Bulembo amtaka Lowassa awataje wanaoonewa kwenye kodi

Bulembo amtaka Lowassa awataje wanaoonewa kwenye kodi

Nyie mmezoea matamko yenu yanasomwa mareeefu karatasi ndeeefu kama lile tamko la bavicha lililosomwa na Mnyika mwaka 2008 la kuitaka serikali kumshitaki na kumfilisi Lowasa kumbe hamkuwa serious na kila kitu kwenu ni matamko tu! wazee wa matamko!!
Bulembo kaandikiwa kusoma lile tamko lkn kashindwa ndio maana ka summaries
 
Mwambie mkeo anikumbushe
We @Mmawia ,tunakujua ni kama chizi fresh tu. Matamko yenu ya bavicha ya 2008 ya kumfilisi mali na kumpeleka mahakamani Lowasa mmeishia wapi? maana mlimzonga sana maskini mzee Pinda.
 
We @Mmawia ,tunakujua ni kama chizi fresh tu. Matamko yenu ya bavicha ya 2008 ya kumfilisi mali na kumpeleka mahakamani Lowasa mmeishia wapi? maana mlimzonga sana maskini mzee Pinda.
Nimekwambia umwambie mkeo ndiye anikumbushe kunywa hizo dawa na wewe uendelee na kazi yako ya kukaa getini
 
We @Mmawia ,tunakujua ni kama chizi fresh tu. Matamko yenu ya bavicha ya 2008 ya kumfilisi mali na kumpeleka mahakamani Lowasa mmeishia wapi? maana mlimzonga sana maskini mzee Pinda.
Bulembo nasikia hata hilo sdt seven ni la kuchapia chapia
 
Msikilizeni huyu mzee live star tv muda huu.

Kaongea kama dakika tano tu na tunaambiwa katoa Tamko la Jumuiya ya Wazizi wa CCM. Binafsi sijamuona akisoma popote pale labda ni mswala ya teknolojia.

Bwana Bulembo anahoji Lowassa ni kama nani ndani ya CHADEMA mpaka atoe kauli ile ya kudai waliounga mkono CHADEMA wananyanyaswa na amemtaka aitishe mkutano na waandishi wa habari na awataje hao wafanyabiashara na ataje kama kuna kodi waliongozewa.

Bulembo aliongeza kuwa,Lowassa akitaka agombee tena 2020 na akasisitiza hata akigombea watamshinda kwa mara nyingine.

Bulembo, ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amesema wao hawawezi kukaa kimya kwa matamshi hayo ya mh.Lowassa.

Bulembo pia amekosoa kauli ya Makongoro Mahanga kuwa Magufuli hajapunguza ukubwa wa serikali bali ameongeza.

Chanzo:Star tv
mbona ajataka kutajiwa wafanya biashara wakubwa wa meno ya Tembo? au wenye ushahidi wa ufisadi wa Lowassa wauweke adharani ili ashitakiwe mahakamani?
 
Lowasa alishapwelewa anaendeleza porojo tu kwavile yeye ndiye alikuwa mkwepa kodi namba moja ndiyo maana anawatetea wakwepa kodi wenzake.
 
mbona ajataka kutajiwa wafanya biashara wakubwa wa meno ya Tembo? au wenye ushahidi wa ufisadi wa Lowassa wauweke adharani ili ashitakiwe mahakamani?
Mbona wanajulikana Lowasa ndiye anaongoza anafuata sumaye na kundi lake la majangili.
 
12400881_1018063921591399_4015289152486745767_n.jpg
 
ccm kwa maigizo hawajambo. kwani kuna umuhimu gani wa kutaja majina? jambo hili sio geni masikioni mwa watanzania wapenda demokrasia..
 
Back
Top Bottom