mashish
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 833
- 550
Subutuu! Ukigusa hela za wabunge kisheria lazima uanze na za akina Mkapa na Mwinyi na JPM mwenyewe. Hao hawagusiki!Kwa kitendo cha Spika kuweka wazi stahiki Za mbunge ndani ya takribani mwaka mmoja, achilia posho Kila mbunge amelamba zaidi ya million 200tsh, Kwa mantiki Hiyo ndani ya miaka mitano kila mbunge anakomba hazina zaidi ya million 1000tsh, baada ya hapo anakomba tena million Kama 300tsh, Kama mafao yake ambayo hayana kikotoo Kama cha watanzania halisi masikini, ewe mtanzania kama unaamini Hawa jamaa kweli wanaumizwa na Shida zetu masikini, nakushauli kaoge maji ya Mchele.
Mwisho nyie wabunge mnaosimamisha misuli kwenye mitandao ya kijamii huku mkiikomba hazina Tunawatakia mapambano mema Ila jitahidini kipato chenu Kwa ujumla kiwe Hata million 500 tu mafao inclusive ndani ya miaka 5, Hii nchi Bado masikini tunawaomba sana tena Sana ndugu zetu.
Ukiwagusa hapa huwezi kuona utoauti ya wabunge wa CCM na Upinzani..! hapa wote wamoja ata aliyepo Brussels atapinga!Kwa kitendo cha Spika kuweka wazi stahiki Za mbunge ndani ya takribani mwaka mmoja, achilia posho Kila mbunge amelamba zaidi ya million 200tsh, Kwa mantiki Hiyo ndani ya miaka mitano kila mbunge anakomba hazina zaidi ya million 1000tsh, baada ya hapo anakomba tena million Kama 300tsh, Kama mafao yake ambayo hayana kikotoo Kama cha watanzania halisi masikini, ewe mtanzania kama unaamini Hawa jamaa kweli wanaumizwa na Shida zetu masikini, nakushauli kaoge maji ya Mchele.
Mwisho nyie wabunge mnaosimamisha misuli kwenye mitandao ya kijamii huku mkiikomba hazina Tunawatakia mapambano mema Ila jitahidini kipato chenu Kwa ujumla kiwe Hata million 500 tu mafao inclusive ndani ya miaka 5, Hii nchi Bado masikini tunawaomba sana tena Sana ndugu zetu.
Tulime mahindi tupike ugali tule Maisha yasonge Maana Hawa jamaa ni kwikwiUkitaka kuamini hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu kwenye siasa upelekwe mswada wa kupunguza mapato ya hao mabwana wakubwa. Wallahi hutojua kama mle ndani kuna wakutoka chama tawala na upinzani.
Hakuna mwanadamu aliyeushinda ubinafsi.
Dikteta? Kosa tunalofanya upinzani ni kutetea wizi Kwa kutoa mifano isiyo na tija, Lazima tupambane na wawakilishi wetu sababu Ndo tuna uwezo nao ili wao wakalekebishe mengine, tusitukane tujenge hoja Dikteta Hiyo unaijua wewe mkuu
Kweli mkuu Tupo Kama yatima kwenye masuala Ya pesa.Kwenye mshiko hapo,wana wa nchi tupo peke yetu,hakuna cha Zito kabwe,wala Tundu lisu,wala wabunge wa CCM,anayeweza kuleta hoja mapato yao yapunguzwe,kwenye hela watakaa kimya kama sio wao vile,hata mchungaji Msigwa,hutamsikia,
Raisi alipopunguza mshahara wake,si wabunge wa CCM wala upinzani aliyeunga mkono,
Kwenye hela hapo,wananchi tupo peke yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisuu anachukua mil 200 wrwe kajamba nani unatoka povu la bure hapa eti unapambania haki.Dikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.
Unatiaga kinyaa,Dikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.
Kwa hiyo hapa ndio una halali shave wabunge kupokea hizo hela zote au unataka kusemaje sasaAkili finyu
Dooh...aliyetangaza alidhani anamuanika Lisu kumbe wamejianika wenyewe mchana kweupee...Kwa kitendo cha Spika kuweka wazi stahiki Za mbunge ndani ya takribani mwaka mmoja, achilia posho Kila mbunge amelamba zaidi ya million 200tsh, Kwa mantiki Hiyo ndani ya miaka mitano kila mbunge anakomba hazina zaidi ya million 1000tsh, baada ya hapo anakomba tena million Kama 300tsh, Kama mafao yake ambayo hayana kikotoo Kama cha watanzania halisi masikini, ewe mtanzania kama unaamini Hawa jamaa kweli wanaumizwa na Shida zetu masikini, nakushauli kaoge maji ya Mchele.
Mwisho nyie wabunge mnaosimamisha misuli kwenye mitandao ya kijamii huku mkiikomba hazina Tunawatakia mapambano mema Ila jitahidini kipato chenu Kwa ujumla kiwe Hata million 500 tu mafao inclusive ndani ya miaka 5, Hii nchi Bado masikini tunawaomba sana tena Sana ndugu zetu.
Tuanze na Hawa wanaotunga hizi sheria bila kujali itikadi huu ukatili sana Kwa masikini
Huu wizi ccm na chadema hawawezi kuukwepa ndio maana wenye akili huwa tunaona wote ni mataahira tuBado za makinikia, siku hizi hataki hata kuongelea kuhusu makinikia, huko ndiyo hatujui ni ngapi
Wee ni zuzu mkuu jua tu hilo! Hujui hasa huwa unapigania niniWacha ujinga wako na kujibaraguza humu! Tangu lini umekuwa MOD humu kutuamulia cha kuandika?