Angalau nimekuelewa sana wewe Mkuu.Hebu tuchambue sasa kwa mahitaji ya kijamii Kama shule hospitali Barbara na huduma ya maji ..
Kielimu moshi Ina shule nyingi Sana za sekondari na vyuo vya ufundi pamoja na vyuo vikuu
Kuhisu afya moshi in a hospitali ya mkoa pamoja na rufaa ya Kcmc poa huduma ya barabara lami mpaka vijijini kuhusu maji siongei kwan kila mtu anajibu fursa za ajira hasa kwenye utalii ni nying Sana kulinganisha na bukoba pia hata mapato ya Halmashauri ni makubwa kulinganisha na bukoba xo nimalize ubishi kwamba kulinganisha mikoa hatuangalii majengo Bali ni huduma kwan hata kwa majengo bado moshi inaiacha bukoba mbali
Haulazimishwi kubadilika kaa na ujuha wako kwani kila mmoja ana aina yake ya upimbi, mtashangaa vijiji na vitongoji vinakuwa majiji nyie mmekaa na ubaguzi wenuIkiwa hawauzi walizonunua huko kwingine ndo wauze za Moshi? Utasubiri sana. Hata uwatukane hadi mwisho ila mijamaa haitabadilika asee
Cheki bk tenaHebu tuchambue sasa kwa mahitaji ya kijamii Kama shule hospitali Barbara na huduma ya maji ..
Kielimu moshi Ina shule nyingi Sana za sekondari na vyuo vya ufundi pamoja na vyuo vikuu
Kuhisu afya moshi in a hospitali ya mkoa pamoja na rufaa ya Kcmc poa huduma ya barabara lami mpaka vijijini kuhusu maji siongei kwan kila mtu anajibu fursa za ajira hasa kwenye utalii ni nying Sana kulinganisha na bukoba pia hata mapato ya Halmashauri ni makubwa kulinganisha na bukoba xo nimalize ubishi kwamba kulinganisha mikoa hatuangalii majengo Bali ni huduma kwan hata kwa majengo bado moshi inaiacha bukoba mbali
He bk hakuna shule kama kaizirege inayoongoza kila mwaka four na seven,kwanza shule hazipo moshi zipo wilayani. Hospital zipo nyingi kagondo,government, mugana.etc pia elimu bado IPO juuHebu tuchambue sasa kwa mahitaji ya kijamii Kama shule hospitali Barbara na huduma ya maji ..
Kielimu moshi Ina shule nyingi Sana za sekondari na vyuo vya ufundi pamoja na vyuo vikuu
Kuhisu afya moshi in a hospitali ya mkoa pamoja na rufaa ya Kcmc poa huduma ya barabara lami mpaka vijijini kuhusu maji siongei kwan kila mtu anajibu fursa za ajira hasa kwenye utalii ni nying Sana kulinganisha na bukoba pia hata mapato ya Halmashauri ni makubwa kulinganisha na bukoba xo nimalize ubishi kwamba kulinganisha mikoa hatuangalii majengo Bali ni huduma kwan hata kwa majengo bado moshi inaiacha bukoba mbali
Ngoja tusome facts za wadau wengine.Bado bk inawabwaga
Asante avae.Halafu we jamaa Mkubwa halafu kichwani zero kbsa
Kwani hoja ya wahaya imetoka wapi tena?Thread ni ya bk vs moshi ukiangalia mkoa kagera ni Mara mbili ya Kilimanjaro.na watu ni wengi.una biharamulo,ngara,karagwe.kyelwa misenyi muleba na sehemu izo si bk na wahaya sio Wa huko
Fafanua zaidi, naona unatoka nje ya mada kabisa.. lengo lako la kwanza ilikuwa ni kusema Bukoba ina maendeleo kuliko Moshi, ndo mana inakuwa na majengo mazuri.. ila kwa sababu ki takwimu unaanza kwenda kinyume na ulichosema mwanzo. Mi nakuambia tu, huwezi kufananisha Bukoba na Moshi kamwe.... Mi nikikuwekea picha za moshi vijijini na wewe ulete za bukoba vijijini utajiona mjingaTatizo sio wakazi Bali serikali ya eneo
Kwa hiyo umekubali mjini subiri vijijini lakini vijiji vingi havipo bukoba vipo misenyi karagwe muleba na kyerwa vijiji vingine vinauzunguka mji Wa bk na hakuna picha za juu ila vijiji vinafanan vya moshiFafanua zaidi, naona unatoka nje ya mada kabisa.. lengo lako la kwanza ilikuwa ni kusema Bukoba ina maendeleo kuliko Moshi, ndo mana inakuwa na majengo mazuri.. ila kwa sababu ki takwimu unaanza kwenda kinyume na ulichosema mwanzo. Mi nakuambia tu, huwezi kufananisha Bukoba na Moshi kamwe.... Mi nikikuwekea picha za moshi vijijini na wewe ulete za bukoba vijijini utajiona mjinga
Moshi iko juu kwa lipi??? Ushahidi plz!!!!!Fafanua zaidi, naona unatoka nje ya mada kabisa.. lengo lako la kwanza ilikuwa ni kusema Bukoba ina maendeleo kuliko Moshi, ndo mana inakuwa na majengo mazuri.. ila kwa sababu ki takwimu unaanza kwenda kinyume na ulichosema mwanzo. Mi nakuambia tu, huwezi kufananisha Bukoba na Moshi kamwe.... Mi nikikuwekea picha za moshi vijijini na wewe ulete za bukoba vijijini utajiona mjinga
Si ulete za moshi mjini kama mieFafanua zaidi, naona unatoka nje ya mada kabisa.. lengo lako la kwanza ilikuwa ni kusema Bukoba ina maendeleo kuliko Moshi, ndo mana inakuwa na majengo mazuri.. ila kwa sababu ki takwimu unaanza kwenda kinyume na ulichosema mwanzo. Mi nakuambia tu, huwezi kufananisha Bukoba na Moshi kamwe.... Mi nikikuwekea picha za moshi vijijini na wewe ulete za bukoba vijijini utajiona mjinga
heshimu mama zako wewe..Walimbwende cheki Wa bk Angela kairuki,malaika,lulu Michael,madam Rita,
Mjini kakubali mkuuKwa hiyo umekubali mjini subiri vijijini lakini vijiji vingi havipo bukoba vipo misenyi karagwe muleba na kyerwa vijiji vingine vinauzunguka mji Wa bk na hakuna picha za juu ila vijiji vinafanan vya moshi
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
wahaya hawajielewi..Tuachane na kodi tuje ktk walimbwende WENYE wa kaskazini na MAENDELEO kwa uchache:
Shose sinare
Nancy Sumari
Theresa Shayo
Shose Sinare
Hoyce Temu -dada wa shoka
sawa basi mmeshinda.. Bukoba mjini kuzuri kuliko Moshi..Mjini kakubali mkuu