Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,447
- 7,832
Leo Waziri ametoa ombi la kuvunja kanuni na kuruhusu timu ya Serengeti girls na viongozi wake kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge.
Bunge limechukua hatua hiyo ili kuwapongeza baada ya kufuzu kushiriki michuano ya kombe la dunia kwa wanawake chini ya miaka 17 yatakayofanyika nchini India.
Spika amewataka warudi na kombe ili wakae tena Bungeni na amewatakia heri.