Bunge lapitisha bajeti ya mahakama Kadhi

Hii habari ni ya mwaka jana tarehe 19.7.2009 na ilihusiana na bunge la mwaka jana, imerudishwa hapa na king of kings.

Kuna coincidence sana ya tarehe; lakini sasa je, hizo milioni 900 zilikwenda wapi kama mahakama ya Kadhi haikufunguliwa?
 
Kuna coincidence sana ya tarehe; lakini sasa je, hizo milioni 900 zilikwenda wapi kama mahakama ya Kadhi haikufunguliwa?

Swali zuri, kwanza kodi yetu ilitumila bila ridhaa yetu. Sasa tumuulize waziri wa sheria hizo pesa zaidi ya shilingi milioni 900 zimeenda wapi. Pendekeza namna ya kumfikishia swali hili ili atoe majibu kwa watanzania wote kuhusu pesa yetu ilivyotumika.
 
KipimaPembe,
one thing lead to another -
umesema sheria zetu msingi wake ni common law za uingereza ambazo nyingi zinaweza kuwa traced kwenye early ROMAN EMPIRE na Greek. Je, umewahi kutazama mishingi ya sheria za Roman Epire na Greek?
Pili, kwa nini tuwe na sheria za kuiga Uingereza (founded under Christianity) na sio zetu wenyewe!

Mkandara watanzania hatutaki sheria zinazobatiza au kusilimisha watanzania wote. Toa ushahidi wa sheria za Tanzania ambazo zinabatiza au zinasilimisha ili tuziondoshe haraka sana. Watanzania wanavyokataa kusilimishwa kwa njia ya mahakama ya kadhi pia hawataki kubatizwa kwa sheria yoyote ile.
 
tuwe na uhakika na tusemacho. kumbuka jf siyo kundi la watu wa hoja za sokoni. suala la mahakama tajwa ni very sensitive.
 
Hivi mwanafunzi Hawa binti Abdulrahim Alhaj Jumaa akishikwa kwa kuzini na kuhukumiwa viboko atakua na haki ya kukataa na kusema nilivyokua shule niliokoka hivyo mimi sio muislam na hivyo sharia haiko applicable kwangu?
 
Back
Top Bottom