Ndio amemshinda fisadi lowasa,
Kiboko ya fisadi LowasaBulembo ndio nani!!!!!
Bavicha mmemaliza kujinyea sasa mmeamka.
Bulembo aliahidi
1. Kuwa wapinzani hawatakanyaga ikulu na akatimiza
2. Aliahidi ushindi kwa ccm na akatimiza ,
Nyinyi bavicha hata ahadi moja tu ya kumuleta Balali mmeshindwa .kaeni kimya.
Kwani Lowassa ndiye msemaji wa wafanyabiashara wakwepa kodi?Bulembo nae ni msemaji wa serikali?
Ubongo wako ni sawa na kinyesi cha kuku!Bavicha mmemaliza kujinyea sasa mmeamka.
Bulembo aliahidi
1. Kuwa wapinzani hawatakanyaga ikulu na akatimiza
2. Aliahidi ushindi kwa ccm na akatimiza ,
Nyinyi bavicha hata ahadi moja tu ya kumuleta Balali mmeshindwa .kaeni kimya
Ulitaka Magufuli aongee nini juu ya Lowassa? Sio size yake hiyo, size ya Lowassa ni kina Makonda. Magufuli ni level ingineLowassa ni kisiki, ushawahi kumsikia Magu anamsema lowassa???
That is a big improvent, 7 minutes? Mhe Lowassa alikuwa anatumia dakika 5 kusema maneno saba: PEOPLES? NAOMBA KURA ZANU, NANI ATANIPIGUA? KIPAUMBELE CHANGU KWANZA NI ELIMU. PILI NI ELIMU. TATU NI ELIMU. TUMUIGE TONY BLAIR WA UINGEREZA ALISEMA EDUCATION EDICATION EDUCATION. PEOPLES? PEOPLES?Nlipoana ni live na huku tukiambiwa ni Tamko la Jumuiya ya Wazazi wa CCM, nikakaa kusikiliza lakini nilimuona akiongea kama mgeni aliekalibishawa studio tu na kaongea kwa muda mfupi ambao sidhani kama kweli umezidi dakika tano au 7 hivi.