Daydream
Member
- Oct 26, 2023
- 58
- 328
Nadhani tumeshawahi kuona katika baadhi ya ndoa iwe ukumbini au kanisani unakuta bibi harusi anaanza kumwaga machozi
Wapo baadhi ya watu wanapoona hali ile wanasemezana kwamba "umeona analia, atakua amempenda sana yule mwanaume na haamini kama kaolewa nae"
Binafsi huwa naamini mwanamke anapolia siku ya ndoa hamaanisha kwamba amekupenda sana na badala yake anasikitika kwamba anaenda kuishi na kitu cha ajabu kwenye maisha yake
Kila mtu atakua anaongelea lake lakini je wewe mdau wa JF ushawahi kujiuliza kwanini baadhi ya wanawake huwa wanalia siku ya kufunga ndoa?