Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,219
- 10,542
Sawa mbunge kula bata nchi yako hiiPambana na hali yako masikini wewe.
Wanalipwa kwa mujibu wa taratibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mnachekesha Sana humu
Mkuu hapo bado kuna fungu la Ofisi ya Rais,pesa hii huwa haikaguliwi na CAG!Hii huwa anatumia kadri atakavyo!
Na badi anatutishia kila anapopewa MicDikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.
Na bado anaiba kwa kulazimisha miradi yake huku akimchenga kwa ubabe CAG ingawa naye kakomaa naye tuuDikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.
Na bado fuko la hazina lipo chini ya mtoto wa dada anajichotea tu anavyotaka.Dikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.
Hawa jamaa ni Vema wakajisahihisha tena Sana.Duh! Yaani ukiona visenti wanavyolipwa WATANZANIA wa VIWANDANI ambao wanalipwa kwa mujibu wa sheria iliyotungwa na hawa jamaa wa Mjengoni na hata kuifanyia marekebisho hawataki !!!
Hakika Tz tuna safari ndefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umebadilisha mada kwa mapenzi ya chama chako.Akili finyu
kwa nini unamlinda huyo dikteta ndiyo wa kuanza naye. Wabunge hata wakipiga kelele anatishia kuanza na shangazi zaoDikteta? Kosa tunalofanya upinzani ni kutetea wizi Kwa kutoa mifano isiyo na tija, Lazima tupambane na wawakilishi wetu sababu Ndo tuna uwezo nao ili wao wakalekebishe mengine, tusitukane tujenge hoja Dikteta Hiyo unaijua wewe mkuu
mkuu Hiyo Ndo Shida Ya upinzani wa nchi Hii, inabidi tubadilike. Tukemee maovu kuanzia chumbani, sebuleni hadi nje Ndo tutasonga.Naona umebadilisha mada kwa mapenzi ya chama chako.
Jifanye hujui ila wabunge wa ccm na wapinzani wanapiga pesa ndefu halafu wanatu enjoy wapiga kura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijumlisha na Ile 1.5tilioni ya CAG kila mwaka inakuwa ngapi?Dikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.
Sheria zetu zinatungwa na chama kimoja CCM.Tuanze na Hawa wanaotunga hizi sheria bila kujali itikadi huu ukatili sana Kwa masikini
Agenda ni bunge mkuu ndo Lina uwezo kikatiba kuchukua hatua Kama wakiuvaa uzalendo, Angalia mafanikio Ya EFF chini ya Julius Malema walivyoiadabisha ANCkwa nini unamlinda huyo dikteta ndiyo wa kuanza naye. Wabunge hata wakipiga kelele anatishia kuanza na shangazi zao
Ukijumlisha na Ile 1.5tilioni ya CAG kila mwaka inakuwa ngapi?
Facts mkuu.mkuu Hiyo Ndo Shida Ya upinzani wa nchi Hii, inabidi tubadilike. Tukemee maovu kuanzia chumbani, sebuleni hadi nje Ndo tutasonga.