Bro wangu kamegewa wife wake na house boy

Asant sana houseboy kwa kazi nzuri! Jamani nimefurahi sana kuona hii thread! Fidel sasa unalalamika nini hivi huyo kakako tena hawa mabrother zangu wenye tabia ya kuacha mali zao huko migombani Moshi Marangu wana maana gani wao wakija mjini wanapata dogodogo sasa yule bibie kule marangu yeye apate wapi acha houseboy naye apate chakula hii ni fundisho kwa wale kaka zetu wachaga wenye tabia za kuacha wake zao vijijini huko uchagani...

Hii imenifurahisha sana! well done houseboy.....
 
Mbona kama ni hivi kila kitu kiko wazi? What's matter is just to have PEACE OF MIND to decide whatever is possible and fruitfull to him, his life and family....! Kama issue ndio hivi;

1. Mwanamke ni mjamzito kwa sababu ya houseboy
2. Mwanamke kakiri kuwa ni kweli
3. Basi ni wazi kuwa walipendana na sio alibakwa huyo mwanamke
4. Basi wavune walichokipanda, ni halali yao kuondoka na kuanza maisha yao kivyao.

Ingekuwa mimi, hapo hakuna mjadala, ni kuondoka tu. Naye namshauri tu afanye hivyo, akishindwa basi naye ammege housegirl na kumpa mimba; kama hayupo amtafute mzuri sana, then afanye hivyo. Sina maana ya kuchapa nje kabisa, lakini amlete nyumbani. Kwa issue kama hii ukienda kule Musoma, ni halali kabisa kwa bro wako kudai mahari ya huyo mkewe kutoka kwa huyo houseboy na kumwoza moja kwa moja.
 
Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake
kama haitoshi kampa na ujauzito kabisa huku sisi tukiwa na imani na matumaini kuwa bro kafanya kazi nzito na nzuri kumbe house boy ndo aliye mpa. Wife wa bro amekiri kosa na amekubali kuwa ni kweli ujauzito na wa huyo house boy.
Bro yupo njia panda anashindwa afanyaje!

Kiongozi,

Hii wikiendi ulikuwa viwanja vipi? Maana'ke hii kali sana!

Anyways: Kitanda hakizai Haramu: Shemeji aende kwao mpaka atakapojifungua: Baada ya hapo utaratibu wa "kumuhalalisha" mtoto uchukue mkondo wake
 
Ana shindwa afanyie nini? anataka kafanya nini wakati kazi imemshida hadi houseBoy amemsaidia.Dah jamani kuweni makini na hawa ma-house boy mtalia wengi, Mpwa huyo house boy wa bro wako inaonekana anajituma sana kwenye kazi yake.
 
Mkubwa hii ngumu kidogo. Yampasa ajiulize kwanini amemegewa mke na akishapata jibu ausikilize moyo wake, vinginevyo twaweza shauri hadi kesho but kama hatujachimba sababu msaada utakuwa ni mdogo!
 
Asant sana houseboy kwa kazi nzuri! Jamani nimefurahi sana kuona hii thread! Fidel sasa unalalamika nini hivi huyo kakako tena hawa mabrother zangu wenye tabia ya kuacha mali zao huko migombani Moshi Marangu wana maana gani wao wakija mjini wanapata dogodogo sasa yule bibie kule marangu yeye apate wapi acha houseboy naye apate chakula hii ni fundisho kwa wale kaka zetu wachaga wenye tabia za kuacha wake zao vijijini huko uchagani...

Hii imenifurahisha sana! well done houseboy.....
Vp walishakutelekea na wewe nn?
 
Hii habari iwe ya kweli au isiwe ya kweli, ukweli wa mambo ni kwamba binadamu hatuko waaminifu. Kwenye hili wala simlaumu sana "houseboy". Wa kulaumiwa ni huyo mke wa mtu aliyekiuka viapo vyake vya ndoa.

Ndio maana kila siku nasema mambo ya ndoa yako "outdated" na "overrated". Kama huyo "kaka" wa komredi angekuwa hajaoa haya ya kumegewa "wife wake" wala yasingetokea. Ukioa ama kuolewa basi ujue ipo siku mwenzako ataenda nje kwa sababu ni vigumu mno (almost impossible) kwa mtu kufungamana na mtu mmoja milele hasa kama wote bado ni vijana.
 
Hii habari iwe ya kweli au isiwe ya kweli, ukweli wa mambo ni kwamba binadamu hatuko waaminifu. Kwenye hili wala simlaumu sana "houseboy". Wa kulaumiwa ni huyo mke wa mtu aliyekiuka viapo vyake vya ndoa. .

Komredi hii ishu ni kweli imetokea nimepewa taarifa leo.
Imenisikitisha sana huyu shemeji wangu yaani kamegwa mpaka mimba dah.
 
mkuu R,
dah!
bora niwe masikini hivi hivi kuliko kuhangaikia mali watu wana kukanyagia mkeo
 
Komredi hii ishu ni kweli imetokea nimepewa taarifa leo.
Imenisikitisha sana huyu shemeji wangu yaani kamegwa mpaka mimba dah.

Pole zake huyo kakako. Hapo kwa kweli aliula wa chuya. It's bad enough kumegwa ukiwa mke wa mtu but it is even worse to get impregnated. Geeeez....
 
Hii habari iwe ya kweli au isiwe ya kweli, ukweli wa mambo ni kwamba binadamu hatuko waaminifu. Kwenye hili wala simlaumu sana "houseboy". Wa kulaumiwa ni huyo mke wa mtu aliyekiuka viapo vyake vya ndoa.

Ndio maana kila siku nasema mambo ya ndoa yako "outdated" na "overrated". Kama huyo "kaka" wa komredi angekuwa hajaoa haya ya kumegewa "wife wake" wala yasingetokea. Ukioa ama kuolewa basi ujue ipo siku mwenzako ataenda nje kwa sababu ni vigumu mno (almost impossible) kwa mtu kufungamana na mtu mmoja milele hasa kama wote bado ni vijana.

Hivi wewe utakuja kuoa kweli?/ hahaha nahitaji kushuhudia kama itatokea hii habari upande wako
 
Hivi wewe utakuja kuoa kweli?/ hahaha nahitaji kushuhudia kama itatokea hii habari upande wako

Hapana! Sitakuja kuoa. Kama ukitokea mwujiza nimeoa tafadhali naomba nikumbushie haya maneno yangu mwenyewe ili niweze kuyameza. Narudia tena, kamwe sitakuja kuoa.
 
Hapana! Sitakuja kuoa. Kama ukitokea mwujiza nimeoa tafadhali naomba nikumbushie haya maneno yangu mwenyewe ili niweze kuyameza. Narudia tena, kamwe sitakuja kuoa.

shemeji jamani mbona umenifany aniingiwe na majonzi mwenzio ghafla hata kukusalimia nimeshindwa!!!

hw have you been my dear??
misd u handsome!!!
 
shemeji jamani mbona umenifany aniingiwe na majonzi mwenzio ghafla hata kukusalimia nimeshindwa!!!

hw have you been my dear??
misd u handsome!!!

Oooh my dearest...I have been doing great....better than most people! I have missed you too my dearest. Time away from your loved ones is torture for real.

I hope you and B are doing wonderful....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom