Nimecheka sana kwa kweli. Kelele za wachaga bwana. Yani vinavyopatikana mjini Moshi ndo vinapatikana vijijini Bukoba. Potelea mbali hata vikikosa Bukoba mjini ila vijijini vipo. Hii ni aibu kubwa uchaganiHilo ndo unalinganisha na cathedral ya bukoba .yaani linazidiwa na kigango cha bugandika huko kizibaView attachment 1012688
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua unaijua Moshi tu! Jitahidi uijue na Bukoba! Kuijua Bukoba sio kufika mjini na kupita. Hizi pumba unazoandika hapa ni aibu!Kilimanjaro ndipo wamisionary walitangulia
Ukatoliki na ulutheri upo kwa wingi moshi tena kwa kijiografia mfano
Machame siha,old Moshi ni walutheri 99%
Kibosho,uru,kilema,himo,marangu, rombo ni wakatoliki 99%
Pia ktk majimbo katoliki 34,maaskofu wa kutoka jimbo la moshi ni 11
Moshi ndio ngome ya ukatoliki ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mji mzima wa Moshi hakuna eneo kama hili?? Kama Dar lipo linakosa Moshi?? Maana hapo sio town centre ni mtaani! Dalili za kuishiwa pumzi hizi
Hizi zipo hadi Kampala dogo! Unashangaa kuziona Bk?? Unajipambanua jinsi unavyopajua Moshi tu. Inaonekana hata Mwanza hupajui vizuri, maana usingeshangaa kuziona. Kwanza hata Dar zimejaa wakurya wanauzia mayai asubuhi mpaka usiku. Labda Tanga ndo wana vile vibaiskeli vya sports wenyewe wanaviita Sehewa.Ila bk washamba check mibaiskel ya phonex mjini katikati hahahaView attachment 1012709
Sent using Jamii Forums mobile app
Sokoni na Linas ziko karibu?? Acha kuunga unga wewe. We mtu wa Kinusi unafikiri Bk ni Kinusi!?H
Hapo maeneo ya sokoni karibu na Lina's night club na the mint night club
Tena usije ukajichanganya ukaleta makanisa ya vijijini mdogo wangu.. Bk isikie hivi hivi. Kama hayo makanisa ya vijijini galijengwa zamani sawasawa na hiyo cathedral na cathedral yenyewe inafanana hivyo unafikiri yenyewe yakoje?? Ila nisikukatishe tamaa yalete tu tulete ya bk utalia kaa ngomaHilo ni la Zaman tofauti na lenu mlilojenga juz Kati tuu
Hapo nakubaliana na wew. Ila kwa makanisa ya vijijin hunifikii hata robo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nianze tu kwa kukwambia kuwa hilo kanisa japo la mtandaoni bado sana kwa makanisa ha bk huko vijijini. Twambie la location ya kanisa na pia na picha ya kibao cha kanisa lenyewe. Mbona ya mwanzo umeweka!??Vaa miwani utazame haya makanisa ya baadhi ya vijijin huko uchagani
Niendelee?View attachment 1012722View attachment 1012723
Sent using Jamii Forums mobile app
Kizuri kwenye suala la picha mna visingizioUzuri Ni kwamba Moshi nimekaa na kusoma almost 12yrs nimesoma mawenzi pr, old Moshi sec naijua Moshi yote parokia na vigango miss ya papa Paul 2 mwaka 90 nimetumikia hapo Christ the king cathedral, kibosho, kilema kuhiji nimetumikia pale na askofu amedeus rip, kwa bukoba nimesali parokiani pale mjini, ngara kwa fr askofu niyemugizi,kilaini, karagwe, muleba pale rubya, na sehemu Moja BK vijijini Jimbo la mughana wanapohiji kwakweli bukoba Bado ningetupia na picha sema tu net ipo low picha zipo ktk Gmail, Moshi juuuuuuuuuu!!!!
Bosi si ulete tu utupigie picha vizuri na vibao vyenye majina ya hayo kamanisa?? Hizo picha za kuunga mitandaoni sio ushahidi mzuri. Hii inadhihirisha hakuna kitu mnahaha kutafuta pa kufia.Na mm hapo cjaleta makanisa bab kubwa ya marangu,rombo,kilema no hapo ni mfano tu
Sent using Jamii Forums mobile app
We sio mchaga?? Kinusi ipo mkoa gani?? Kwa nini usitulinganishie na makanisa ya kwenu?? Udalali utawaua nyie wagogoMimi nipo neutral SI mchaga Wala haya niambie wapi sijagusa? Mughana nimeenda kuhiji July last yr kule ndani chini kwenye chemchem nikatoka nikaja nje pale kwenye msalaba jiran na kanisa nikatoka nikaingia hospital nikarudi BK town uliza wapi BK nikupe jibu mpaka kyerwa yote, mutukura, rusumo, kyaka, k9, bmulo
Ni wapi aliwai ona idadi ya wakatoliki wengi kama aliyoiona kwenye hija pale Mugana!? Huyu mgogo tu deal nae atuletee picha za Dodoma. Maana huu uzi haujazuia kuleta za kwenuWe ulitoka kuhiji na unatuletea uongo hapa.kwanza huko mugana kuna majumba ya ajabu na pia uliona jinsi ukatoliki ulivyoshika haswa sio Kwa idadi Ile ya watu .mji wa bukoba unakauka gafla kisa imani Kwa bikira Maria
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka sasa tulinganishe na kwenu. Acha kushadadia kwa wanaume wenzio mkuu. Kuna kuolewa ujue. Nakukumbusha tuMimi Ni mtafiti huko mgana nilipita nikafanya na hija fupi hapo so naijua Tanzania yote na east Africa Hadi Central siyo naiponda BK hapana Bali napajua vyema huwezi linganisha BK na Ms hata kidogo shida yenu ninyi nshomile wajuaji tu "TINTI NANTALE EXCEPT GOD" imebidi nikupe na kipande Cha lugha yenu kidogo Kama umezaliwa juzi kaombe tafsiri kea wahenga
Morogoro inaizidi pia Mwanza na Mbeya. Unaelewa vizuriHata katika sekta ya viwanda Kagera hawawezi kutufikia Kilimanjaro ipo vizuri sanaView attachment 1012980
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishamwambia na alikimbia kabisa na kutoroka kusikojulikana .hasijaribu kulinganisha moshi na bukoba upande wa dini maana bukoba sio ya mchezo .tukileta parokia za bk atalia.halafu mkuu leta picha za vijijini huko bugabo tuwafunge mdomo hawa wataniBosi si ulete tu utupigie picha vizuri na vibao vyenye majina ya hayo kamanisa?? Hizo picha za kuunga mitandaoni sio ushahidi mzuri. Hii inadhihirisha hakuna kitu mnahaha kutafuta pa kufia.
Weka picha original from the source na kibao cha jina na location ya kanisa, watu tufunge midomo. Kwani shida iko wapi!? Mfano mdogo ni huuView attachment 1016419View attachment 1016420View attachment 1016422View attachment 1016423View attachment 1016425
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu anasema kanisa la Kashozi halikujengwa 1892!! Sasa aone hii ya Rubya mwaka 1880 azimieHuwezi ongea history ya ukristu Tanzania bila kuitaja bukoba
Kwanza seminary ya Kwanza tz Rubya
Seminary kuu ya Kwanza ya mtakatifu Leo Rubya
Mapadre wa kwanza tz wanatoka bukoba
Askofu wa kwanza mtanzania bukoba
Kardinali wa Kwanza mweusi duniani bukoba
Askofu mkuu wa kwanza balozi wa papa bukoba
Nadhani mpaka Pope WA Kwanza mweusi atatoka bukoba
Kumbuka bukoba ni white fathers waliotoka uganda hebu tazama hiyo picha uamini niliokwambiaView attachment 1013124
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hapo unamkimbiza sasa. Atapotea kabisa. Muache tu aendelee na porojo tutamvumilia maana tushajua udhaifu wa wachaga.
Huyu ndo mtanzania wa Kwanza kupata PhD na alisomea havard .Alafu anasema kanisa la Kashizi halikujengwa 1892!! Sasa aone hii ya Rubya mwaka 1880 azimie
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu kweli! Nimeelewa. Hii sio stendi ya mabasi. Hapa ni railway. Mikoa yote yenye reli hizi stend zipo! Maana nakumbuka ya Kigoma hadi leo ipo, n.k. Mkuu umewaumbua vuzuri sana. Wewe umemaliza uzi sasa. Nawasubiri waropoke niwape za chembeHapo ni stand ya mabasi ya shirika la reli (TRC).Karibu mikoa yote zilikuwepo.
Wewe kwenye hiyo picha unaona sehem ya kusimama magari?? Shame. Pambaf kabisa. Kumbe liuzi lote ni upupu mtupu. Nilishawahi kutahadhalisha tabia ya wachaga kupenda sifa za uongo! Kwani ukisema ulichonacho wewe unakufa??Hahaha eti stand ya mabasi ya shirika la reli kwahiyo reli huwa zinapaki stand? Hahaha sina mbavu
haya hebu niwekee picha za stand za hiyo mikoa mingine za enzi hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Hapa napajua aisee. Nilikuwepo wiki iliyopita. Jamaa ametisha. Genge la kisasa kabisa kama supermarket! Sio vigenge vya kina mangiKwa kuwa hamuijui Bukoba mpo mnajifariji humu, basi ngoja niwaonjeshe kidogo ili mapovu yawatoke vizur View attachment 1013215View attachment 1013216View attachment 1013217View attachment 1013218View attachment 1013219View attachment 1013220View attachment 1013221View attachment 1013222View attachment 1013223View attachment 1013224View attachment 1013225View attachment 1013226View attachment 1013227
Sent using Jamii Forums mobile app