Bunge lageuzwa ukumbi wa ngonjera.

Bunge lageuzwa ukumbi wa ngonjera.

Mr Vitumbua...... Mr vigwangala.

ImageUploadedByJamiiForums1359971428.698933.jpg
 
Nilisha waambia na leo narudia, wasomi ndo wanaotumika kuliangamiza taifa hili. kigangwalaaa huyu ni mchumia tumbo, hana lolote, masters ya uchumi ni nini bana?, mbona hata Lameck Mkumbo a.k.a vuvuzela anayo.
 
Mbunge wa nzega dr. Hamis kigwangala wakati akijibu na kuhitimisha hoja yake bungeni anashindwa kufanya hivyo bali anamshambulia tu Tundu lissu, kwa mimi namshangaa msomi daktari akishindwa kukontrol hasira zake na kuonmgea matusi bungeni! Nashangaa sana jamani hiki kitendo na naibu spika anaruhusu tu vitu kama hivi ndani ya bunge letu.

udaktari wa nzoki? busara na self control ni kitu adimu sana bungeni
 
Ndo tatizo la hili bunge. Hawako serious na hoja za msingi badala yake wanafanya maigizo tu
 
Ndo maana namtaka MJOMBA haraka anafiti kila namba kwenye hili gemu!
 
Kingwangala anasema tangu leo anamtangaza Tundu Lissu kama adui namba moja wa vijana Tanzania.
Mwanasheria mkuu wa serikali amesimama na kumtaka afute maneno yake pamoja na Ndugai kukazia lkn aliendelea kusema eti yeye ni level nyingine hawezi kupingana na watu wasiojua kinachoendelea
kigwangallah hana heshima wala wadhifa wa kumtangaza yoyote, popote kuwa adiu au rafiki wa yoyote tanzania.... Labda mkewe tu
 
Amesemaje? Hebu tupe dondoo za aliyoyasema Dr. Hamis Kigwangala

Dr. Kigwangala anamwambia Lissu kuwa si mwelewa na ni mpuuzi na akiongeza kusema Tulia dawa ikuingie na akaendelea kuporomosha matusi huku wabunge wengine akishindwa kujibu hoja zao.
 
Ndo tatizo la hili bunge. Hawako serious na hoja za msingi badala yake wanafanya maigizo tu
Sasa ivi pale Jambo la Msingi kabisa ni MASLAHI YAO ndo mhimu,
Wala halitishi kama mabunge ya zamani, hakuna heshima. Lakini yote hiyo ni Uhuni wa serikali
Kuchagua spika kwa kigezo cha jinsia!! ngoja iwe comedi
 
Leo ndo nimeamini @HKingwangallah ni mpuuzi, pamoja na kusoma naye na kuwa na kibinti Maganzo, upuuzi wake umeongezeka

kibinti chenyewe cha Maganzo kinasema kuna watu wawili walimsaidia sana kukasemelezea vinginevyo alikuwa hajimudu
 
Kingwangala kasema yeye ni msomi mwenye masters ya uchumi na kwa sasa anafanya Phd sijui ya vitu gani vile, kwa hiyo hawa wapinani watulie dawa iingie.

Kaka ukiona mtu anapenda sana watu wamtambue ana nini ujue ana matatizo ya kisaikolojia hata kama yeye mwenyewe ni dr wa saikolojia.
Hakika kuna mapungufu ya kujielewa na kujidhibiti.
 
Hawa wabunge aina ya kigwangala wanaendelea kuharibu sifa ya ccm machoni mwa wananchi!yaani ni mpuuzi kupita maelezo.
 
Kingwangala=Nchemba=Lusinde, huwezi jua yupi ana digree wala yupi ni wa Darasa la Saba. kingwangala na Nchemba kwanza wote ni wezi wa majina ya watu, ndio maana akili zao zipo sawa na Lusinde. Hovyo kabisa hao
 
Hao Kigwangala na huyuo Tundu acha watukanane maana mwisho wa siku wote wanapokea posho.
 
Alichokifanya HKigwangalla a.k.a "dokta vitumbua" ndio upeo wake unapoishia kwahiyo hakuna sababu ya kumshangaa wala kumlaumu. Fikiria mtu anasema eti anasoma PhD lakini anathubutu kuhonga vitumbua sasa hapo kuna dalili yoyote ya usomi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom