Bunda: Wenye mabucha wote wasitisha huduma ya kuchinja

Bunda: Wenye mabucha wote wasitisha huduma ya kuchinja

jaffari yogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
685
Reaction score
148
Hawa wafanyabiashara wamesitisha huduma baada ya kuitwa wilayani kueleza ni kwa nini wamepandisha bei ya nyama.

Steki 6000 hadi 8000
Mchanganyiko 5000 hadi 6000
Utumbo kubakia palepale bei ya 4000.

Huduma hii wamesitisha bila kuambiwa na serikali na kuwasababishia walaji usumbufu mkubwa.
 
Red meat is not safe 4 ur health, wacha wananchi waepuka kupata gaut!
 
Bunda mko karibu na ziwa, kuleni samaki kwa afya yenu.
 
Ningekuwa huko ningesahau red meat, samaki na dagaa kwa kwenda front...
 
nguruwe je,teljl them to go for nguruwe aka kitimoto
 
Maharage soya/kijivu yapo halafu huku kwetu bei ya nyama mbona elfu 7000/~ hadi 8000/-na hadi 9000/- na tumezoea.
 
Siku hizi rafiki zangu wachina wala hawanisumbui hapa mbwa na paka tu tena bure.
 
Dawa yao ni kuwanyang'anya leseni na kuwapa wenye uwezo wa kutoa huduma hiyo kwa gharama nafuu kwa wananchi. Wapuuzi sana.
 
Back
Top Bottom