeahirishwa saa 4.45 kisa ni wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Ndg @MagufuliJP kumbuka wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu

#2020CCMMustGo.
 
Top Bottom