Bunge lajivua Nguo mbele ya wananchi

Bunge lajivua Nguo mbele ya wananchi

WAZIWAZI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
1,815
Reaction score
1,576
Kwa kitendo cha Spika kuweka wazi stahiki Za mbunge ndani ya takribani mwaka mmoja, achilia posho Kila mbunge amelamba zaidi ya million 200tsh, Kwa mantiki Hiyo ndani ya miaka mitano kila mbunge anakomba hazina zaidi ya million 1000tsh, baada ya hapo anakomba tena million Kama 300tsh, Kama mafao yake ambayo hayana kikotoo Kama cha watanzania halisi masikini, ewe mtanzania kama unaamini Hawa jamaa kweli wanaumizwa na Shida zetu masikini, nakushauli kaoge maji ya Mchele.

Mwisho nyie wabunge mnaosimamisha misuli kwenye mitandao ya kijamii huku mkiikomba hazina Tunawatakia mapambano mema Ila jitahidini kipato chenu Kwa ujumla kiwe Hata million 500 tu mafao inclusive ndani ya miaka 5, Hii nchi Bado masikini tunawaomba sana tena Sana ndugu zetu.
 
Dikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.

Ukiwekewa ya Rais,makamu na PM si ndio utachanganyikiwa!!!!!!!
 
Tuliwahi sema siasa ni kikundi cha watu kwa ajili ya manufaa yao kwanza kisha kuleteta kisingizio cha kutetea wanyonge.
Haya sasa vipi waache kupiga kelele za uongo ukisikia kundi kulalamika elewa halitosheki na kidogo linachopata
Ndomana wanatupiana madongo kupumbaza wananchi kumbe lao 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dikteta anachukua milioni 400 kwa mwaka tax free na walipa kodi tunamlipia kila kitu chake ikiwemo chakula, gharama za maji na umeme, matibabu na usafiri wake ndani na nje ya nchi. Hivyo ndani ya miaka mitano analipwa 2 billions tax free.
Dikteta? Kosa tunalofanya upinzani ni kutetea wizi Kwa kutoa mifano isiyo na tija, Lazima tupambane na wawakilishi wetu sababu Ndo tuna uwezo nao ili wao wakalekebishe mengine, tusitukane tujenge hoja Dikteta Hiyo unaijua wewe mkuu
 
Mkuu hapo bado kuna fungu la Ofisi ya Rais,pesa hii huwa haikaguliwi na CAG!Hii huwa anatumia kadri atakavyo!
 
Akili finyu

Dikteta? Kosa tunalofanya upinzani ni kutetea wizi Kwa kutoa mifano isiyo na tija, Lazima tupambane na wawakilishi wetu sababu Ndo tuna uwezo nao ili wao wakalekebishe mengine, tusitukane tujenge hoja Dikteta Hiyo unaijua wewe mkuu
 
Hili bunge lijipelekee mswada wenye kichwa cha habari "tujisahihishe bunge"
 
Back
Top Bottom