last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,749
- 3,995
Uwe unachambua mbegu bro,,,,,,,,,Bukoba,kagera ni Mara tatu ya Kilimanjaro.kama sikosei
Uwe unachambua mbegu bro,,,,,,,,,Bukoba,kagera ni Mara tatu ya Kilimanjaro.kama sikosei
Nadhani hili ndilo jengo zuri Bukoba yote maana hii picha umeweka mara elfu kidogo.Jeki cathedral iliyopo bukoba na subiri Wamalizie bukoba shopping mall pale miembeni mtachonga viazi mbona![]()
No reasearch no right to comment.Otyosi. Ni kweli kabisa mkuu hata wasomi wa kwanza ni wahaya
Bukoba hii hii kuna uwanja Wa mpira mzuri ni Wa tatu kwa ubora tz![]()
![]()
![]()
Mimi sio mchaga ila kwa kabila lolote hapa bongo litachukua sio chini ya miaka 20 kuwafikia wachaga kama wakiwa hawafanyi chochote wakiwa wanawasubiria. I like them maana sio watu wenye wivu na mtu yeyote akifanikiwa tofauti na makabila mengine likiwepo la kwangu ila wahaya wakiwa viranja wetu.Wachaga na kilimanjaro kwa ujumla ilikuwa vizuri sana kipindi cha Mwalimu. Lakini hakuna maendeleo yoyote tokea kipindi icho, wamebaki kupoteza muda mwingi katika kufanya michongo ya kuingia katika kazi za serikalini tofauti na kipindi kile walivyokuwa na biashara. Sasa ivi wachaga si chochote katika biashara, na iyo yoyote kutokana na Utapeli na wizi walio nao. Sasa ivi wahaya ukienda uko Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Dubai na China wanafunga mizigo kuleta apa bongo. Wachaga wanakimbia kilimanjaro pale njaa tupu
Hapa topic ni bk vs moshi na mji haujengwi na wazawa tu. So hatuzungunzii kabila ndugu moshi na wachagga ni vitu tofautiMimi sio mchaga ila kwa kabila lolote hapa bongo litachukua sio chini ya miaka 20 kuwafikia wachaga kama wakiwa hawafanyi chochote wakiwa wanawasubiria. I like them maana sio watu wenye wivu na mtu yeyote akifanikiwa tofauti na makabila mengine likiwepo la kwangu ila wahaya wakiwa viranja wetu.
Tena ela wananchi wa bk ila hiyo nssf moshi hawajui ilitoka wapiNadhani hili ndilo jengo zuri Bukoba yote maana hii picha umeweka mara elfu kidogo.

Ilikuja issue ya wachaga na wahaya ndo maana nika comment ivo. Fwatilia original comment.Hapa topic ni bk vs moshi na mji haujengwi na wazawa tu. So hatuzungunzii kabila ndugu moshi na wachagga ni vitu tofauti