Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Acha kusoma maandiko matakatifu kibubusa bubusa! Kiingiacho mdomoni kwenda tumboni then chooni si najisi bali kitokacho ndio najisi. Ndo mana mi nagonga hadi vibuduHakika ni kuwa Agano la Kale katika Biblia imekataza ulaji wa nguruwe na akafanywa kuwa ni haramu: ?Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao? (Walawi 11: 7 ? 8).
Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shari?ah 14: 7 ? 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari?ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.