Bunge lajivua Nguo mbele ya wananchi

Bunge lajivua Nguo mbele ya wananchi

Hiyo sheria ya posho ,marupurupu na mshahara ya wabunge ilipitishwa na wabunge wa chama gani ?na muswaada uliandaliwa na waziri wa chama gani ?
achana na mambo ya vyama kaka kwani hukuona wimbi la hamahama tukemee Kwa umoja wetu wabunge wapunguze pesa wanazopora hazina na ingependeza wazalendo wachache pale bungeni wagomee Hata posho bila kujali vyama wanavyotoka.
 
Sasa kwa akili yako fupi kuna jambo lolote lile ambalo wabunge wapinzani wameweza kulizuia baada ya ndiyo ya wabunge mafisadi wa ccm?
Kwa akili yako ndefu wabunge wa upinzani kama kweli wanapinga kwanini wasiache kuchukua hela nyingi kiasi hicho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dikteta? Kosa tunalofanya upinzani ni kutetea wizi Kwa kutoa mifano isiyo na tija, Lazima tupambane na wawakilishi wetu sababu Ndo tuna uwezo nao ili wao wakalekebishe mengine, tusitukane tujenge hoja Dikteta Hiyo unaijua wewe mkuu

Inaonekana hujui lolote, sheria zote hutungwa na serekali. Huko bungeni ni kwenda kurushiana mate tu lakini sheria hupita kama zilivyotungwa na serikali.
 
Hakuna mbunge anatunga sheria boss. Sheria zinatungwa na serikali, kisha zinapelekwa bungeni kuhalalishwa tena hupita kama rais aliye madarakani anavyotaka. Mifano ipo mingi tena hai.
Tunajitahidi wabunge wazalendo wagomee Hata posho tu mshahara wa million 9 kila mwezi unawatosha na mwingi inabidi nao upungue, Kama kweli wapo kizalendo wapinzani waanze Hata Kwa mgomo
 
Inaonekana hujui lolote, sheria zote hutungwa na serekali. Huko bungeni ni kwenda kurushiana mate tu lakini sheria hupita kama zilivyotungwa na serikali.
Mimi Cjui lolote sawa wewe unaejua washawishi wapinzani wagomee Hata posho tu wachukue million 9tsh mshahara wao wa kila mwezi ili tuone kwamba kweli wana uthubutu
 
achana na mambo ya vyama kaka kwani hukuona wimbi la hamahama tukemee Kwa umoja wetu wabunge wapunguze pesa wanazopora hazina na ingependeza wazalendo wachache pale bungeni wagomee Hata posho bila kujali vyama wanavyotoka.

Chain ya Wala hela za Mabwege ni kubwa kuanzia marais wastaafu, mawaziri wakuu wastaafu, mpaka wastaafu nk. Hawa wote wanalipwa mpaka wafe. Kibaya zaidi wote huwa na miradi waliyopata isivyo halali kutokana na kutokuwa waadilifu. Hili sio suala la wabunge tu, ni mfumo mzima.
 
tunahitaji wabunge wenye uzalendo waanze kukataa Kwa vitendo Hata mbuyu ulianza Kama mchicha.
 
Tunajitahidi wabunge wazalendo wagomee Hata posho tu mshahara wa million 9 kila mwezi unawatosha na mwingi inabidi nao upungue, Kama kweli wapo kizalendo wapinzani waanze Hata Kwa mgomo

Unachekesha ile mbaya, ukigomea zinaliwa na hutafanya lolote. Mfano wa zile hela za bunge la katiba baada ya ukawa kususia zilienda wapi? Haya mambo huwa tunapinga, tukisema tuandame kuonyesha hasira mnasema tunapinga kila kitu na amani ya nchi inaharibika.
 
tunahitaji wabunge wenye uzalendo waanze kukataa Kwa vitendo Hata mbuyu ulianza Kama mchicha.

Ccm ndio inajiita wazalendo, washauri wasusie. Kisha rais ndio anajiita mzalendo zaidi, mwambie asusie hayo maposho, au athubutu basi hata kutaja mshahara wake roho zetu ziridhike. Ni hivi, neno uzalendo ni kichaka cha kujifichia ili wajinga waendelee kuliwa.
 
Unachekesha ile mbaya, ukigomea zinaliwa na hutafanya lolote. Mfano wa zile hela za bunge la katiba baada ya ukawa kususia zilienda wapi? Haya mambo huwa tunapinga, tukisema tuandame kuonyesha hasira mnasema tunapinga kila kitu na amani ya nchi inaharibika.
basi tindo ngoja wale Maana Naona wapinzani wakikosolewa wewe unapata tabu sana, ngoja tukufurahishe wapinzani kuendelea kukomba pesa hazina kama wa CCM wapo sahihi na wanastahili pongezi Kwa uzalendo Huo, hope roho yako sasa kwatu mkuu Tindo
 
Dikteta? Kosa tunalofanya upinzani ni kutetea wizi Kwa kutoa mifano isiyo na tija, Lazima tupambane na wawakilishi wetu sababu Ndo tuna uwezo nao ili wao wakalekebishe mengine, tusitukane tujenge hoja Dikteta Hiyo unaijua wewe mkuu
Hata Dikteta ni muwakilishi wetu at a national level kwahi anapaswa kujadiliwa pia kama ilivyo kwa Wabunge, they all belong in the same pit.
 
Mimi Cjui lolote sawa wewe unaejua washawishi wapinzani wagomee Hata posho tu wachukue million 9tsh mshahara wao wa kila mwezi ili tuone kwamba kweli wana uthubutu

Ni hivi tunataka hela za wapinzani ziingie kwenye account zao haraka iwezekanavyo leo. Na hela za Tundu Lissu mpaka leo saa 6 usiku awe ameshapata ana kikao muhimu tarehe 5 huko US. Kitendo cha kuchelewesha hela zao tutaelewana vibaya. Sheria zinatungwa na ccm, wapinzani wameshapambana sana na sasa wameishia jela na kupigwa risasi. Hao wazalendo wa ccm wasusie ili wapate kura zaidi.
 
basi tindo ngoja wale Maana Naona wapinzani wakikosolewa wewe unapata tabu sana, ngoja tukufurahishe wapinzani kuendelea kukomba pesa hazina kama wa CCM wapo sahihi na wanastahili pongezi Kwa uzalendo Huo, hope roho yako sasa kwatu mkuu Tindo

Wapinzani kwenye hela? Ni mangapi wamekuwa wanapinga na kushauri lakini wingi wa ccm unatumika vibaya kupitisha sheria za kihuni? Ccm ndio wamejinasibisha na uzalendo na rais kila siku anahubiri uzalendo, hapa ndio kipimo halisi cha uzalendo. Kinyume na hapo toeni hela za wanaume haraka iwezekanavyo.
 
Kwenye mshiko hapo,wana wa nchi tupo peke yetu,hakuna cha Zito kabwe,wala Tundu lisu,wala wabunge wa CCM,anayeweza kuleta hoja mapato yao yapunguzwe,kwenye hela watakaa kimya kama sio wao vile,hata mchungaji Msigwa,hutamsikia,
Raisi alipopunguza mshahara wake,si wabunge wa CCM wala upinzani aliyeunga mkono,
Kwenye hela hapo,wananchi tupo peke yetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Rais wa nchi ipi aliwahi kupunguza mshahara wake? Naona tumechoka kuheshimiana.
 
Back
Top Bottom