Wadau, amani iwe kwenu.
Sote tumesikia kauli aliyotoa Lowasa huko Monduli wakati wa mkesha wa Mwaka mpya 2016 ambapo akiwa Madhabahuni ameitaka Serikali kuacha kuwanyanyasa wafanyabiashara waliomuunga mkono. Kwamba kwa sasa Serikali inawanyanyasa wafanyabiashara hao huku wakilipishwa kodi kubwa kuliko inavyostahiki.
Binafsi nimetafakari sana kauli hii na nimeshindwa kupata msingi wake. Utata zaidi umekuja baada ya Lowasa mwenyewe kushindwa kutaja majina ya wafanyabiashara hao ambao walimuunga mkono na sasa wananyanyaswa na Serikali. Kwa vile majina ya wafanyabiashara waliomuunga Mkono Lowasa ninayo, kwa heshima na taadhima ya Jamiiforums nayaweka hapa ili sote tutafakari kwa pamoja ni mfanyabiashara yupi ananyanyaswa na serikali. Nimeweka majina ya wale wafanyabiashara wakubwa tu ambao walichangia kiasi kikubwa harakati za Lowasa kwenda Ikulu. Sijaweka wale waliochangia fedha ya mboga.
JINA LA MFANYABIASHARA KIASI ALICHOCHANGIA
1. Rostam Aziz. Tsh. Bilioni 234.7
2. Tanil Somaiya. Tsh. Bilioni 126.2
3. Yusuph Manji. Tsh. Bilioni. 110.84
4. Jeetu Patel (Jayantkumar Chandubhai). Tsh. Bilioni 96.1
5. Reginald Mengi. Tsh. Bilioni 80.3
6. Subash Patel Tsh. Bilioni 52.49
7. Nazir Karamagi. Tsh. Bilioni 51.26
Kama nilivyosema hapo juu ni kwamba hawa ni baadhi tu ya wafanyabiashara ambao walijitokea kumsaidia Lowasa na UKAWA. Kiasi cha fedha ambacho kila mmoja amechangia nimekibainisha.
Kwa mantiki hiyo, ni vema Lowasa ama wale vijana wake wakajitokeza na kubainisha ni mfanyabiashara gani kati ya hawa niliowaorodhesha ananyanyaswa na Serikali. Kama yupo si kutokana na kumsaidia Lowasa na UKAWA bali ni kutokana na kukiuka misingi ya kufanya biashara. Lowasa aache kulia lia. Ninachokiona hapa ni kwamba anatafuta sababu za kuigombanisha Serikali na Wafanyabiashara kitu ambacho hatafanikiwa
@Lizaboni habari yako hii ushahidi halali upo wapi??!!Original draft of this thread
Hivi we bado una hadithi za kuibiwa kura ambazo hazikuwepo!! Huyo Lowasa habari yake ndio imeishia hapo. Sasa kama walimkopesha atajiju.Wewe jamaa unaboa. Mmeiba kura mmefilisi watanzania kwa kukomba na kusafisha hazina. Yani bora ungenyamaza tu na umuache mzee ngoyai apumzike. Tumewaacha mtawale na mzidi kuwabomolea your fellow countrymen makaz yao.
Pole sana Molembe. Kani hapo upotoshaji upo wapi?Upotoshaji kama huu TCRA wapo wapi na sheria yao ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015.
Wadau, amani iwe kwenu.
Sote tumesikia kauli aliyotoa Lowasa huko Monduli wakati wa mkesha wa Mwaka mpya 2016 ambapo akiwa Madhabahuni ameitaka Serikali kuacha kuwanyanyasa wafanyabiashara waliomuunga mkono. Kwamba kwa sasa Serikali inawanyanyasa wafanyabiashara hao huku wakilipishwa kodi kubwa kuliko inavyostahiki.
Binafsi nimetafakari sana kauli hii na nimeshindwa kupata msingi wake. Utata zaidi umekuja baada ya Lowasa mwenyewe kushindwa kutaja majina ya wafanyabiashara hao ambao walimuunga mkono na sasa wananyanyaswa na Serikali. Kwa vile majina ya wafanyabiashara waliomuunga Mkono Lowasa ninayo, kwa heshima na taadhima ya Jamiiforums nayaweka hapa ili sote tutafakari kwa pamoja ni mfanyabiashara yupi ananyanyaswa na serikali. Nimeweka majina ya wale wafanyabiashara wakubwa tu ambao walichangia kiasi kikubwa harakati za Lowasa kwenda Ikulu. Sijaweka wale waliochangia fedha ya mboga.
JINA LA MFANYABIASHARA KIASI ALICHOCHANGIA
1. Rostam Aziz. Tsh. Bilioni 234.7
2. Tanil Somaiya. Tsh. Bilioni 126.2
3. Yusuph Manji. Tsh. Bilioni. 110.84
4. Jeetu Patel (Jayantkumar Chandubhai). Tsh. Bilioni 96.1
5. Reginald Mengi. Tsh. Bilioni 80.3
6. Subash Patel Tsh. Bilioni 52.49
7. Nazir Karamagi. Tsh. Bilioni 51.26
Kama nilivyosema hapo juu ni kwamba hawa ni baadhi tu ya wafanyabiashara ambao walijitokea kumsaidia Lowasa na UKAWA. Kiasi cha fedha ambacho kila mmoja amechangia nimekibainisha.
Kwa mantiki hiyo, ni vema Lowasa ama wale vijana wake wakajitokeza na kubainisha ni mfanyabiashara gani kati ya hawa niliowaorodhesha ananyanyaswa na Serikali. Kama yupo si kutokana na kumsaidia Lowasa na UKAWA bali ni kutokana na kukiuka misingi ya kufanya biashara. Lowasa aache kulia lia. Ninachokiona hapa ni kwamba anatafuta sababu za kuigombanisha Serikali na Wafanyabiashara kitu ambacho hatafanikiwa
Jembe Magufuli hawezi poteza muda kumjibu Lowassa kwa kuwa ana mambo mengi ya msingi ya kufanya na kufikiria kuliko,kumjadili LowassaLowassa ni kisiki, ushawahi kumsikia Magu anamsema lowassa???
Ahsante kwa ushauri wako. Nilifanya hivyo ila sijaelewa kwa nini mods wameunganisha bila kuipa uzito mada yangu. Mimi nimewataja wafanyabiashara hao na kiasi walichomchangia Lowasa na UKAWA. Mods, sikilizeni kilio cha wadauMkuu, kwa heshima na taadhima namba ufungue thread mpya kuhusu hili ili tujadili kwa mapana
Lowassa ni masikini wa kufikiri. Hivi anapata wapi ujasiri wa kutamka wafanyabishara waliomfadhili? Walimfadhili ili akiwa rais wafanye nini? UFISADI WA LOWASSA umevuka mipaka hadi ile aibu ya kuitwa FISADI imemtoka na kuona ni sawa tu.Wadau, amani iwe kwenu.
Sote tumesikia kauli aliyotoa Lowasa huko Monduli wakati wa mkesha wa Mwaka mpya 2016 ambapo akiwa Madhabahuni ameitaka Serikali kuacha kuwanyanyasa wafanyabiashara waliomuunga mkono. Kwamba kwa sasa Serikali inawanyanyasa wafanyabiashara hao huku wakilipishwa kodi kubwa kuliko inavyostahiki.
Binafsi nimetafakari sana kauli hii na nimeshindwa kupata msingi wake. Utata zaidi umekuja baada ya Lowasa mwenyewe kushindwa kutaja majina ya wafanyabiashara hao ambao walimuunga mkono na sasa wananyanyaswa na Serikali. Kwa vile majina ya wafanyabiashara waliomuunga Mkono Lowasa ninayo, kwa heshima na taadhima ya Jamiiforums nayaweka hapa ili sote tutafakari kwa pamoja ni mfanyabiashara yupi ananyanyaswa na serikali. Nimeweka majina ya wale wafanyabiashara wakubwa tu ambao walichangia kiasi kikubwa harakati za Lowasa kwenda Ikulu. Sijaweka wale waliochangia fedha ya mboga.
JINA LA MFANYABIASHARA KIASI ALICHOCHANGIA
1. Rostam Aziz. Tsh. Bilioni 234.7
2. Tanil Somaiya. Tsh. Bilioni 126.2
3. Yusuph Manji. Tsh. Bilioni. 110.84
4. Jeetu Patel (Jayantkumar Chandubhai). Tsh. Bilioni 96.1
5. Reginald Mengi. Tsh. Bilioni 80.3
6. Subash Patel Tsh. Bilioni 52.49
7. Nazir Karamagi. Tsh. Bilioni 51.26
Kama nilivyosema hapo juu ni kwamba hawa ni baadhi tu ya wafanyabiashara ambao walijitokea kumsaidia Lowasa na UKAWA. Kiasi cha fedha ambacho kila mmoja amechangia nimekibainisha.
Kwa mantiki hiyo, ni vema Lowasa ama wale vijana wake wakajitokeza na kubainisha ni mfanyabiashara gani kati ya hawa niliowaorodhesha ananyanyaswa na Serikali. Kama yupo si kutokana na kumsaidia Lowasa na UKAWA bali ni kutokana na kukiuka misingi ya kufanya biashara. Lowasa aache kulia lia. Ninachokiona hapa ni kwamba anatafuta sababu za kuigombanisha Serikali na Wafanyabiashara kitu ambacho hatafanikiwa
Pole sana Molembe. Kani hapo upotoshaji upo wapi?
Vyeti vyake vichunguzweBulembo mtu wa kulopoka na kuingilia mambo bila utafiti.alituharibia mpira mkoa wa Mara WAZAZI CCM kwa Bulembo mta isoma namba.Najuta kumfahamu.
CDM ndio wale ambao awamu ya tano wanawazuia kufanya mikutano, makusanyiko hata mazishi kwa kuwaogopa.Hatujamsikia Mama wa ACT akiitisha serikali, hatujawasikia wengine walioshindwa wakithubutu kuitisha serikali, huyu aliyekuwa mgombea wa CDM ana kitu gani special mpaka aheshimiwe na kunyenyekewa?. Anatoa maagizo akiwa kama nani?. Who the hell is he in Tanzania?.
Hawaogopwi, kinachoangaliwa ni ule muda wa kufanya kazi na kuzalisha ambao unapotea wakati taifa linapozama kwenye mipasho isiyokuwa na mwisho. Uchaguzi umekwisha kwa nini nguvu za taifa zima zisielekezwe kwenye uzalishaji badala ya upigaji wa kelele majukwaani?. Tuihurumie Tanzania badala ya kupotezeana muda kwenye siasa zisizokuwa na mwisho. Miezi ya kampeni na uchaguzi imeshakwisha muda tulionao ni wa kuijenga nchi.CDM ndio wale ambao awamu ya tano wanawazuia kufanya mikutano, makusanyiko hata mazishi kwa kuwaogopa.