Bro wangu kamegewa wife wake na house boy

kwani ukila siku hiyo ndo basi, si utaendelea na siku nyingine

dah kwa hiyo h/boy /girl pia akikaa sana kibaruani u have to think deeply eeeh??!!!

Nitaanza kulifikiria..............ndafu ndafu ndafu!!!

Sasa kumbe!! yani umkatishe majani ya ng'ombe weeeeee!! mika mitatu, minne, ye yupo tu! nani kasema.
 
Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake.

Kama haitoshi kampa na ujauzito kabisa huku sisi tukiwa na imani na matumaini kuwa bro kafanya kazi nzito na nzuri kumbe house boy ndo aliye mpa. Wife wa bro amekiri kosa na amekubali kuwa ni kweli ujauzito na wa huyo house boy.

Bro yupo njia panda anashindwa afanyeje!

Hadithi ya kufikirika a.k.a fabricated story
 
Hadithi ya kufikirika a.k.a fabricated story

ni kweli mkuu, hadithi hii imefyatuliwa tu kama tofali.............. ni ya kufikirika tu............ lakini kama ni kweli, huyo bro yuko njia pandaa ya kwenda wapi?........... mbona hata kazi ya kufikiri hakuna tena kwa case kama hizo............... labda kama amesahau njia aliyoingilia kutokea kwao.............. eeh, labda kama kaisahau hilo ndo la kumkumbusha ................. basi, nafikiri kwa kase kama hiyo, hata 2 seconds ni nyingi sana kuendelea kumuona maeneo ya pale home!!.................. what a shame???....................
 
Hausgeli ni halali? Maana hiki kilio kwa hausboi kimenifanya nijulize maswali lukuki.

Haya ni matokeo ya kukosekana maadili katika familia zetu. Ni mara ngapi tumesikia au kushuhudia mahausgeli wakitembea na waajiri wao hadi wakapewa ujauzito? Mara nyingine wasichana hawa hubakwa siyo tu na baba mwenye nyumba, bali na watoto wa kiume pia wa mwenye nyumba ukiachilia mbali wageni/ndugu au jamaa wanaoishi humo ndani.

Wenye nyumba/waajiri mnatakiwa mjue mipaka yenu. Nina uhakika kabisa asilimia 99.99 kuwa ukijiheshimu na kuonyesha wewe ndio boss hakuna namna uhusiano huu mbaya utajengeka.

Wafanyakazi wawe wa kike au wa kiume lazima waheshimiwe ili wajiheshimu. Ikiwa wewe tajiri huna maadili matokeo ni kilio badala ya furaha katika familia zenu.Msaada mnaoutafuta utageuka msalaba mkubwa tena wa kudumu usiokuwa na mtu wa kuutua.
Tubuni mumrudie Mungu!

Fidel,
Kama hiki kisa ni cha ukweli... inasikitisha sana ndugu. Kaka yako kwa vyovyote ameumizwa sana. Kibaya zaidi kuna ujauzito na hii itamfanya hata akisamehe asiweze kusahau. Akimfukuza hausboi, bado mtoto atabakia. Mshauri aende kwenye ushauri nasaha napia ajikite zaidi katika kumcha Mungu ATAPATA FARAJA. Kumwacha mkewe nako ..sijui..labda awashirikishe wazazi na wazee wa ukoo wamsaidie mawazo.
 
Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Mathayo 19:9
 
Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Mathayo 19:9

heee?..kumbe mambo ni magumu namna hio?
sasa nini suluhisho?
 
heee?..kumbe mambo ni magumu namna hio?
sasa nini suluhisho?

wala mambo sio magimu............ ni rahisi sana............ ondoa kwanza hizo takataka hapo nyumbani ndio tutaanza kufungua maandiko kujua yanasemaje zaidi...................

mke kazaa na houseboy bado ni "mke"?................. kwani mke ni ule mwili unaovalishwa sidiria?............. ama ni mtiu na utashi wa kuhudumu kama mke kwa uaminifu?.......... aaaaggggrrr..................
 
mpendwa, hapo kwenye bold naomba tuzungumze hivi................. kumwacha mke ni chanzo cha faraja......... katika case kama hii, kumwacha mke hakuepukiki........... busara inaweza kusaidia namna ya kumhudumia mke baada ya kumuacha kwa mfano kama ataondoka nyumbani kwa ruhusa ya mahakama na watoto wadodgo ama watoto wakubwa wataamua kuambatana na mama yao........... hapo pana tafakuri mbilimbili kwani watoto hawana kosa lolote na hawapaswi kuadhibiwa kwa kiwango chochote.............. ila kumwondoa mama nyumbani ni suala lisilokwepeka na linafaa kufanyika bila kumvunjia heshima mwanamke(mama) wala kumwaibisha...................
 
wala mambo sio magimu............ ni rahisi sana............ ondoa kwanza hizo takataka hapo nyumbani ndio tutaanza kufungua maandiko kujua yanasemaje zaidi...................

mke kazaa na houseboy bado ni "mke"?................. kwani mke ni ule mwili unaovalishwa sidiria?............. ama ni mtiu na utashi wa kuhudumu kama mke kwa uaminifu?.......... aaaaggggrrr..................

usiwe unaniquote tafadhali na sitaquote tafadhali..!

siko hapa kulumbana na mtu yeyote..

am not here to make friends,but am not here to make enemies either!
 
mkuu pj hii ishu ni kweli imetokea na ni bro wangu kweli anafanya biashara.
Ni mke wake wa ndoa kabisaaa na amesha mzalia mtoto 1 hii mimba ni atakuwa mtoto wa 2. Sasa ni wa huyo house boy.

mzee, yawezekana hata huyu mtoto wa 1 ni wa boi kama si wa jirani au rafiki wa bro.

Mke makini kamwe hawezi kuliwa uroda mpka kuachia anapigwa ujauzito kama binti wa darasa la sita, labda kama bro apandi mlima kisawa sawa ..au kama hayupo kabisa kwenye faili la moyo wa shem.
 
:confused: saaana tu,usinidanganye ooops...usidanganyike kuwa sijui :)
Sasa kama unajuwa maana ya uasherati, basi mambo si magumu...!

Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Mathayo 19:9
 
Usiniambie kuwa game ya bro. haikuwa chochote mbele ya house boy ,kamega na kuacha utabulisho kabisa dharau hizi!
 
Hapo mimi napaki vyeti vyangu naondoka nawaachia kila kitu kwenda anza maisha sehemu nyingine.
 
daah mkuu hii ishu kubwa....,kwangu mimi hapo hakuna mke.....!shemeji amevuka mipaka...hata akisamehewa huyo mtoto atazidi kumkumbusha kaka yako machungu kila siku...jaribuni kuwa karibu na brother wenu ili asije kuchukua uamuzi wowote mbaya maana lazima atakuwa dipresed sana!
 
usiwe unaniquote tafadhali na sitaquote tafadhali..!

siko hapa kulumbana na mtu yeyote..

am not here to make friends,but am not here to make enemies either!

umefika mbali sana mpendwa. kwa nini unamzuia memba mwenzako asikuquote na wewe unajizuia kumquote? nafikiri humtendei haki. hii ni forum ya wote na sioni sababu ya estrictions. jitahidi kuvumilia mawazo ya wenzako, otherwize naamini utapata shida sna kwani kuacha kukuquote, naamini hataacha. labda wewe uache na ama ujitoe JF!

pia unleta contradictions kuwa hukuja kutengeneza marafiki wala maadui. so napata shida kama ujumbe wako huu wa hii post una lengo gani? nafikiri unaweza kujenga uadui kati yako na mlendwa AK. ni ushauri tu
 
Labda niulize jamani pana tofauti gani kati ya mimba ya housegirl aliyepewa na baba mwenye nyumba na mimba ya mama mwenye nyumba aliyepewa na house boy!!! nadhani kama ni aibu wote wanapata aibu sawa baba akimpa HG mimba anamuaibisha mama, jamii na familia, na mama kupewa mimba na HB ni kumuaibisha baba, jamii na familia. UZINZI ni UZINZI ni dhambi na ni kitu kibaya either amefanya baba au amefanya mama, inapaswa kulichukia ili kwa nguvu zote, lakini bado sijaona sababu ya huyu mama kupewa lawama na kutakiwa aondoke au aachwe!

siku zote nitasimama kwa haki za akinamama wanaoonewa na kurundikiwa watoto wa kutoka nje na akina baba, kama baba atasamehewa kwa kuzaa nje na kuleta mtoto ndani ya nyumba basi na mama asemehewe na mtoto alelewe, au ikilazimika ahudumiwe ukifikia umri wa kwenda kwa babaye apelekwe. kama akina baba huwa shetani anawapitia kwenda nyumba ndogo na kuzaa na HG basi na huyu mama shetani alimpitia tatizo je yupo tayari kutubu na kukubali kutorejea kosa hilo. inavyoonekana huyu mama ameelewa kosa lake kwahiyo kaka anatakiwa atumie busara na kuangalia ni jinsi gani atahandle, kubwa issue kama hii inatakiwa iwe ni handled with care within family na kwanza huyo house boy anatakiwa aondoke wakati majadiliano yanaendelea, nadhani mke na mume wana nafasi nzuri ya kulizungumza hili kabla hata ya kuwashirikisha ndugu au wazee! maana ndoa niw ao si wazee! ingawa busara za wazazi zinahitajika pale mambo yanapoenda kombo zaidi.

But all in all, huyu kaka naye ajiangalie tatizo lipo wapi isije kuwa alimuacha huyu mama kama msimamizi wa miradi "just a business partner" and not wife na ndio hapo HB akatake chance! tatizo katika ndoa watu hujisahau, before ndoa 90% ya muda unatumika kujadili mahusiano ya mapenzi zaidi, baada ya ndoa 90% ya muda unatumika kujadili business na how to rise family income na hapo ndio mambo yanapoharibika!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom