Bunge Leo laahirishwa Sababu wabunge wa CCM wanaenda kufanya kazi za chama na posho wamechukua

Hapa ndipo usemi wake (Dha..u) unapothihirika kuacha shughuli halali za bunge na kwenda kwenye shughuli za chama.
 
Nazidi kusema adui wa taifa letu ni ccm
Kwa nini asingewafata bungeni uko maana bado wapo kwa wingi


If it isn’t perfect ,it’s not good enough
 
Ndicho tulichosema tangu seke seke la Assad lianze

Unafanyaje maamuzi makubwa ya kuja na Azimio bila ya Kibali cha Kamati ya Wabunge wa Chama?

Kuna Mtu atasulubiwa vya kutosha bila ya Shaka

Wakirudi Bungeni Wabunge waelezwe kujikita kwenye Mjadala sio kejeli kwa CAG
Ni Kikao Cha Kawaida Kukutana na Wabunge Wakat M/kiti Wa Ccm anapokuwa Dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi naona bora waende tu maana, sioni umuhimu au utofaut wa hawa jamaa wakiwepo mjengoni na wasipokuepo nipo radhi nikae bize naangalia vile vitu vyekundu mle ndani tu kuliko awa wazee wa ma azimiooooooo ya si eeeei jiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakubaliana na wewe lakini yule ndugai naona kama anatumwa tuu.
bado naamini bwana JOHN POMBE MAGUFULI ana matatizo makubwa sana.
ivi kulikuwa na ulazima gani wa kumpamdisha CDF Jukwaani kuwatisha watu? iv panaulazima wwte wa kumpa DG Wa TISS mike kisa tu kasoma kigonsera?
CC; Pohamba :p
 
Yule jamaa anayesababisha wanakongwa wote waonekane wa hovyo tayari keshayumbisha nchi.
 
Back
Top Bottom