Roman Israel Esq
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 2,024
- 3,283
Hapo ndo umekosea. Ni kweli tulishawahi kulalamika sana kuhusu hayo malipo. Upizani labda wangekataa isingesaidia kwasababu ccm wao ni wengi na kazi yao ni kupiga meza tu.Facts mkuu.
Nilichogundua wote walafi wa rasilimali za Taifa hamna anayeweza kumsema mwenzake kwenye hili.
Lissu ningemkubali angengataa kuchukua hizi pesa maana hakuzifanyia kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa Lissu unamuonea acha ujinga.