Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,199
- 1,969
Pole sana, tatizo lako ni kuwa hujui nini Mahkama ya Kadhi inashughulikia. Hiyo Mahkama inashughulikia mambo muhimu ya ustawi wa jamii ya watu wenye imani ya Uislamu. Katika Jamhuri hii ya Muungano wa Tanzania hivi kuna watu wangapi ambao wanahitaji huduma hiyo? Jee Serikali iache kuwahudumia watu wake katika jambo hilo? Kama ni kodi hutoi wewe tu na babu zako lakini na sisi pia na Bibi zetu wa Kiislamu tunakamuliwa kodi hiyo- kwa nini tunyimwe huduma?.
Kwa nini serikali imeamua kuhudumia IBADA ya dini moja? That is the question, JK wont get away with it, simply like that! Kwenye waraka wa wakatoliki waweke majina kabisa, na sio masuala ya kipaumbele pekee, ili tuandae kura zetu. We have been fooled already by the current unstable Government!