DC Mwenda apiga marufuku upandishaji holela wa nyama, aagiza wauzaji kuuza kwa bei elekezi ya serikali- Iramba

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
327
414
DC MWENDA APIGA MARUFUKU UPANDISHAJI HOLELA WA NYAMA, AAGIZA WAUZAJI KUUZA KWA BEI ELEKEZI YA SERIKALI- IRAMBA.

Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaagiza wamiliki wa mabucha, wachinjaji na wauzaji wa nyama kuacha mara moja tabia ya kupandisha bei ya kitoweo hicho kiholela na bila ya sababu za msingi huku ndani ya Wilaya kukiwa na bei zaidi ya 3 za nyama.

DC Mwenda amesema haiingii akilini kwa bei ya nyama kwa miji mikubwa kuwa chini halafu Wilayani kama Iramba kuwa na bei ya juu kufikia elfu 8 mpaka elfu 10.

Ameagiza kuuza kilo ya nyama mchaganyiko kwa Tsh 7000 tu na kilo ya nyama isiyokuwa na mifupa kwa Tsh 8000 na bei hiyo itumike kwa maeneo yote ndani ya Wilaya yake ya Iramba kwani hakuna sababu za msingi kwa wauzaji wa nyama kupandisha bei.

DC Mwenda ametoa agizo hilo Jana Jumatano Aprili 6, 2022 wakati alipokuwa akiongea na wamiliki wa
mabucha, wachinjaji na wauzaji wa nyama katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba. Agizo hilo linakuja ikiwa ni siku chache baada ya Mkuu huyo wa wilaya kufanya uchunguzi wa bei za kuuza nyama kwa kilo moja katika wilaya za Ikungi, Singida Manispaa na Mkalama ambako kote huko
wamekuwa wakiuza kilo moja ya nyama kwa Tsh
7000 tu huku Iramba bei ikiwa juu ya 7000.

"Wakati wilayani Iramba hali ikiwa ni tofauti ambapo katika eneo la Mtekente kilo moja ya nyama ikiuzwa
kwa Tsh 7000, Shelui Tsh 7000, Misigiri Tsh 7000,
Oldi Kiomboi 7000 na Mjini Kiomboi ikiuzwa
katika baadhi ya bucha kwa Tsh 8000, 9000 hadi 10,000 kwa kilo moja. Ndani ya wilaya moja bidhaa moja ina bei tofauti tofauti kitu ambacho sio rafiki, hata kama tuko katika soko huria, hivyo ipo haja ya kuwa na bei ya juu
elekezi kwa wilaya nzima." Alisema Mhe. Mwenda.

“Ni jambo la ajabu kabisa katika Jiji la Mwanza kilo moja ya nyama inauzwa Tsh 7000 halafu hapa
Kiomboi kilo moja ya nyama inauzwa kwa Tsh 9000 mpaka 10000, hivyo tunakubaliana kuwa kiwango cha bei ya juu ya kilo moja ya nyama itakuwa Tsh
7000.” Alisisitiza Mkuu huyo wa wilaya nakuongeza kuwa
“Bei elekezi kwa sasa ni Tsh 7000 na hatutegemei kukuta bucha katika wilaya yetu inauza kilo moja ya nyama kwa bei zaidi ya Tsh 7000.”

Aidha, Mwenda alisema kuwa wanahitaji kuona
katika wilaya hiyo katika siku za usoni wanapata machinjiyo ya kisasa ambayo yatakuwa yakiwezesha wanyama kuchinjwa hapo na kufungasha kwa ajili
ya kuuza ndani ya wilaya, mkoa, Tanzania nzima na nje ya nchi. Pia, alionesha kusikitika baada ya kuona ongezeko kubwa la bei ya nyama wakati anafika akiwa mkuu wa wilaya hiyo, kilo ya nyama ilikuwa ikiuzwa kwa Tsh 6000.

Hali kadhalika, Mwenda amemuelekeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo kuhakikisha katika bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 wanatenga fedha kwa ajili ya kujenga machinjio ya kisasa katika kila tarafa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha
kila nyama inapimwa na daktari ili kuthibitisha
usalama na ubora wake.
Katika kuhakikisha nyanja ya mifugo inachangia
katika mapato ya Halmashauri.

Mhe Mwenda kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri hiyo, Mhandisi Michael Matomora walifanikiwa kuinua mapato yanayotokana na kuuza
mifugo katika minada kutoka kwenye Tsh 16 hadi 18 milioni kwa makusanyo ya jumla ambapo kwa
sasa imefikia Tsh 40 hadi 50 milioni.

Akiongea katika kikao hicho Mkuu wa jeshi la Polisi wilayani hapa Henry Makwasa amewataka Wafanyabiarasha hao kutoa taarifa ya watu
wanaouza nyama mitaani ili jeshi la polisi
liwachukulie hatu kwa sababu hao ndio wanaodaiwa kuwa na tabia ya kuiba mifugo na kuchinja bila ya kufuata utaratibu.

Makwasa alimshauri pia Mkuu wa Idara ya Mifugo Dkt Dotto Thomas kuendesha oparesheni ya kuchanja mifugo ili mifugo hiyo iweze kunenepa na
kuepukana na minyoo kwa sababu kufanya hivyo kutasaidia Iramba kuwa na ng’ombe wenye afya na ubora mkubwa.

Kwa upande wake mmoja wa wauzaji wa nyama
wilayani hapa, Zakaria Shila alithibitisha kuwa wao katika maeneo yao wanauza kilo ya nyama kwa Tsh 6000 hadi 7000 kwa sababu wakiuza zaidi ya Tsh 7000 au 8000 hakuna atakayenunua.
Naye Asha Juma mfanyabiasha ya mamantilie
alimshukuru Mkuu huyo wa wilaya kwa agizo la kupunguza bei ya kilo ya nyama iuzwe Tsh 7000 kwa sababu hapo awali walikuwa wakipata
changamoto ya kununua kilo moja ya nyama kwa
Tsh 8000, 9000 hadi 10000 kwa baadhi ya bucha mjini Kiomboi.

IMG-20220407-WA0006.jpg
 
Attachments

  • VID-20220407-WA0002.mp4
    16.6 MB
K2aji demand and supply haifanyi kazi yake ? Soko huria bei ilipanda wananchi anashindwa kununua watatafuta alternative
 
Kutokana na vita vya Russia na Ukraine kutatokea mfumko mkubwa wa bei za bidhaa, na hata kwa nyingine ambazo bado hazijapanda mtarajie hivyo- SSH
 
View attachment 2178871
Amepozi na bendera ya kukereza hajui Russia imeshikilia uchumi wa kila nchi hivi sasa
 
Ng'ombe wanaletwa kwa gali,iramba ni mji mkame sana, petrol imepanda nyama itaacha kupanda?
Na tulikubalia tuchague CCM ,maana CHADEMA walituchelewesha sana kupata maendeleo.
 
Huyu diisii hakutumbuliwa?
Huyu diisii ameshawahi kufuga?
Huyu diisii ameshawahi kufanya biashara ya nyama au anaongea tu.
 
Back
Top Bottom