Bulembo amtaka Lowassa awataje wanaoonewa kwenye kodi

Bulembo amtaka Lowassa awataje wanaoonewa kwenye kodi

Tangu lini hilo zuzu bulembo liongee live na itv rekebisha your heading
 
Msikilizeni huyu mzee live star tv muda huu.

Kaongea kama dakika tano tu na tunaambiwa katoa Tamko la Jumuiya ya Wazizi wa CCM. Binafsi sijamuona akisoma popote pale labda ni mswala ya teknolojia.

Bwana Bulembo anahoji Lowassa ni kama nani ndani ya CHADEMA mpaka atoe kauli ile ya kudai waliounga mkono CHADEMA wananyanyaswa na amemtaka aitishe mkutano na waandishi wa habari na awataje hao wafanyabiashara na ataje kama kuna kodi waliongozewa.

Bulembo pia amekosoa kauli ya Makongoro Mahanga kuwa Magufuli hajapunguza ukubwa wa serikali bali ameongeza

Chanzo:Star tv
hii stari ttv bado inaendeleza siasa za chuki sasa , juzi kati alikuwepo msuKUmA kwa wale waliomwona watakuwa wlicheka sana alisema yeye ana hoja binafsi anipeleka bungeni kuwa vyuo vikuu mapfrofesa wawatafutie kazi graduates wa vyuo vyao hii iwe sheria .. mi najiuliza huyu anajua kazi za maprof na chuo kwa ujumla? hao ndio ccmm anawakiliha zaidi ya watu elfu 50 hatari sana
 
Ngonjera zilezile za kulalamika tumeibiwa kura ,ukiambiwa lete ushahidi hauleti,

Sasa akiambiwa awataje hao wanaoonewa kwa kodi ili sheria ichukue mkondo wake hataji


Sasa kama siyo jamii ya nyumbu ni nini
Yale yale ya taasisi za kidini zisizo na majina zilizomawadia tuzo
 
Nilidhani ni kampeini chafu za uchaguzi, kumbe akikohoa anachafua mazingira!
EL ana haki yake kikatiba kutoa maoni ilimladi havunji sheria za nchi. Pia ikumbukwe kuna watu zaidi milioni 6 walimpigia kura kwa hiyo memories zao bado hazijachuja. Kuanza kumshambulia ni kuendelea kupandisha chart yake. Kama wakwepa kodi wanaofatiliwa walienda kulia kwake ni haki yao au wanadai change naye amechacha kwa hiyo inabidi awatulize kwa kutoa tamko kama hilo. Pia anawajenga kisaikolojia kusudi wakibanwa wajiaminishe kuwa kuna sauti ya kuwatetea
 
Ngonjera zilezile za kulalamika tumeibiwa kura ,ukiambiwa lete ushahidi hauleti,

Sasa akiambiwa awataje hao wanaoonewa kwa kodi ili sheria ichukue mkondo wake hataji


Sasa kama siyo jamii ya nyumbu ni nini
Bulembo sio saizi ya Lowasa. Alitakiwa ajibiwe na JPM kuwa kama unaushahidi ampelekee.
 
Bulembo siyo size ya Lowasa akajibizane na wajinga wenzake
 
Tukiweka ushabiki wa Vyama pembeni, kauli ya Bulembo isipuuzwe. Lowassa ametoa shutuma nzito dhidi ya Rais n'a kuibua dhana ya uonezi na ubaguzi katika maamuzi ya serikali. Wastaarabu na wanaolitakia mema taifa letu hawastahili kubeza au kupuuza kauli hiyo. Kwa upande wa serikali inabidi ifanyiwe kazi na kama yapo makosa yaliyofanyika yarekebishwe haraka.

Lowassa ni kiongozi anaeheshimika nchini. Na aliwahi kutamka kama huna ushahidi kuhusu tuhuma zozote zile heri kukaa kimya. Kwa hali hiyo sina mashaka atawasilisha orodha ya wahanga wake kwa sababu WaPo maofisa au viongizi wa serikali wanaojichukulia sheria mkononi tofauti na maagizo au mapenzi ya Rais. Mzee Lowassa ushirikiano wako ni muhimu vinginevyo sifa yako chanya itaingia doa.
 
Uchaguzi umekwisha.CCM imeshinda huku bara.ZNZ ccm imetangaza uchaguzi unarudiwa pia 2nd vice presida ametangaza.Tusubiri na Kingunge amesema atampima Rais baada ya 100 days.Uteuzi wa RC na DC uko njiani nani atapata nani atakosa.Makontena ukweli bado hadharani.
 
Back
Top Bottom