Tatizo sio udhalilishaji pekee....mi inaniondolea konsentreshen ya kusoma thredi.
Hebu fikiria huyu angekuwa wifi yako.
Ungemshauri nn kaka 'ako?
Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake
kama haitoshi kampa na ujauzito kabisa huku sisi tukiwa na imani na matumaini kuwa bro kafanya kazi nzito na nzuri kumbe house boy ndo aliye mpa. Wife wa bro amekiri kosa na amekubali kuwa ni kweli ujauzito na wa huyo house boy.
Bro yupo njia panda anashindwa afanyaje!
FL unajikuta unasoma thredi kwa nusu dakika halafu unaangilia avata kwa dakika 5! Si unaona hizo harmonics?hahahah Mbona ni vijimambo tu jamani ..konsentreshen ya nini
Vp walishakutelekea na wewe nn?Asant sana houseboy kwa kazi nzuri! Jamani nimefurahi sana kuona hii thread! Fidel sasa unalalamika nini hivi huyo kakako tena hawa mabrother zangu wenye tabia ya kuacha mali zao huko migombani Moshi Marangu wana maana gani wao wakija mjini wanapata dogodogo sasa yule bibie kule marangu yeye apate wapi acha houseboy naye apate chakula hii ni fundisho kwa wale kaka zetu wachaga wenye tabia za kuacha wake zao vijijini huko uchagani...
Hii imenifurahisha sana! well done houseboy.....
Hii habari iwe ya kweli au isiwe ya kweli, ukweli wa mambo ni kwamba binadamu hatuko waaminifu. Kwenye hili wala simlaumu sana "houseboy". Wa kulaumiwa ni huyo mke wa mtu aliyekiuka viapo vyake vya ndoa. .
Komredi hii ishu ni kweli imetokea nimepewa taarifa leo.
Imenisikitisha sana huyu shemeji wangu yaani kamegwa mpaka mimba dah.
Hii habari iwe ya kweli au isiwe ya kweli, ukweli wa mambo ni kwamba binadamu hatuko waaminifu. Kwenye hili wala simlaumu sana "houseboy". Wa kulaumiwa ni huyo mke wa mtu aliyekiuka viapo vyake vya ndoa.
Ndio maana kila siku nasema mambo ya ndoa yako "outdated" na "overrated". Kama huyo "kaka" wa komredi angekuwa hajaoa haya ya kumegewa "wife wake" wala yasingetokea. Ukioa ama kuolewa basi ujue ipo siku mwenzako ataenda nje kwa sababu ni vigumu mno (almost impossible) kwa mtu kufungamana na mtu mmoja milele hasa kama wote bado ni vijana.
Hivi wewe utakuja kuoa kweli?/ hahaha nahitaji kushuhudia kama itatokea hii habari upande wako
Hapana! Sitakuja kuoa. Kama ukitokea mwujiza nimeoa tafadhali naomba nikumbushie haya maneno yangu mwenyewe ili niweze kuyameza. Narudia tena, kamwe sitakuja kuoa.
shemeji jamani mbona umenifany aniingiwe na majonzi mwenzio ghafla hata kukusalimia nimeshindwa!!!
hw have you been my dear??
misd u handsome!!!