Bunda: Wenye mabucha wote wasitisha huduma ya kuchinja

Bunda: Wenye mabucha wote wasitisha huduma ya kuchinja

Aa waacheni wataanza kuchinja wenyewe gongeni kuku, Samaki ,Dagaa ,Majani watanyooka wenyewe.
 
Wale kitimoto ?

Anaetaka na ale tu kwa raha zake.

Hebu nieleze wewe unaekula, nasikia minyoo yake huwa haifi na huwasha kuleeeee. Ndiyo maana tunaona:

RevCowardAndGaymateBobbyEgbele.jpg
 
Mwalimu Nyerere alipoweka Tume ya Bei aliyajua haya. Kwanini kuwe na ewura ktk mafuta, lakini isiwepo kwenye nyama na bidhaa nyingine? Nchi hii kila mtu anapiga bei kadri anavyotaka.
 
Waache tu, Red meat kitu gani bana.

Kwanza nyama nyekundu hizi zina madhara sana kwa binaadam, nawashauri mle mboga mboga, samaki, maharage, kunde, dagaa n.k watanyooka wenyewe na manyama yao.
 
FaizaFoxy anadai eti ni haramu! Wajinga ndio waliwao

Hakika ni kuwa Agano la Kale katika Biblia imekataza ulaji wa nguruwe na akafanywa kuwa ni haramu: "Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao" (Walawi 11: 7 – 8).

Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shari'ah 14: 7 – 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari'ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
 
Hakika ni kuwa Agano la Kale katika Biblia imekataza ulaji wa nguruwe na akafanywa kuwa ni haramu: ?Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao? (Walawi 11: 7 ? 8).

Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shari?ah 14: 7 ? 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari?ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
Wewe mwenyewe ni najisi .
 
Anaetaka na ale tu kwa raha zake.

Hebu nieleze wewe unaekula, nasikia minyoo yake huwa haifi na huwasha kuleeeee. Ndiyo maana tunaona:

RevCowardAndGaymateBobbyEgbele.jpg
Wewe bibi utakuwa na laana siyo bure nakupuuzia .
 
Anaetaka na ale tu kwa raha zake.

Hebu nieleze wewe unaekula, nasikia minyoo yake huwa haifi na huwasha kuleeeee. Ndiyo maana tunaona:

RevCowardAndGaymateBobbyEgbele.jpg

Tatizo liko wapi katika hii pic? Ujinga mzigo
 
biashara huria. wilayani wanahusika vipi na bei ya nyama?
 
Back
Top Bottom