Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 247
Wana JF, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa Bujibuji. Congratulations
wana jf, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa bujibuji. Congratulations
Wana JF, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa Bujibuji. Congratulations
Hivi anaitwa bujibuji!dah umetuacha kwny chama cha wasiotaka kuoa!
Wana JF, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa Bujibuji. Congratulations
anaoa mke alepewa mwanza alipoenda msibani! hongera sana mungu awatangulieHuyu Bujibuji hii itakuwa mara yake ya ngapi kuoa? Kuna nyuzi zake humu anatupa visa vyake na mkewe. Au huyo tuliekuwa tunamsoma humu alikuwa "Mke" na si Mke?Kama ni kweli, namuonea huruma huyo "Mke" mtarajiwa."Hongera".
Kila la kheri Bujibuji umetuachia pengo kambi ya ukapera!