Bunge lapitisha bajeti ya mahakama Kadhi

Bunge lapitisha bajeti ya mahakama Kadhi

Apo juu inaonyesha mwalimu wako ni shetani ,anakupoteza kwa kasi sana ,maana naona hiyo ya 24 inakuondoa wewe na huhusiki kabisa ,tafuta pa kwenda.
 
Apo juu inaonyesha mwalimu wako ni shetani ,anakupoteza kwa kasi sana ,maana naona hiyo ya 24 inakuondoa wewe na huhusiki kabisa ,tafuta pa kwenda.

Hahahahahahaha pole sana, naona supu ya pilipili imekuingia kisawasawa. Shetani ni mwalimu kipofu na amewapofusha macho wanaotaka kuhesabiwa haki mbele za MUNGU kwa njia ya sheria.

Soma mstari wa 14 na 28 vizuri.
 
Last edited:
Hivi wakiristo mnayajua haya :-
Exodus 21:15 -And he that smiteth his father, or his mother, shall be surely put to death.

Proverbs 20:20 - If you insult your father or mother,your light will be snuffed out in total darkness(hii ni adhabu ya kifo kama lugha imewapita)

Leviticus 20:9 -“Anyone who dishonors father or mother must be put to death. Such a person is guilty of a capital offense.

Wakiristu mpooo ? Hizo ni sheria ambazo mnazichukia na hamzipendi ,usipinge jambo ndani ya Uislamu ikiwa huujui ukiristo wako ,wandugu mtaumbuka ,tena mtaumbuka vibaya sana ,sio mchezo ,Uislamu umekuja kuweka mambo sawa mkitaka msitake sasa kuubeza mtakuwa mnajibeza wenyewe. Kwenye Uislamu hatujapewa adhabu ya kifo ila tumeambiwa ukimgunia mzee wako (Baba au Mama) basi ni mwenye kula hasara forever sahihisho ni kuwaomba radhi na si kuuliwa,ukiristo ulienda mbali zaidi ,kwamba huhitajiwi hata kuishi ni kifo tu,naweza kusema ile hasara ilikuwa inaanza papo kwa papo.

Mwiba,

Kimsingi hapa unasema kuwa ukristo, uislam na uyahudi havitofautiani sana. Zote ni dini zilizoanzia middle east na ukiangalia utaona kuwa dini hizi zime influence each other. Hapa ndo niliposimamia mimi siku zote.

Tatizo ni hawa watu wanaosema eti sheria zetu za nchi ni za kikristo (wengine wamesema ni Canon law)!!! Sheria zetu zilizotungwa na Bunge msingi wake si canon law. Msingi wake ni common law za uingereza ambazo nyingi zinaweza kuwa traced kwenye early ROMAN EMPIRE na Greek.

kwa ujumla wanaotaka kutumia sheria za kiislam, wanalalamika kuwa sheria tunazotumia ni za kikristo. Hiki kitu hapa tunaweza kuona kuwa siyo kweli na wakristo katika madhehebu yao yote hawatumii sheria hizi. Wengi wanailalamikia serikali kwa kuingiza sheria zenye mwelekeo wa kiislam zaidi kwa mfano sheria ya ndoa inayoruhusu wake wengi na taraka. Ambapo ndoa za kikristo huvunjwa mahakamani kwa taraka.

Kwa hiyo tukubaliane kuwa sheria zilizopo zimetungwa na bunge lisilokuwa na dini, na mbali na kukopa kwenye common law zimekopa vile vile kwenye sheria za kiislam. Kwa hiyo sababu ya waislam kukataa kutumia sheria zilizopo kwa msingi kuwa ni za kikristo haina msingi.

Waislam hawana sababu ya kuanzisha virtual islamic government ndani ya serikali secular.
 
Ivi si mahakama hiyo itamuhukumu mwizi(Fisadi inclusive) akatwe mkono? kama ndivyo na ije,wafuatao watakuwa vilema mara moja
1. RA
2. KARAMAGI
3. MSABAHA
4. KIGODA
5. MANJI
6. MKULO
7. MAKAMBA
8. KIKWETE
Inamaana wewe hutumii rushwa au hujapata upenyo!!
 
Sasa hapa ni pagumu na pana utata mkubwa. Mahakama ya kadhi ni kwa ajili ya waislamu na si kwa ajili ya Watanzania wote. Serikali itaisimamia vipi mahakama hii mpaka isimame yenyewe?. Sisi tusio waislamu hatuko tayari kutoa pesa zetu kwa ajili ya kitu hicho, sasa serikali haioni kama inatuburuza na sisi katika kugharimia swala hilo bila mapenzi yetu?.

Kama waislamu wameamua kuwa na mahakama yao basi wajisimamie wenyewe toka mwanzo kwani hiki kitu si kigeni, kimeanza muda mrefu hivyo waislamu walikuwa tayari wamejitayarisha vya kutosha.

Na jambo la mwisho ni bora na sisi wakristo tuanzishe mahakama yetu haraka kadri iwezekanavyo.

Kuna mkanganyiko; Chikawe alisema atachukua mambo ya kiislam ayaingize kwenye mahakama zetu; baada ya kubanwa, Waziri mkuu akasema atarudi bungeni awaambie wabunge ..... baada ya kung'amua akageuka akasema Waanzishe Kadhi iwe nje ya Serikali ila atawawezesha, sasa kuwawezesha kivipi haijulikani .....
 
Mtume Muhammad alipokataliwa Mecca na akakimbilia Medina watu wa huko walimpokea kwa huruma na kumkaribisha kama mwungana. Wakristo, Mayahudi na wapagani. Kadri alivyopata nguvu kila siku kutokana na shughuli zake za biashara na ambush ya misafara ya wafanyabishara hatimaye jamaa wa Medina walilazimishwa kuchagua au kusilimu au kukutana na makali ya jambia. Wale wale waliompokea na kumhurumia. Tanzania subirini, huruma ya leo kwa jamii ya watu waliosahauliwa, wenye kuhitaji msaada wa serkali katika kuimarisha utamaduni wa dini yao siku moja utawatokea puani. Inaweza isiwe katika miaka 10 ya Kikwete, haya ni malengo ya muda mrefu. Kikwete anaweka msingi. Correct p.s if you think i am day dreaming!

Wewe umeweka picha halisi kabisa na napenda kusema kuwa kwenye jambo ulilosema mwenye macho haambiwi tazama.Ukweli uko wazi JK anaweka misingi sasa kuna kizazi kinachokuja kitakachoambiwa chagua ama unaslimu au unakatwa kichwa.Mifano ni dhahiri angalia Nigeria ni machafuko kila kukicha na Somalia pia.

Ndio sababu nimesema mwenye macho haambiwi tazama.
 
Vifungu viwili vya bajeti ya wizara ya sheria na mambo ya katiba vimepangiwa shilingi milioni 900 kila kimoja kwa ajili ya mahakama ya kadhi. Wakipitia kifungu kwa kifungu, bunge wa la muungano wa Tanzania lipitisha vifungu hivyo vya bajeti vilivyoandaliwa na serikali ya CCM. Je serikali ya CCM sasa imekuwa ya kidini? Kama siyo ya kidini kwa nini iwe kwa dini moja tu wakati uanzishwaji wa mahakama za kimila za wamasai, wasukuma, wakatoliki, walutheri haukupata fungu la serikali?

Je sasa CCM ndio imedhamiria kumomonyoa misingi ya umoja wa kitaifa kwa kuleta udini? Je chama hiki kinastahili ridhaa ya watanzania tena? Kwangu mimi hapana na kodi yangu imetumika bila ridhaa yangu na imevunja katiba ya nchi kwa kuleta udini.

Mkuu sasa ili fungu litakuwa limeenda wapi? mana mahakama ya kadhi hakuna tena
 
Kanisa gani linapokea waumini kwa sasa? Namuonea huruma RA, watakata mikono yote na miguu!! hadi atabaki kawoshi!!!

nimeipenda sana hii, kama kweli mahakama ya kadhi inaweza kumchukulia hatua hizo RA basi naiunga mkono
 
Mahakama ya Kadhi? ndio mdudu gani huyu? hakuna mtu ambae hatakubali kodi yake itumike kuanzisha mahakama inayohusu dini moja ingali serikali yenewe inadahi haina dini.kama wanataka hiyo mahakama watafute fedha wao wenyewe na watafute nchi ya kwenda kuanzishia hiyo mahakama yao.

unasema hakuna mtu atakubali wakati ndio hivyo mbunge wako amepitisha hiyo kitu!

mimi nashindwa kuelewa inakuwaje wabunge wanaenda kupitisha miswada mizito bila ya kuzungumza na waliowateua?
 
Vifungu viwili vya bajeti ya wizara ya sheria na mambo ya katiba vimepangiwa shilingi milioni 900 kila kimoja kwa ajili ya mahakama ya kadhi. Wakipitia kifungu kwa kifungu, bunge wa la muungano wa Tanzania lipitisha vifungu hivyo vya bajeti vilivyoandaliwa na serikali ya CCM. Je serikali ya CCM sasa imekuwa ya kidini? Kama siyo ya kidini kwa nini iwe kwa dini moja tu wakati uanzishwaji wa mahakama za kimila za wamasai, wasukuma, wakatoliki, walutheri haukupata fungu la serikali?

Je sasa CCM ndio imedhamiria kumomonyoa misingi ya umoja wa kitaifa kwa kuleta udini? Je chama hiki kinastahili ridhaa ya watanzania tena? Kwangu mimi hapana na kodi yangu imetumika bila ridhaa yangu na imevunja katiba ya nchi kwa kuleta udini.

Bwana Mtanzania wewe peke yako ndio unalipa kodi!!!! Acha hizo ndugu kwanza habari imeandikwa kihisia zaidi kuliko kinadharia, hamna source, wala evidence kujustify your allegation. Pia umoja wa kitaifa hauwezi kuvunjika kwasababu ya mahakama ya kadhi kama unapinga lete hoja zako tuzidiscuss.
 
Hii habari ni ya mwaka jana tarehe 19.7.2009 na ni ya bunge la mwaka jana, imerudishwa hapa na king of kings.
 
Mahakama ya Kadhi? ndio mdudu gani huyu? hakuna mtu ambae hatakubali kodi yake itumike kuanzisha mahakama inayohusu dini moja ingali serikali yenewe inadahi haina dini.kama wanataka hiyo mahakama watafute fedha wao wenyewe na watafute nchi ya kwenda kuanzishia hiyo mahakama yao.
Hii habari ni ya mwaka jana kuhusiana na bunge la mwaka jana. Imerudishwa hapa na king of kings, imeshapitwa na wakati.
 
Kwanza,

Waislam HAWAKUTAKA Mahakama ya Kadhi iwe chombo cha Serikali. Kama Serikali imepitisha bajeti, imefanya hivyo kwa matakwa yake, na si ya kushinikizwa na Waislam. Huenda pia imefanya hivyo kuzua mgogoro ili waumini wa dini nyingine wapinge kuwapo kwa fungu hilo la Serikali, kwani Serikali yetu HAINA DINI!

Pili, Waislam hawatakubali kuwapo kwa Mahakama ya Kadhi yenye mkono wa Serikali, hata kidogo. Hicho sicho walichokitaka. Walichotaka ni kuwapo kwa Mahakama ya Kadhi yenye uwezo wa kisheria, kwa mujibu wa katiba. Kumbukeni kwamba Mahakama ya Kadhi ilikuwapo awali, kabla na baada ya Uhuru, ila iliondolewa kwa sababu za kisiasa. Wanahistoria wanalielewa vema suala hili.

Tatu, haiwezekani hata kidogo kuwapo kwa Mahakama ya Kadhi yenye mkono wa Serikali kwa kuwa hili ni suala la IMANI! Muislam anapodai kuwapo kwa Mahakama ya Kadhi, anachokidai haswa ni haki yake ya KUHUKUMIWA KWA MUJIBU WA QUR'AN, yaani, kuhukumiwa kwa mujibu wa Sharia, ambayo ndiyo inayowaongoza na kuwaongoa waumini wote wa Kiislam, nikiwamo mimi mmoja wao. Iweje leo Serikali ndiyo isimamie Mahakama ya Kadhi? Huko ni kumkufuru Mwenyezi Mungu, kwani hakuna Serikali yoyote ile duniani iliyo juu ya Mwenyezi Mungu! Na Serikali zote zinakubali kuwapo kwa dini, ndio sababu viongozi wanapoapishwa huapishwa kwa misahafu ya dini zao!

Kuna lingine?

Nimemaliza.... kwa leo! 🙂

./Mwana wa Haki

P.S. Tusiropoke bila kuwa na taarifa zenye uhakika!
 
Mwanahaki, hii habari ni ya mwaka jana, inahusiana na bunge la mwaka jana wakati serikali inatafuta utashi wa watanzania wote kuhusiana na jambo hilo. Habari hii imeshapitwa na wakati, angalia tarehe ilipoletwa hapa ni Julai 2009
 
mahakama ya kadhi? Ndio mdudu gani huyu? Hakuna mtu ambae hatakubali kodi yake itumike kuanzisha mahakama inayohusu dini moja ingali serikali yenewe inadahi haina dini.kama wanataka hiyo mahakama watafute fedha wao wenyewe na watafute nchi ya kwenda kuanzishia hiyo mahakama yao.
itaanzishwa hapa hapa bongo. Hata isipokuwa leo basi itakuwa kesho. I think is just a wastage of time to continue discussing this issue. Tukubali tu yaishe na tudiscuss mambo mengine ya maana. Hii mahakama ilikuwepo na ipo nchi nyingine duniani sema tu nyerere aliifreeze hapa tz lakini ndo hinyo imeanza kuamka. Lakini pia huwa hazikati mikono na kuua kama wachangiaji walivyokejeli hapo juu.
 
KipimaPembe,
one thing lead to another -
umesema sheria zetu msingi wake ni common law za uingereza ambazo nyingi zinaweza kuwa traced kwenye early ROMAN EMPIRE na Greek. Je, umewahi kutazama mishingi ya sheria za Roman Epire na Greek?
Pili, kwa nini tuwe na sheria za kuiga Uingereza (founded under Christianity) na sio zetu wenyewe!
 
Back
Top Bottom