Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,756
Kazi kweli kweli..wasomi wa hii nchi ni pumba tupu...CCM kama haya ndiyo majembe yao imekula kwao....
Hoja imeisha kwa vijembe tu hakuna lolote. Napingana na waliosema mbunge kwenye katiba awe graduate nadhani kumbe elimu sio kipimo cha ustaarabu.
Hapo kwenye blue, Lissu alikuwa anawasilisha hoja gani hadi yamemkumba hayo na huyo KIGWA wa JF??
Mkuu Chakaza, hebu nipe hoja ya Lissu japo kwa muhtasari tu
Nimeudhika zaidi na jinsi Ndugai alivyozima hoja ya Mh. Mnyika kwa vitu visivyo vya msingi.
Hoja yenye maslahi kwa watu wa Dar.
Hoja ya kutaka hatua za dharura zichukuliwe kutatua tatizo la maji DAR.
Anamkomoa mbunge wa upinzani au wananchi?
Kingwangala anasema tangu leo anamtangaza Tundu Lissu kama adui namba moja wa vijana Tanzania.
Mwanasheria mkuu wa serikali amesimama na kumtaka afute maneno yake pamoja na Ndugai kukazia lkn aliendelea kusema eti yeye ni level nyingine hawezi kupingana na watu wasiojua kinachoendelea
Kingwangala kasema yeye ni msomi mwenye masters ya uchumi na kwa sasa anafanya Phd sijui ya vitu gani vile, kwa hiyo hawa wapinani watulie dawa iingie.
kingwangala kasema yeye ni msomi mwenye masters ya uchumi na kwa sasa anafanya phd sijui ya vitu gani vile, kwa hiyo hawa wapinani watulie dawa iingie.
Hoja imeisha kwa vijembe tu hakuna lolote. Napingana na waliosema mbunge kwenye katiba awe graduate nadhani kumbe elimu sio kipimo cha ustaarabu.