Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Hivi moshi kuna benki ngapi bk INA nyingi kuliko moshi mjini bukoba kuna benki zaidi ya kumi. Tetemeko liachie mungu maana huamukia popote kizuri IPO hai unaweza ukashangaa hapo ulipokaa unarukaruka yaache hayo laana zitawatafuna watakaokula misaada
 
TPC,kibo match group,kncu nk
kuifananisha moshi na bukoba n kudhalilisha moshi yetu
mlima klm n mlima kubwa Africa upo moshi
Viwanda bk ni vingi kuliko moshi asilia water,kagera sugar,yetu chair,Mali juice,tanica,bunena water,tanica water, kyaka milk,diva mafuta nk
 
Hahaha...!!!

Badala ufananishe Moshi na Mwanza eti unafananisha na Bukoba?

Mambo ya aibu na fedhea kukafanisha kamji kadogo ka Moshi na jiji la Mwanza labda usafi tu. Lakini sio kujengeja, idadi ya watu na mzunguko wa pesa
 
Umeelezea vizir mno
 
Umetisha aseee
 
unafanya promo kwa bidii zote ila naishia kuona tu coffee,nyamkazi kwa wanywa gongo Na fukwe chafu sijawahi shuhudia!

Ni bora fukwe ya bahari Kua chafu ila Sio ziwa,Na ukitaka jua fukwe chafu nenda nyamkazi.
 
Safi sana mkuu
 
Arusha ni moshi
 
Hivi moshi kuna benki ngapi bk INA nyingi kuliko moshi mjini bukoba kuna benki zaidi ya kumi. Tetemeko liachie mungu maana huamukia popote kizuri IPO hai unaweza ukashangaa hapo ulipokaa unarukaruka yaache hayo laana zitawatafuna watakaokula misaada
Hivi mkuu una uhakika na unachokisema kuhusu Huduma za kibenk moshi?moshi mabenki na maduka yakubayakubadilishia fedha ni mengi sana.Ni moja ya mji unaongoza kwa Huduma za kkibenk Tz baada ya majiji yote
 
unafanya promo kwa bidii zote ila naishia kuona tu coffee,nyamkazi kwa wanywa gongo Na fukwe chafu sijawahi shuhudia!

Ni bora fukwe ya bahari Kua chafu ila Sio ziwa,Na ukitaka jua fukwe chafu nenda nyamkazi.
Taja na hotel za moshi mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…