Bunge Leo laahirishwa Sababu wabunge wa CCM wanaenda kufanya kazi za chama na posho wamechukua


G

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Messages
4,222
Points
2,000
G

Gulwa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2008
4,222 2,000
Wakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
CAG kayakamata pabaya majizi sugu yakiongozwa na kamada lao Mkuu jiwe
 
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
6,255
Points
2,000
MISULI

MISULI

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
6,255 2,000
nakubaliana na wewe lakini yule ndugai naona kama anatumwa tuu.
bado naamini bwana JOHN POMBE MAGUFULI ana matatizo makubwa sana.
ivi kulikuwa na ulazima gani wa kumpamdisha CDF Jukwaani kuwatisha watu? iv panaulazima wwte wa kumpa DG Wa TISS mike kisa tu kasoma kigonsera?
Hivi nyie kila kiongoz anawatisha?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
S

SIPIYU30

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
1,043
Points
2,000
S

SIPIYU30

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
1,043 2,000
Wakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
Namhurumia sana Prof. Assad. Najihurumia mwenyewe kuwa mtanzania, nawahurumia watanzania tuakavyoteseka chini ya majinamizi ya CCM, Naumia jinsi watanzania tunavyonyanyasika na kodi zetu kuchezewa kijinga hivi.
 
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
3,685
Points
2,000
elvischirwa

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
3,685 2,000
Wakuu Bunge limehairishwa muda Huu. Kuna Kikao cha Dharura cha Wabunge wa CCM na Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli. Stay Tuned
Ni kupanga mkakati wa kuitetea CCM kwenye ubadhirifu ndani ya ripoti ya CAG, na mkakati huu hufanyika kila mwaka kipindi cha bunge la bajeti.
 
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
21,731
Points
2,000
idawa

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
21,731 2,000
Ndicho tulichosema tangu seke seke la Assad lianze

Unafanyaje maamuzi makubwa ya kuja na Azimio bila ya Kibali cha Kamati ya Wabunge wa Chama?

Kuna Mtu atasulubiwa vya kutosha bila ya Shaka

Wakirudi Bungeni Wabunge waelezwe kujikita kwenye Mjadala sio kejeli kwa CAG
Kwa uzoefu wako wa siasa za CCM mkuu tupe matarajio kutokana na hiki kikako cha ghafla.
 
M

mushairizi

Senior Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
156
Points
225
Age
62
M

mushairizi

Senior Member
Joined Nov 27, 2011
156 225
The point hapo ni kuwa wabunge wote watalipwa posho leo japokuwa hakuna kazi waliyofanya ya kibunge badala yake wanafanya kazi (binafsi) za kichama!
Nyote nawashangaa anika Mbowe na wenzake wanapotoka wakaenda zao nje ni jambo jema na kuonewa hawa wameahirisha wameenda kwenye kikao chao nongwa. Je wale wanapotoka si wanalipwa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
8,620
Points
2,000
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
8,620 2,000
bunge limeahirishwa saa 4.45 kisa wabunge wa CCM wanakwenda kukutana na Mkt wa chama Dk Magufuli kumbuka kuwa wabunge Leo watajilipa posho zaidi ya mil 90 pesa za walipa kodi watanzania ili hali wanafanya kazi za chama. Haya ni matumizi mabovu ya Pesa zetu.

Haiwezekani wabunge Leo waone vikao vya maslahi ya taifa tena kikao cha Bajeti cha taifa hakina maana yoyote ila kikao cha chama ndio kina maana sana, Leo wabunge wao watajilipa posho bila kuifanyia kazi yoyote,Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mkutano wao unahusu nini? Taarifa ya CAG? Au kutokufanya kazi na CAG?
 
esther mashiker

esther mashiker

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Messages
363
Points
500
esther mashiker

esther mashiker

JF-Expert Member
Joined May 29, 2018
363 500
Wacha wivu, je na wale wanaotoka toka nje wakati wamechukua pesa za walipa kodi watanzania yanakuwa ni matumizi mazuri ya pesa zetu au. Umeonyesha dhahiri kuwa wewe una udhaifu zaidi
 

Forum statistics

Threads 1,285,012
Members 494,369
Posts 30,847,295
Top