enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 342
Hiyo picha ya bk airport ni ya miaka ya tisini acha upotoshaji uwanja wa ndg wa bukoba sio vumbi afu hiyo ni terminal ya zamaniBukoba Airport Vs Kilimanjaro AirportView attachment 451317View attachment 451318View attachment 451319View attachment 451320View attachment 451321
Ulishafika moshi??Moshi kuna jengo moja tu la nssf, jaman!!!
Picha mnazirudia rudia. Kisa moshi ndongo cheki bkBukoba linganishen na singida....moshi ni habari nyingine...!View attachment 451347View attachment 451348View attachment 451349View attachment 451350View attachment 451351View attachment 451352View attachment 451353View attachment 451354View attachment 451355View attachment 451356
Duh!Unalinganisha mdomo MOSHI na M.k.u.ndu yaani bukoba
Umelinganisha nn sasa hapo. Umepanga picha za mji mmoja tu halafu unaconclude!!! Ndio facts hizo ulizotakiwa kutoa? Ovyo kabisa....Hii ni bukobakaitaba stadium mjini kati bukoba rc cathedral miembeni bukoba kuelekea ziwani kwa mbali msira island view from kashura
Mi naona bukoba
Istanbul kuna sehemu Dar inaitwa kwa Wahaya mwananyamala unakuta vibatari na ukifika tu mwanaume unachoma ndani kuhudumiwa ila sijaona kwa wachaga hivi!! Kwa wachagga Kimara na Mbezi ni full ufugaji wa kuku na biashara za kawaidaShida watu wanaidharau bk
Thread ni ya bk vs moshi ukiangalia mkoa kagera ni Mara mbili ya Kilimanjaro.na watu ni wengi.una biharamulo,ngara,karagwe.kyelwa misenyi muleba na sehemu izo si bk na wahaya sio Wa hukoAcheni kufananisha kifo na usingizi, huo unaouita uzuri wa majeng wa Bukoba una implication gani katika uchumi wa sehemu husika?
Embu kodoa macho kwenye hizi takwimu za TRA uniambie hiyo Bukoba yako inaingia vipi kwa Kilimanjaro
View attachment 451273 View attachment 451274 View attachment 451275
Bado hawakubali bkb iache tuKimsingi Moshi imegalagazwa na Bukoba, hilo liko wazi. Moshi ni ndefu imefuata barabara tu kiurefu haiko kimpangilio kama huo wa Bukoba, uzuri nimefika Moshi ila sijafika Bukoba, ila kwa picha hizo alizoweka mdau, bukoba pako vizuri,na sababu iko wazi, wachaga wengi waliofanikiwa kimaisha wamejenga wilayani na vijijini kwao, hivyo kwa hali ya wilaya au vijiji vya Moshi ni vizuri kuliko vijiji vingi vya Tanzania. Wangejenga sana mjini Moshi basi hata Arusha ingezidiwa.
Nilichokiana hapa ni mleta mada kuwahadaa watu kupicha hasaa kwa jengo mojamoja lkn sio view nzima kwa ujumla.. To be honest nimetembea miji yote miwili tuache kudanganya fikra zetu zetu bukoba bado sana kwa moshi...japo hme green city