Bro wangu kamegewa wife wake na house boy

Mpe pole broda wko kwa hayo yaliomkuta ila asifanya papara mie nahisi kama waligombana na wife wake so ili mama alipize kisasi cha harira zake ama ugomvi wao ndipo akamwambia kuwa hiyo mimba sio yake, cha msingi asubiri mtoto azaliwe then akafanye DNA ndipo atajua kweli ama sio kweli alilea mimba ya mtu mwingine?
Jaribuni kuwa karibu zaidi na huyo broda wenu ili asijefanya maamuzi ambayo hayapendezi pia huyo shemeji yenu jaribuni kumtoa hapo kwake mpelekeni hata kwa mama yenu halafu akisha jifungua mfanye hiyo DNA maana kadri anavyozidi kukaa karibu na mumewe hamjui kaka yenu anafikiria nini, mwisho kabisa huyo houseboy mumtimulie mbali nae asiwe karibu na kaka yenu wala shemeji yenu,maana mimba imeshakuwakubwa karibu anajifungua namaanisha kaka yako amelea hiyo mimba miezi yote hiyo tisa bila kujua huwa amelea mimba ambayo sio yake lazima kuna kitu kilifanyika hadi mke akasema hivyo jaribuni kuchunguza kwa undani zaidi mtajua ukweli tu nini chanzo hadi huyo shemeji yenu aseme mimba niya house boy sikuzote kwanini asiseme aje kusema wakati anakaribia kujifungua nahisi kuna kaugomvi kametokea ndani yao tu...!
 
huyo kaka angemuacha tu mkewe...

unaweza msamehe mtu kama amecheat..ila once a child is involved...issue inakuwa 'complicated'...

hata akimsamehe sasa,baadaye huyo mtoto anakuwa kama muhuri...a chilling reminder kuwa mkewe amecheat...this will haunt their marriage...in the end lazima itavunjika tuu...
 
Heshima mbele wakuu!

Maswali: Kwani matumizi ya kinga inakuwaje kwenye dunia yetu hii ya Ukimwi na jamii?Inakuwaje mke mzima na akili zake hata kama ndio ameamua kutembea nje ya ndo akubali kufanya ngono na mtu mwingine nnje ya ndoa tena bila kutumia kinga?Kweli hapo kuna akili?Utasema kweli kakayo anapendwa na mkewe?Hata kama mwanaume yupo busy sana,mambo huwa yanarekebishwa kwa kuongea na sio kutembea nje ya ndoa tena bila kumkinga mwenziye.Hakuna upendo hapo nionavyo mimi kwa sababu kama unampenda,utamlinda(hutafanya nje ya ndoa).Kuna ulazima wa kuhimiza elimu juu ya haya mambo.Suppose the h/boy ndio tena keshaunawa,huyu mke anafikiria raha ya dakika 10 ni bora kuliko uhai wa mme wake na mtoto wao mmoja?This is saddening!
do hapo ndio huyu jamaa maumivu ya kichwa kuanza poole pole mkewe anashea tundi na houseboy??tena kavu kavu,ukifwatilia sana huchelewi sikia jamaa alikua pia anajiexpress kiulaini kwa mke wa bosi yake doh.
 
duh mpe pole kaka kwa yaliyomkuta, haya ndio mambo ya kwenye ndoa, kuna akina baba wengi tu wametia mimba ma beki tatu(house gal) lkn ndoa zinaendelea tu wakina mama wanasamehe na maisha yanaendelea. kwa hili la kaka kwanini na yeye asimsamehe mama kama mama amekili kosa na kutubu labda amepata fundisho hataludia tena kama kaka yupo tayari kusamehe na kusahau. kuliko kuoa mwingine ambaye naye anaweza kuja kumfumania na kidume kingine he he mambo haya jamani huwa yanakatisha tamaa.
 
Kama bado hajampa talaka...
Basi awasamehe wote wawili ila amrudishe house boy kwao ,
maana anaweza kumdunga mimba ya pili ikawa balaa zaidi
 
huyo kaka angemuacha tu mkewe...

unaweza msamehe mtu kama amecheat..ila once a child is involved...issue inakuwa 'complicated'...

hata akimsamehe sasa,baadaye huyo mtoto anakuwa kama muhuri...a chilling reminder kuwa mkewe amecheat...this will haunt their marriage...in the end lazima itavunjika tuu...
I second this... unasikia fidel?
 
Anaogopa ile kauli ya 'till death do us part?'.
Akae kidogo kabla ya kufikia uamuzi, then amue. After all she not the only woman alive.
 
mimi kweli sina akili, eti sikioni kinachomfanya mtu aombe ushauri juu ta kadhia hiyo, naomba munielekeze kilipo kituo cha ushauri nasaha nikafundishwe
 
Kama bado hajampa talaka...
Basi awasamehe wote wawili ila amrudishe house boy kwao ,
maana anaweza kumdunga mimba ya pili ikawa balaa zaidi
?I guess sio rahisi kwa mwanaume kusamehe kosa kama hili... hivi maisha yatakuwa mazuri lakini after all this? I doubt...
 
Binamu kwani wewe kimtizamo unadhani brother wako afanye nini kwenye sakata kama hilo?
Ila hii issue imekaa vibaya sana mwanamama kavuka mipaka
 
Nimekosa Jibu muamuzi ni mwenye mke ila akae atulize akili ndio atoe uamuzi..
Kwangu mie uamuzi wowote ni sawa tu
 
Mkuu fidel,

Yaani ulivyoileta hii taarifa ni kama vile Farooq karim anavyoripoti kutoka zenji,lol...

Hivi sasa watumishi wa ndani wamekuwa active katika kujitwalia ufalme.Kaazi kweli...Mimi naona hapo talaka ndilo jambo la Msini tu.Hata bible bwana inakiri Uzinzi ni tabia isiyovumilika

Hivi huyo shemejio ana umri wa miaka mingapi?na mtumishi je?
 
Nimekosa Jibu muamuzi ni mwenye mke ila akae atulize akili ndio atoe uamuzi..
Kwangu mie uamuzi wowote ni sawa tu

Hii ingekuwa kwa upande wangu huyu shem ni RED kadi mm sijamshauri lolote bado.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom