Bunge lajivua Nguo mbele ya wananchi

Bunge lajivua Nguo mbele ya wananchi

Kwa kitendo cha Spika kuweka wazi stahiki Za mbunge ndani ya takribani mwaka mmoja, achilia posho Kila mbunge amelamba zaidi ya million 200tsh, Kwa mantiki Hiyo ndani ya miaka mitano kila mbunge anakomba hazina zaidi ya million 1000tsh, baada ya hapo anakomba tena million Kama 300tsh, Kama mafao yake ambayo hayana kikotoo Kama cha watanzania halisi masikini, ewe mtanzania kama unaamini Hawa jamaa kweli wanaumizwa na Shida zetu masikini, nakushauli kaoge maji ya Mchele.

Mwisho nyie wabunge mnaosimamisha misuli kwenye mitandao ya kijamii huku mkiikomba hazina Tunawatakia mapambano mema Ila jitahidini kipato chenu Kwa ujumla kiwe Hata million 500 tu mafao inclusive ndani ya miaka 5, Hii nchi Bado masikini tunawaomba sana tena Sana ndugu zetu.
Watanzania wenyewe mazombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabunge wanatofauti zao kwenye mambo mengi sana, lakini linapokuja suala la maslahi yao hapo tu ndio huwa wanakua kitu kimoja.

Nilishawahi kusema kama ingekuwa ni biashara, bunge ni miongoni mwa uwekezaji unaolitia hasara taifa. Tunawekeza pesa ndefu matokeo hafifu, bora hata lisiwepo tujue moja. Rais, Makamu wa rais, Waziri MKUU, (Mawaziri, Makatibu wa wizara ukijumuisha na wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wao, sioni haja ya wabunge) Alimradi mawaziri ziwe ni ajira za kitaalam mtu anaomba na kufanyiwa usahili kwamba kwanini anafaa kupewa wizara.

Sio lazima tuige kila jambo linavyoendeshwa na nchi zingine, tunaweza kuwa na mfumo wetu.
 
Dhana Ya Bunge dhaifu na upinzani uchwara ninaanza kuuona, kitokee chama chenye Mtazamo chanya Kama EFF kule South Africa chini ya Julius Malema nchi itanyooka Hii
Facts mkuu.

Nilichogundua wote walafi wa rasilimali za Taifa hamna anayeweza kumsema mwenzake kwenye hili.

Lissu ningemkubali angengataa kuchukua hizi pesa maana hakuzifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa akili yako fupi kuna jambo lolote lile ambalo wabunge wapinzani wameweza kulizuia baada ya ndiyo ya wabunge mafisadi wa ccm?
Aanze lissu kukataa hizi pesa maana hakuzifanyia kazi, wananchi tuje kupima bila hivyo ccm na wapinzani ni walafi wa rasilimali za Taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabunge wanatofauti zao kwenye mambo mengi sana, lakini linapokuja suala la maslahi yao hapo tu ndio huwa wanakua kitu kimoja.

Nilishawahi kusema kama ingekuwa ni biashara, bunge ni miongoni mwa uwekezaji unaolitia hasara taifa. Tunawekeza pesa ndefu matokeo hafifu, bora hata lisiwepo tujue moja. Rais, Makamu wa rais, Waziri MKUU, (Mawaziri, Makatibu wa wizara ukijumuisha na wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wao, sioni haja ya wabunge) Alimradi mawaziri ziwe ni ajira za kitaalam mtu anaomba na kufanyiwa usahili kwamba kwanini anafaa kupewa wizara.

Sio lazima tuige kila jambo linavyoendeshwa na nchi zingine, tunaweza kuwa na mfumo wetu.
Sitaki kuvunja sheria Za nchi Nisije nikakwama korokoroni ila bunge linapora pesa Za wanyonge Kwa kiwango cha kutisha.
 
Kwa kitendo cha Spika kuweka wazi stahiki Za mbunge ndani ya takribani mwaka mmoja, achilia posho Kila mbunge amelamba zaidi ya million 200tsh, Kwa mantiki Hiyo ndani ya miaka mitano kila mbunge anakomba hazina zaidi ya million 1000tsh, baada ya hapo anakomba tena million Kama 300tsh, Kama mafao yake ambayo hayana kikotoo Kama cha watanzania halisi masikini, ewe mtanzania kama unaamini Hawa jamaa kweli wanaumizwa na Shida zetu masikini, nakushauli kaoge maji ya Mchele.

Mwisho nyie wabunge mnaosimamisha misuli kwenye mitandao ya kijamii huku mkiikomba hazina Tunawatakia mapambano mema Ila jitahidini kipato chenu Kwa ujumla kiwe Hata million 500 tu mafao inclusive ndani ya miaka 5, Hii nchi Bado masikini tunawaomba sana tena Sana ndugu zetu.
We unadhani kwa ulaji huo wataacha kupiga meza na kusema "ndiyoo"? Wote ni kama mapanya!Halafu muswada ukiletwa, wanachimbwa biti tu kuhusu hayo mapato, wanaufyata!

Sidhani kuna wabunge ambao wanagombea kwa nia ya kutumikia wananchi.
 
Naam wanafanya hivyo lakini kura bungeni za mwaka 47 za ndiyooooo hazisaidii. Kura zingekuwa za siri halafu ziwekwe hadharani tuwajue wabunge gani wameunga mkono na wale waliopinga.

Wakatae uporaji huu Kwa vitendo, wananchi wataelewa na waahidi kushusha Malipo Haya wakipewa kijiti
 
Naam wanafanya hivyo lakini kura bungeni za mwaka 47 za ndiyooooo hazisaidii. Kura zingekuwa za siri halafu ziwekwe hadharani tuwajue wabunge gani wameunga mkono na wale waliopinga.
Kukataa posho kunahitaji kura Za ndiyooo Kama wanabeba million 200 ndani ya mwaka mmoja nje ya posho, siwakatae Kwa vitendo ili wananchi tujue
 
Back
Top Bottom