Naomba umuache ni shemeji yako huyoMtoto wa Bulembo,ndiye mbunge mdogo kuliko wabunge wote,mwaka huu ameingia kidato cha nne maajabu ya dunia.
Kamuulize mshauri wake mkuu ninani atakwambiaUlitaka Magufuli aongee nini juu ya Lowassa? Sio size yake hiyo, size ya Lowassa ni kina Makonda. Magufuli ni level ingine
ovyooo kweli ashindwa nini kumlipua km lowasa ni mhalifu??? Angekuwa namba nyingine zile pushap zilikuwa za nini km si kujidhalilisha, kwanza amshukuru Lowassa ndo kamfikisha hapoMagu amseme Lowasa kwa kitu gani?? msitake kufananisha tembo na chura. Magu ni namba nyingine jamani hana muda wa kupambana na watu wasiokuwa na maadili. yeye anawashughulikia tu na kuwatumbua majipu. baaasi ! akisema neno moja umetumbuka! na niwaambie Lowasa achunge mdomo wake asije akaingia anga za Magufuli. atamlipua kama bomu! ni hayo tuu ndugu zangu.
Niliwahi kusikia kuwa Bulembo ni bwabwa...
Lowassa ni kisiki, ushawahi kumsikia Magu anamsema lowassa???
Wewe kweli nyani kibogoyoYeah, kwa akili za nyumbu ni kweli. Sasa hivi hakuna CHADEMA wala NCCR Mageuzi, ni Lowassa tu. Mtu mmoja yuko juu ya taasisi, only in Tanzania. Na huu ndio unaojiita upinzani!!!
Ccm zanzibar imeshaangukia puaUchaguzi umekwisha.CCM imeshinda huku bara.ZNZ ccm imetangaza uchaguzi unarudiwa pia 2nd vice presida ametangaza.Tusubiri na Kingunge amesema atampima Rais baada ya 100 days.Uteuzi wa RC na DC uko njiani nani atapata nani atakosa.Makontena ukweli bado hadharani.
Nyie mmezoea matamko yenu yanasomwa mareeefu karatasi ndeeefu kama lile tamko la bavicha lililosomwa na Mnyika mwaka 2008 la kuitaka serikali kumshitaki na kumfilisi Lowasa kumbe hamkuwa serious na kila kitu kwenu ni matamko tu! wazee wa matamko!!Msikilizeni huyu mzee live star tv muda huu.
Kaongea kama dakika tano tu na tunaambiwa katoa Tamko la Jumuiya ya Wazizi wa CCM. Binafsi sijamuona akisoma popote pale labda ni mswala ya teknolojia.
Bwana Bulembo anahoji Lowassa ni kama nani ndani ya CHADEMA mpaka atoe kauli ile ya kudai waliounga mkono CHADEMA wananyanyaswa na amemtaka aitishe mkutano na waandishi wa habari na awataje hao wafanyabiashara na ataje kama kuna kodi waliongozewa.
Bulembo aliongeza kuwa,Lowassa akitaka agombee tena 2020 na akasisitiza hata akigombea watamshinda kwa mara nyingine.
Bulembo, ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amesema wao hawawezi kukaa kimya kwa matamshi hayo ya mh.Lowassa.
Bulembo pia amekosoa kauli ya Makongoro Mahanga kuwa Magufuli hajapunguza ukubwa wa serikali bali ameongeza.
Chanzo:Star tv
Mkuu lowasa angekuwa hana ushahidi wala hasinge thubutu kufungua kinywa chake juu ya huo uonevuTukiweka ushabiki wa Vyama pembeni, kauli ya Bulembo isipuuzwe. Lowassa ametoa shutuma nzito dhidi ya Rais n'a kuibua dhana ya uonezi na ubaguzi katika maamuzi ya serikali. Wastaarabu na wanaolitakia mema taifa letu hawastahili kubeza au kupuuza kauli hiyo. Kwa upande wa serikali inabidi ifanyiwe kazi na kama yapo makosa yaliyofanyika yarekebishwe haraka.
Lowassa ni kiongozi anaeheshimika nchini. Na aliwahi kutamka kama huna ushahidi kuhusu tuhuma zozote zile heri kukaa kimya. Kwa hali hiyo sina mashaka atawasilisha orodha ya wahanga wake kwa sababu WaPo maofisa au viongizi wa serikali wanaojichukulia sheria mkononi tofauti na maagizo au mapenzi ya Rais. Mzee Lowassa ushirikiano wako ni muhimu vinginevyo sifa yako chanya itaingia doa.
Bulembo ni jipu la kutumbuliwa bila ganziKipindi cha kampeni hajamsema kwani?.....Labda baada ya kuwa rais ndo hamsemi
Kweli kabisa mkuu,bulembo ni mtu wa mbali kabisa hivyo kakurupuka na hakuna wa kuhangaisha akili yake juu ya eti tamko la jumuia ya wazaziBulembo sio saizi ya Lowasa. Alitakiwa ajibiwe na JPM kuwa kama unaushahidi ampelekee.
Na sina uhakika kama kweli hata hilo la saba alilimalizaBulembo huyu wa darasa la saba teh teh teh teh
Yaani wewe huwa unakurupukaga kama vile unatoka chooni. Hivi kwanza umeshameza dawa zako?Bulembo ni jipu la kutumbuliwa bila ganzi
Fisadi ni mkweoNdio amemshinda fisadi lowasa,