New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,447
- 2,678
dume zima unaogopa ndege kama bundi....shida kweli kweli...Jamani uoga ni asili ya binadamu. Utafiti unaonesha kila binadamu ambaye hajafa ni muoga.
Hapa kwangu yamenikuta, Kuna bundi kavamia, yupo juu ya mpapai analia kwa sauti kama vile anatumia kipaza sauti. Nimemuuliza jirani yangu kwa simu kama hampigii kelele ikiwezekana akamfukuze lakini hajanijibu, nahisi anaogopa. Nimejaribu kuwasiliana na mwenyekiti wa serikali ya mtaa amesema nipambane na hali yangu.
Kuna mwanajeshi anakaa mtaa wa pili kanishauri nimpotezee ikiwezekana niweke head phone ili nisimsikie. Naombeni ushauri
Nifanyaje. Msaada pleaseGundu hilo!
Ova
Ngoja tukuitie....@mshana Jr...Nifanyaje. Msaada please
Wiki iliyopita tu nilikuwa beach, nimeshaoga maji ya bahari. Au nifanyaje mkuuKasafishe nyota yako.Bundi ana gundu
Nipo porini kidogo. Mji haujakuwa kivileMkuu kama unakaa Sinza basi nomaa hiyo ila kama upo Pugu Kajiungeni ujue hamna tatizo, ndio makazi yao hayo.
Nenda bagamoyo ukapige ramli.Wiki iliyopita tu nilikuwa beach, nimeshaoga maji ya bahari. Au nifanyaje mkuu
Neema gani? Mbona wengine wanaongea kifoNeema inakuja hiyo unaukwaa ukuu wa..... ya soon
Nimeshaisikia sana hiiDaaaah anza kuandaa mazishi mkuu,anza kukopa fedha,anza kutengeneza mazingira vizuri ya home maana msiba unakuja.
Ila kiwanja kina mgogoro. Mpapai niliukuta tu, sijui nani aliupanda. Ina maana atakufa?