Bulembo amtaka Lowassa awataje wanaoonewa kwenye kodi

Bulembo amtaka Lowassa awataje wanaoonewa kwenye kodi

Ikungi huwa unawaza nini??heading nzuuuri umeshindwa kuchombeza hata kidogo mkuu
 
ccm kwa maigizo hawajambo. kwani kuna umuhimu gani wa kutaja majina? jambo hili sio geni masikioni mwa watanzania wapenda demokrasia..
Wasije kuwa wanafadhiliwa na magenge ya wauza dawa za kulevya
 
Bulembo sio saizi ya Lowasa. Alitakiwa ajibiwe na JPM kuwa kama unaushahidi ampelekee.

TUachane na size au sio size, I think tuhuma za Lowassa zimeelekezwa kwa serikali na hivyo idara husika zingeweza kutoa majibu sahihi zaidi with facts and figures

Inasikitisha sana chama pamoja na kumpata Rais makini, bado kina hizi remnants za kubwabwaja zilizoongeza sana chuki against CCM

Time for the party to change image yake iendane nad portray ya magufuli, afterall he is the next party chairperson
 
Ikungi huwa unawaza nini??heading nzuuuri umeshindwa kuchombeza hata kidogo mkuu
Halafu huu mtindo wa watu kupost ukurasa wa gazeti na kuishia kusoma kichwa cha habari badala ya kuweka walau muhtasari wa habari tajwa, umeanza kushamiri sana humu JF. Mtindo huu siupendi kwa kweli na inaonyesha watu hawako serious na kitu wanachotaka tujadili.
 
Halafu huu mtindo wa watu kupost ukurasa wa gazeti na kuishia kusoma kichwa cha habari badala ya kuweka walau muhtasari wa habari tajwa, umeanza kushamiri sana humu JF. Mtindo huu siupendi kwa kweli na inaonyesha watu hawako serious na kitu wanachotaka tujadili.
Manyumbu ndio tabia zao hasa mkulima wa kiteto ndio zake
 
1150209_1018064774924647_8588596088947288204_n.jpg
Naona umekurupushwa na ushuzi wa asubuhi
 
Bulembo mtu wa kulopoka na kuingilia mambo bila utafiti.alituharibia mpira mkoa wa Mara WAZAZI CCM kwa Bulembo mta isoma namba.Najuta kumfahamu.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Sote tumesikia kauli aliyotoa Lowasa huko Monduli wakati wa mkesha wa Mwaka mpya 2016 ambapo akiwa Madhabahuni ameitaka Serikali kuacha kuwanyanyasa wafanyabiashara waliomuunga mkono. Kwamba kwa sasa Serikali inawanyanyasa wafanyabiashara hao huku wakilipishwa kodi kubwa kuliko inavyostahiki.

Binafsi nimetafakari sana kauli hii na nimeshindwa kupata msingi wake. Utata zaidi umekuja baada ya Lowasa mwenyewe kushindwa kutaja majina ya wafanyabiashara hao ambao walimuunga mkono na sasa wananyanyaswa na Serikali. Kwa vile majina ya wafanyabiashara waliomuunga Mkono Lowasa ninayo, kwa heshima na taadhima ya Jamiiforums nayaweka hapa ili sote tutafakari kwa pamoja ni mfanyabiashara yupi ananyanyaswa na serikali. Nimeweka majina ya wale wafanyabiashara wakubwa tu ambao walichangia kiasi kikubwa harakati za Lowasa kwenda Ikulu. Sijaweka wale waliochangia fedha ya mboga.

JINA LA MFANYABIASHARA KIASI ALICHOCHANGIA
1. Rostam Aziz. Tsh. Bilioni 234.7
2. Tanil Somaiya. Tsh. Bilioni 126.2
3. Yusuph Manji. Tsh. Bilioni. 110.84
4. Jeetu Patel (Jayantkumar Chandubhai). Tsh. Bilioni 96.1
5. Reginald Mengi. Tsh. Bilioni 80.3
6. Subash Patel Tsh. Bilioni 52.49
7. Nazir Karamagi. Tsh. Bilioni 51.26

Kama nilivyosema hapo juu ni kwamba hawa ni baadhi tu ya wafanyabiashara ambao walijitokea kumsaidia Lowasa na UKAWA. Kiasi cha fedha ambacho kila mmoja amechangia nimekibainisha.

Kwa mantiki hiyo, ni vema Lowasa ama wale vijana wake wakajitokeza na kubainisha ni mfanyabiashara gani kati ya hawa niliowaorodhesha ananyanyaswa na Serikali. Kama yupo si kutokana na kumsaidia Lowasa na UKAWA bali ni kutokana na kukiuka misingi ya kufanya biashara. Lowasa aache kulia lia. Ninachokiona hapa ni kwamba anatafuta sababu za kuigombanisha Serikali na Wafanyabiashara kitu ambacho hatafanikiwa
 
Original draft of this thread
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    91.6 KB · Views: 27
Wewe jamaa unaboa. Mmeiba kura mmefilisi watanzania kwa kukomba na kusafisha hazina. Yani bora ungenyamaza tu na umuache mzee ngoyai apumzike. Tumewaacha mtawale na mzidi kuwabomolea your fellow countrymen makaz yao.
 
Back
Top Bottom