Bunge Leo laahirishwa Sababu wabunge wa CCM wanaenda kufanya kazi za chama na posho wamechukua

Tofautisha chama tawala na vyama vya upinzani je vina nguvu sawa?hata mtoto wa kwanza na mwisho ktk familia hawalinganishwi,kuweni na hoja za zenye mashiko za kuleta jf siyo mkiwashwa tumnatupia,sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu huo ndio upuuzi mlioaminishwa, vyama vyote vinahaki sawa chini ya katiba. Lugha ya chama tawala ni ya kipumbavu. Hakuna chama tawala kuna serekali inayoongoza ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania mnayo ipa dhana ya jamhuri ya muungano wa ccm kwa dhana zenu za kipuuzi. Wapi kwenye katiba kumeandikwa kuwa kuna chama tawala ambacho kitskuwa na haki zaidi ya vyama vingine.
 
Back
Top Bottom