IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,864
- 7,482
Jumuiya ya wazinzi sio wazazi
Hahahahahahhaaaaah.... Lowasa size yake ni akina Makonda. Nape,Bulembo ni next level.Bavicha mmemaliza kujinyea sasa mmeamka.
Bulembo aliahidi
1. Kuwa wapinzani hawatakanyaga ikulu na akatimiza
2. Aliahidi ushindi kwa ccm na akatimiza ,
Nyinyi bavicha hata ahadi moja tu ya kumuleta Balali mmeshindwa .kaeni kimya
bulembe ni nani ?
mbona wasomi hawaelewi mipaka yao..au ndio mambo ya kanda ya ziwa KUKURUPUKA ?
Ndio kimbilio lenu mkiambiwa ukweli kenge Wa njano nyinyiUbongo wako ni sawa na kinyesi cha kuku!
baada yahapo Nyumbu shangweeeeeeeererererereThat is a big improvent, 7 minutes? Mhe Lowassa alikuwa anatumia dakika 5 kusema maneno saba: PEOPLES? NAOMBA KURA ZANU, NANI ATANIPIGUA? KIPAUMBELE CHANGU KWANZA NI ELIMU. PILI NI ELIMU. TATU NI ELIMU. TUMUIGE TONY BLAIR WA UINGEREZA ALISEMA EDUCATION EDICATION EDUCATION. PEOPLES? PEOPLES?
hawa hawana nyimbo tena kama huyo Jiziwao tumesha mkata hawana jipyaNdio kimbilio lenu mkiambiwa ukweli kenge Wa njano nyinyi
Niliwahi kusikia kuwa Bulembo ni bwabwa...Bulembo amehongwa ubunge kupitia mwanaye wa kike. Basi povu litamtoka mpk basi. Lowassa alisema "anasikia" imezuka tabia ya kuwanyanyasa waliounga mkono chadema. Akamalizia kwa kusema "kama" hiyo tabia ipo basi anaitaka serikali ya JPM iache mara moja.
Inaonekana una hasira utaumia sana, ulidhani sisi ni wajinga, umeula hapa ni hoja tu. Watu mnataka kutuaminisha kuwa Lowasa ni sawa na hao vitukuu, balaha mnalo.Ndio kimbilio lenu mkiambiwa ukweli kenge Wa njano nyinyi
Kwa taarifa yako tulishamkata hatuna muda nae tenaInaonekana una hasira utaumia sana, ulidhani sisi ni wajinga, umeula hapa ni hoja tu. Watu mnataka kutuaminisha kuwa Lowasa ni sawa na hao vitukuu, balaha mnalo.
Angalia usipige chafya bila tahadhari ukajinyea.Kila kitu alichoeleza mleta Uzi kiko kamilimuwe mnatuliza akili kabla ya kupost kitu ,unakuwa kama unapiga chafya!!?
huyo mahanga ni wa kuonea huruma. sijui nyumbu gani hata hatambui kakosa malisho.Msikilizeni huyu mzee live star tv muda huu.
Kaongea kama dakika tano tu na tunaambiwa katoa Tamko la Jumuiya ya Wazizi wa CCM. Binafsi sijamuona akisoma popote pale labda ni mswala ya teknolojia.
Bwana Bulembo anahoji Lowassa ni kama nani ndani ya CHADEMA mpaka atoe kauli ile ya kudai waliounga mkono CHADEMA wananyanyaswa na amemtaka aitishe mkutano na waandishi wa habari na awataje hao wafanyabiashara na ataje kama kuna kodi waliongozewa.
Bulembo aliongeza kuwa,Lowassa akitaka agombee tena 2020 na akasisitiza hata akigombea watamshinda kwa mara nyingine.
Bulembo, ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amesema wao hawawezi kukaa kimya kwa matamshi hayo ya mh.Lowassa.
Bulembo pia amekosoa kauli ya Makongoro Mahanga kuwa Magufuli hajapunguza ukubwa wa serikali bali ameongeza.
Chanzo:Star tv
"Bulembo amehongwa ubunge kupitia mwanaye wa kike. Basi povu litamtoka mpk basi. Lowassa alisema "anasikia" imezuka tabia ya kuwanyanyasa waliounga mkono chadema. Akamalizia kwa kusema "kama" hiyo tabia ipo basi anaitaka serikali ya JPM iache mara moja."kissme
Bulembo nae anatokea wapi kwenye maswala serikali?Tukiweka ushabiki wa Vyama pembeni, kauli ya Bulembo isipuuzwe. Lowassa ametoa shutuma nzito dhidi ya Rais n'a kuibua dhana ya uonezi na ubaguzi katika maamuzi ya serikali. Wastaarabu na wanaolitakia mema taifa letu hawastahili kubeza au kupuuza kauli hiyo. Kwa upande wa serikali inabidi ifanyiwe kazi na kama yapo makosa yaliyofanyika yarekebishwe haraka.
Lowassa ni kiongozi anaeheshimika nchini. Na aliwahi kutamka kama huna ushahidi kuhusu tuhuma zozote zile heri kukaa kimya. Kwa hali hiyo sina mashaka atawasilisha orodha ya wahanga wake kwa sababu WaPo maofisa au viongizi wa serikali wanaojichukulia sheria mkononi tofauti na maagizo au mapenzi ya Rais. Mzee Lowassa ushirikiano wako ni muhimu vinginevyo sifa yako chanya itaingia doa.
Kwa taarifa yako Bulembo ni zaidi ya lowasa ,ndio maana aliweza kuwashawishi wananchi wamkate October
Magu amseme Lowasa kwa kitu gani?? msitake kufananisha tembo na chura. Magu ni namba nyingine jamani hana muda wa kupambana na watu wasiokuwa na maadili. yeye anawashughulikia tu na kuwatumbua majipu. baaasi ! akisema neno moja umetumbuka! na niwaambie Lowasa achunge mdomo wake asije akaingia anga za Magufuli. atamlipua kama bomu! ni hayo tuu ndugu zangu.Lowassa ni kisiki, ushawahi kumsikia Magu anamsema lowassa???
Hi, wale wenzako 188 mnaendeleaje na kesi yenu ya mtandao? Bado mnalipwa au wewe umejitolea?Bulembo amehongwa ubunge kupitia mwanaye wa kike. Basi povu litamtoka mpk basi. Lowassa alisema "anasikia" imezuka tabia ya kuwanyanyasa waliounga mkono chadema. Akamalizia kwa kusema "kama" hiyo tabia ipo basi anaitaka serikali ya JPM iache mara moja.