Bunge lapitisha bajeti ya mahakama Kadhi

Kwenye kura hata tukisema sasa nchi iuzwe na kila mtu apewe chake apotee ndipo tutachagua sisiemu, watafanya hivyo bila hiyana.
 
Hivi Bwana Alien unajua mahakama ya Kadhi inashughulika na nini? Naona umeanza na kukata mikono na kupiga mawe ..... una hakika hii ndio kazi yake?

Tafadhali chukua muda kidogo ujifunze kuhusu baadhi ya vitu usikurupuke tu
Eeee umeanza. Angalia usije mtupia mawe au kumkata na jambia. Maana upande huo huwa hamchelewi
 
Wagombea urais wa kiislamu wanapoingia madarakani huwa na nia ya kuifanya nchi hii kuwa ya kiislamu in the long run. Mwinyi aliruhusu watu kuvunja mabanda ya nguruwe Dar, akajaribu kinyemela kuisilimisha nchi kwa kujaribu kujiunga na OIC akashtukiwa dakika za mwisho akaacha mpango huo. Wakati huu wa JK mambo ya Kadhi na OIC yamepamba moto kuliko wakati mwingine wowote. Wakristo tusiwe fooled na tabasamu la JK, the weakest President compared to other former Presidents of this country! Leo anasema hivi, kesho anabadilika, hana mapenzi mema na wakristo na watu wa dini nyingine. Kama anataka kutangaza dini kwa nini asijiunge na akina Shekhe Yahya na wengineo kutangaza dini? I am deeply disappointed in him!
 
No comments, mapka hapo nitakaposoma habari hiyo kwa ndani na nijiridhishe, hapo nitakuwa na cha kusema.
 
Wagombea urais wa kiislamu wanapoingia madarakani huwa na nia ya kuifanya nchi hii kuwa ya kiislamu in the long run. Mwinyi aliruhusu watu kuvunja mabanda ya nguruwe Dar, akajaribu kinyemela kuisilimisha nchi kwa kujaribu kujiunga na OIC akashtukiwa dakika za mwisho akaacha mpango huo. !

Maneno mazito haya mkuu!na ni ukweli mtupu according to me!waislamu wooote wanaonekana wana akili zinazofanana.bahati mbaya kauli iliwai kutolewa kwenye kanisa langu kwamba ''KIKWETE NI CHAGUO LA MUNGU'',anyways huenda ulikuwa ni mtizamo wa kibinadamu tu

Wakati huu wa JK mambo ya Kadhi na OIC yamepamba moto kuliko wakati mwingine wowote. Wakristo tusiwe fooled na tabasamu la JK, the weakest President compared to other former Presidents of this country!!

the bolded text is very true!REALLY TRUE!na kwakweli wakristo hatutakubali kuburuzwa

I am deeply disappointed in him!
......hata mimi!totally discouraged
 
SERIKALI imesema kuwa haijalitupa suala la kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi, lakini imependekeza kuwa kutokana na suala hilo kuwa la imani, liundiwe mfumo wake ambao hautasimamiwa na dola ili chombo hicho kiendelee kuwa nguzo muhimu ya dini ya Kiislamu.

Akizungumza wakati wa kipindi cha maswali ya papo hapo, Waziri Mkuu Mizengo Pinda alisema kwa kuwa Mahakama ya Kadhi ni suala la imani hivyo Waislamu waiunde katika mfumo wao na serikali itatoa msaada kwa chombo hicho hadi kitakaposimama.

"Kwa kuwa mnazungumza kwamba Mahakama ya Kadhi, au ofisi ya Kadhi msingi wake ni imani ya dini, mimi nikasema pengine si busara chombo hicho mkakiweka katika mfumo unaotakiwa kusimamiwa na dola," alisema Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana wakati wa kipindi cha maswali ya papo hapo akijibu swali la mbunge wa Chonga (CUF), Hemed Mohamed Hemed.

Pinda alisema mahakama hiyo ikipelekwa kwenye dola basi chombo hicho kitatazamwa kama dola.
"Kwa sababu tukileta huku kwenye dola, sisi tutaendelea kukitazama chombo kile kama dola tu. Kumbe yako mambo fulani ambayo yanatakiwa yaangaliwe kwa umakini mkubwa," alisema.
Mimi naona kama imekubali maana hata hii kauli ya pinda inaonyesha hiyo dhamira ya kukubali kuisimamia hiyo mahakama mapka hapo itakapoweza kujiendesha, swali la msingi "Je hiyo mahakama itaweza kujiendesha baada ya miaka mingapi?"
 
Sasa tusubiri tamko la Wakristo; Then Wahindu; Then Watuwamila n.k.

Hayati Mwalimu JK Nyerere salamu zikufikie huko ahera. Vijana wako nchi imewashinda.

Na Waislamu; wasije wakabadili dini sasa. Hizi mahakama ziwe kamili kwa waislamu wote siyo nusu nusu. Mwizi akatwe mkono, Mzinzi, mawe hadi afe n.k.

Kazi kweli kweli . . .

Waanze na mafisadi .............. maaana wana wachelewesha sana huko kwa pilato kisutu !
 
Hii serikali haieleweki. Huwezi kujua wanasimamia nini. Hawana maamuzi ni bendera kufuata upepo. Kwenye suala la kufuta misamaha ya kodi tuliona the way walivyobehave. kelele kidogo tu zilitosha kuwafanya wapige U turn. Baada tu ya hiyo U turn, Kadhi ikachomekwa ghafla.

Sasa hivi kuna statement nyingi zinazotolewa na kila mtu kiasi kuwa huwezi kuelewa who is in control! Really? Ni katika storm hii hii mahakama hii itajipenyeza kwa sababu RA ameapa this must be done na according to him hashindwi kitu.

Sikiliza wasanii wa CCM watakachoongea. Huyu anazungumza hili na huyu lile. Hakuna anayeeleweka lakini things are moving too fast. In the end tutakuwa na IBADA RASMI ndani ya serikali. Hili litatokea tuu kwa sababu CCM sasa hivi haiendeshwi kutokea Lumumba wala Kuu street, inaendesha from the obscurity of RA and the mtandao.
 
Usemi wa chaguo la Mungu umekuwa unatumiwa kama defence tactic na waislamu hasa unapoanza kuzungumziwa udini wa serikali ya awamu ya nne. Wanadai waliosema kuwa JK ni chaguo la Mungu ndio wadini. Wanafanya hivyo makusudi ili kupumbaza real issues. Nafikiri waraka wa kanisa katoliki waweke majina kabisa ya watu wa kupigia kura kama mambo ndio haya. U cant fool people all the time!
 
Vifungu viwili vya bajeti ya wizara ya sheria na mambo ya katiba vimepangiwa shilingi milioni 900 kila kimoja kwa ajili ya mahakama ya kadhi. Wakipitia kifungu kwa kifungu, bunge wa la muungano wa Tanzania lipitisha vifungu hivyo vya bajeti vilivyoandaliwa na serikali ya CCM. Je serikali ya CCM sasa imekuwa ya kidini? Kama siyo ya kidini kwa nini iwe kwa dini moja tu wakati uanzishwaji wa mahakama za kimila za wamasai, wasukuma, wakatoliki, walutheri haukupata fungu la serikali?

Je sasa CCM ndio imedhamiria kumomonyoa misingi ya umoja wa kitaifa kwa kuleta udini? Je chama hiki kinastahili ridhaa ya watanzania tena? Kwangu mimi hapana na kodi yangu imetumika bila ridhaa yangu na imevunja katiba ya nchi kwa kuleta udini.

matatizo ya kufungiwa ZeUtamu!
 
Sasa tusubiri tamko la Wakristo; Then Wahindu; Then Watuwamila n.k.

Hayati Mwalimu JK Nyerere salamu zikufikie huko ahera. Vijana wako nchi imewashinda.

Na Waislamu; wasije wakabadili dini sasa. Hizi mahakama ziwe kamili kwa waislamu wote siyo nusu nusu. Mwizi akatwe mkono, Mzinzi, mawe hadi afe n.k.
Kazi kweli kweli . . .[/QUOTE
Acha kupotosha watu wewe. Unafikri hiyo itakuasaidia nini au itaisaidia vipi jamii yako? Tokea lini Mahkama za kadhi zikakata watu mikono? Mpumbavu mkubwa!!!!
 
Ivi si mahakama hiyo itamuhukumu mwizi(Fisadi inclusive) akatwe mkono? kama ndivyo na ije,wafuatao watakuwa vilema mara moja
1. RA
2. KARAMAGI
3. MSABAHA
4. KIGODA
5. MANJI
6. MKULO
7. MAKAMBA
8. KIKWETE
 
SERIKALI imesema kuwa haijalitupa suala la kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi, lakini imependekeza kuwa kutokana na suala hilo kuwa la imani, liundiwe mfumo wake ambao hautasimamiwa na dola ili chombo hicho kiendelee kuwa nguzo muhimu ya dini ya Kiislamu.

Akizungumza wakati wa kipindi cha maswali ya papo hapo, Waziri Mkuu Mizengo Pinda alisema kwa kuwa Mahakama ya Kadhi ni suala la imani hivyo Waislamu waiunde katika mfumo wao na serikali itatoa msaada kwa chombo hicho hadi kitakaposimama.

“Kwa kuwa mnazungumza kwamba Mahakama ya Kadhi, au ofisi ya Kadhi msingi wake ni imani ya dini, mimi nikasema pengine si busara chombo hicho mkakiweka katika mfumo unaotakiwa kusimamiwa na dola," alisema Waziri Mkuu Mizengo Pinda jana wakati wa kipindi cha maswali ya papo hapo akijibu swali la mbunge wa Chonga (CUF), Hemed Mohamed Hemed.

Pinda alisema mahakama hiyo ikipelekwa kwenye dola basi chombo hicho kitatazamwa kama dola.
"Kwa sababu tukileta huku kwenye dola, sisi tutaendelea kukitazama chombo kile kama dola tu. Kumbe yako mambo fulani ambayo yanatakiwa yaangaliwe kwa umakini mkubwa," alisema.
Mimi naona kama imekubali maana hata hii kauli ya pinda inaonyesha hiyo dhamira ya kukubali kuisimamia hiyo mahakama mapka hapo itakapoweza kujiendesha, swali la msingi "Je hiyo mahakama itaweza kujiendesha baada ya miaka mingapi?"

Sasa hapa ni pagumu na pana utata mkubwa. Mahakama ya kadhi ni kwa ajili ya waislamu na si kwa ajili ya Watanzania wote. Serikali itaisimamia vipi mahakama hii mpaka isimame yenyewe?. Sisi tusio waislamu hatuko tayari kutoa pesa zetu kwa ajili ya kitu hicho, sasa serikali haioni kama inatuburuza na sisi katika kugharimia swala hilo bila mapenzi yetu?.

Kama waislamu wameamua kuwa na mahakama yao basi wajisimamie wenyewe toka mwanzo kwani hiki kitu si kigeni, kimeanza muda mrefu hivyo waislamu walikuwa tayari wamejitayarisha vya kutosha.

Na jambo la mwisho ni bora na sisi wakristo tuanzishe mahakama yetu haraka kadri iwezekanavyo.
 
Suala hili la Mahakama ya Kadhi kutengewa fedha ktk Bajeti ya serikali ni lazima lipelekwe mbele ya High Court kama uvunjifu wa Katiba ya Tanzania.

Ibara ya 19(2) ya Katiba inasema : "Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi".

Kwa nini Bunge limepitisha huo muswada? Kama ni wabunge wa CCM wameburuta wenzao kutokana na wingi wao, basi ni jukumu la Wapinzani kwenda Mahakama Kuu kwa kesi ya kikatiba. Au ni woga wa Waislamu kutowapigia kura wakati wa Uchaguzi Mkuu mwakani kama Mufti alivyotishia juma lililopita ambapo hata wapinzani walihofu watapoteza kura za Waislamu?

Ni jambo la msingi kwamba tuende kortini. WanaJF tunaweza kuchangia Mchungaji Christopher Mtikila aende Mahakama Kuu, kama alivyofanya miaka michache iliyopita kuhusu mgombea binafsi. Alishinda, na nina hakika atashinda ktk hili suala pia.
 
Pole sana, tatizo lako ni kuwa hujui nini Mahkama ya Kadhi inashughulikia. Hiyo Mahkama inashughulikia mambo muhimu ya ustawi wa jamii ya watu wenye imani ya Uislamu. Katika Jamhuri hii ya Muungano wa Tanzania hivi kuna watu wangapi ambao wanahitaji huduma hiyo? Jee Serikali iache kuwahudumia watu wake katika jambo hilo? Kama ni kodi hutoi wewe tu na babu zako lakini na sisi pia na Bibi zetu wa Kiislamu tunakamuliwa kodi hiyo- kwa nini tunyimwe huduma?.
 
Pakacha, lakini muft wenu alisema ni ibada, na jonh hawezi husika ktk hiyo ibada! vipi mbona weyeye wasema ndivyo sivyo?
kwasababu sioni kwanini serikali igaramie kitu kinacho wabagua wananchi wake!
 
Pakacha, lakini muft wenu alisema ni ibada, na jonh hawezi husika ktk hiyo ibada! vipi mbona weyeye wasema ndivyo sivyo?
kwasababu sioni kwanini serikali igaramie kitu kinacho wabagua wananchi wake!
Mahkama ya kadhi si ibada ni chombio cha kutoa huduma katika mambo muhimu ya Ustawi wa jamii kwa mujibu wa misingi na sheria za dini ya Kiislamu. Mahkama hiyo inahusika sana na mambo ya Ndoa, Talaka, Urithi, na malezi kwa watoto hasa mayatima. Hivi ni vitu vya msingi katika ustawi wa Jamii. Katika Jamii ya Kitanzania hebu sema ni wangapi waislamu na wanahitaji huduma hii? Kwa nini uwanyime?
 
Suala hili la Mahakama ya Kadhi kutengewa fedha ktk Bajeti ya serikali ni lazima lipelekwe mbele ya High Court kama uvunjifu wa Katiba ya Tanzania.

Ibara ya 19(2) ya Katiba inasema : "Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi, na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi".

Kwa nini Bunge limepitisha huo muswada? Kama ni wabunge wa CCM wameburuta wenzao kutokana na wingi wao, basi ni jukumu la Wapinzani kwenda Mahakama Kuu kwa kesi ya kikatiba. Au ni woga wa Waislamu kutowapigia kura wakati wa Uchaguzi Mkuu mwakani kama Mufti alivyotishia juma lililopita ambapo hata wapinzani walihofu watapoteza kura za Waislamu?

Ni jambo la msingi kwamba tuende kortini. WanaJF tunaweza kuchangia Mchungaji Christopher Mtikila aende Mahakama Kuu, kama alivyofanya miaka michache iliyopita kuhusu mgombea binafsi. Alishinda, na nina hakika atashinda ktk hili suala pia.

Good idea! Mtikila naye siku hizi hasikiki tena. Tangu amwite JK gaidi naona kuna jambo litakuwa limemkwamisha. Sio kawaida yake!
 
Back
Top Bottom