ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,434
- 88,520
Hongera Serikali na hongera Waziri wa Fedha,Sasa kazi ianze
--
Bunge la Tanzania leo limepitisha bajeti kuu ya Serikali kwa 95% ambayo ni sawa na kura 354 za Wabunge.Hii leo Wabunge waliokuwa bungeni ni 374, 18 hawakuwepo bungeni, ukimuondoa Spika, na kura za ndio ni 354, kura za hapana 0 na 20 ni kura zisizokuwa za uamuzi.