Inasikitisha kwa kweli, wao hata panya ni issue, wakiona nyoka ndio usiombe, hata wanawake Dar wametuzidi kwa ujasiri..🙁😡😕😱Wanaume wa Dar wanaogopa ndege
Anatafuta chakula huyo , na chakula kikuu cha bundi ni panya. Aidha wewe au jirani yako mnafuga panya. Endesheni operation tokomeza panya mkuu!Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.
Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza sauti. Nimemuuliza jirani yangu kwa simu kama hampigii kelele ikiwezekana akamfukuze lakini hajanijibu, nahisi anaogopa. Nimejaribu kuwasiliana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesema nipambane na hali yangu.
Kuna mwanajeshi anakaa mtaa wa pili kanishauri nimpotezee ikiwezekana niweke head phone ili nisimsikie. Naombeni ushauri
Ahahaaaa...Kwa hiyo una maana jirani yangu atakufa. Maana mpapai upo karibu zaidi na nyumba yake japo ni wa kwangu.
Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.
Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza sauti. Nimemuuliza jirani yangu kwa simu kama hampigii kelele ikiwezekana akamfukuze lakini hajanijibu, nahisi anaogopa. Nimejaribu kuwasiliana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesema nipambane na hali yangu.
Kuna mwanajeshi anakaa mtaa wa pili kanishauri nimpotezee ikiwezekana niweke head phone ili nisimsikie. Naombeni ushauri
Ana njaa huyo wee umetoa papai zote wee unafikiri atakula nini kaamua kukuliliaJamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.
Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza sauti. Nimemuuliza jirani yangu kwa simu kama hampigii kelele ikiwezekana akamfukuze lakini hajanijibu, nahisi anaogopa. Nimejaribu kuwasiliana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesema nipambane na hali yangu.
Kuna mwanajeshi anakaa mtaa wa pili kanishauri nimpotezee ikiwezekana niweke head phone ili nisimsikie. Naombeni ushauri
Kemea!Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.

[emoji23][emoji23] badala ya kufa mtu anakufa yeye mwenyewe bundiEnzi zangu namtafutia manati,nyanya za mia 3 na kitunguu....saaafi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KUMBE ni BUNDI.. ngoja nikuulize swali.. UNAIJUA kazi ya MANATI??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Msimtishe mwenzenu...Una mgonjwa nyumbani? Nijibu nitiririke