Bro wangu kamegewa wife wake na house boy

huo ni msala full chali yangu

Dah yaani inasikitisha sana huyu shem alivyo kuwa ananisisitizia mm nioe dah nachoka kabisa.

Basi tena house boy kesha mzidi ujanja... Solution mshauri bro amwozeshe my waifu kwa house boy...Hee hee hee.

Kumwozesha itakuwa ngumu walisha funga na harusi kanisani.

...huyo mke hamfai kakako!
Subirini mtoto azaliwe, ili mpate ushahidi dhahiri, then...KWAO!

Ndo hapo sasa lakini yeye mwenyewe shem kamthibitishia hiyo mimba ni ya house boy
Bro anashindwa afanyaje dah majonzi tu
 
ushahidi gani tena bingwa mwanamke kashasema mimba ya houseboy?

Ushahidi wa maneno broda huo, tunataka ushahidi SUBSTANCIAL usioacha shaka... huenda huyu mama alishinikizwa akubali??....hujakutana na incidence za hivyo huko polisi?
 
nimejiuliza sana...hapo alikuwa anaruka kamba, anacheza ngoma au alikuwa anafanya nini?

alafu sasa jibu ambalo mtu unapigia mstari mweeeh!! makwazo ......(alikuwa anajishughulisha na kazi)
 
[
Fidel80;878034]Dah yaani inasikitisha sana huyu shem alivyo kuwa ananisisitizia mm nioe dah nachoka kabisa.
uoe au usioe?
anyway kama mnampenda kaka yenu huu ndio muda wa kuwa naye karibu maana anawezaku commit mudder muda wowote kuanzia sasa
 
Ushahidi wa maneno broda huo, tunataka ushahidi SUBSTANCIAL usioacha shaka... huenda huyu mama alishinikizwa akubali??....hujakutana na incidence za hivyo huko polisi?
mwanamke kashakiri?kwangu mimi hapo hamna ushahidi zaidi ni kwa heri.
 
Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake
kama haitoshi kampa na ujauzito kabisa huku sisi tukiwa na imani na matumaini kuwa bro kafanya kazi nzito na nzuri kumbe house boy ndo aliye mpa. Wife wa bro amekiri kosa na amekubali kuwa ni kweli ujauzito na wa huyo house boy.
Bro yupo njia panda anashindwa afanyaje!
SAMAHANI. Kama bro wako bahati mbaya hajiwezi,angekuarifu kuwa,bwana mdogo mimi mambo si mazuri(jogoo haliwiki??.........nilitegemea bro wako aseme, 'huku mimi nimepiga mtu sana niko polisi njoo niwekee dhamana' au shemeji yako nimemfukuza,kisa kalambwa na house boy. Inawezekana wanajuana hawa.........mahousegirl wotehawa wamejaa uajiri housegirl tena kidume cha mbegu ulitegemeanini? Ongea vizuri na shemeji yako si ajabu ukasikia ' kaka yako mwenyewe mwenyewe.................'.
KAMA NI KWELI; PIGA UA SIKU ZOTE AAJIRIWE HOUSEGIRL SI HOUSEBOY.
 
Mkuu PJ hii ishu ni kweli imetokea na ni bro wangu kweli anafanya biashara.
Ni mke wake wa ndoa kabisaaa na amesha mzalia mtoto 1 hii mimba ni atakuwa mtoto wa 2. Sasa ni wa huyo house boy.

Mkuu hapo kwa kuwa Bro wako yuko kwenye ndoa hiyo mimba na mtoto atakuwa ni wa kwake, kisheria huyo house boy atakuwa amesaidia tu, kuhusu kuacha au kuendelea na mke wake anatakiwa ajiangalie yeye mwenyewe, yukoje? Je anaweza kuacha? au hawezi wanaume tunatofautiana jinsi ya kuyakabili mambo ila nakiri kwamba ni mtihani mzito ameupata mpe pole Mungu atamsaidia.
 
Mkuu PJ hii ishu ni kweli imetokea na ni bro wangu kweli anafanya biashara.
Ni mke wake wa ndoa kabisaaa na amesha mzalia mtoto 1 hii mimba ni atakuwa mtoto wa 2. Sasa ni wa huyo house boy.

Amefanya bishara tangu kabla hawajapata huyo mtoto wa kwanza?na kama ndio,houseboy pia alikuwepo?
 
Mkuu PJ hii ishu ni kweli imetokea na ni bro wangu kweli anafanya biashara.
Ni mke wake wa ndoa kabisaaa na amesha mzalia mtoto 1 hii mimba ni atakuwa mtoto wa 2. Sasa ni wa huyo house boy.

Una uhakika gani kuwa mtoto wa kwanza ni wake.

Labda bro mambo yamemwelemea mke kaomba msaada kwa house bou
 
mpe pole sana.

wakati umefika sasa wakuu tujenga tabia ya kutumia mda mwingi na wake zetu sio kushinda baa tu huku mke anajikuta mpweke nyumbani matokeo yake house boy ndio anamchangamsha.

haya yote yameweza kutokea kutokana na mkuu kushindwa kutumia mda mwingi na mke wake.mama wa nyumba matokeo yake kaona rafiki yake mkubwa ambaye kutwa yupo anapo muhitaji ni house boy.

na kina dada pia na nyie hii pia inawatokea pia kwamba baba mwenye nyumba kamtia mimba house girl ,sababu ndio hizo hizo kutotumia mda mwingi na baba mwenye nyumba.

wote kwa pamoja tubadirike kama tunataka kulinda ndoa zetu.
 
Apime DNA na huyo mtoto wa kwanza. Inawezakana naye ni wa houseboy! Inawezekana kaka 'hawamo' halafu wife akatumia mbinu za kivita.
 
Apime DNA na huyo mtoto wa kwanza. Inawezakana naye ni wa houseboy! Inawezekana kaka 'hawamo' halafu wife akatumia mbinu za kivita.

Mtoto wa kwanza kafanana na Bro naona hakuna haja ya kupima DNA.
Lakini huu ujauzito wa shem amekiri wazi kuwa ni wa house boy amemsihi mmewe wayamalize kimya kimya.
 

Dah hizi Avatar bana kazi kwelikweli!! wengine hii sehemu ndo ugonjwa wetu!! hapa itabidi tufumbe macho tu! lol!
 
Amefanya bishara tangu kabla hawajapata huyo mtoto wa kwanza?na kama ndio,houseboy pia alikuwepo?

Mpaka sasa anafanya biashara mtoto wa kwanza kampata wkt house boy hayupo na wamefunga ndoa kanisani.
 
Heshima mbele wakuu!

Maswali: Kwani matumizi ya kinga inakuwaje kwenye dunia yetu hii ya Ukimwi na jamii?Inakuwaje mke mzima na akili zake hata kama ndio ameamua kutembea nje ya ndo akubali kufanya ngono na mtu mwingine nnje ya ndoa tena bila kutumia kinga?Kweli hapo kuna akili?Utasema kweli kakayo anapendwa na mkewe?Hata kama mwanaume yupo busy sana,mambo huwa yanarekebishwa kwa kuongea na sio kutembea nje ya ndoa tena bila kumkinga mwenziye.Hakuna upendo hapo nionavyo mimi kwa sababu kama unampenda,utamlinda(hutafanya nje ya ndoa).Kuna ulazima wa kuhimiza elimu juu ya haya mambo.Suppose the h/boy ndio tena keshaunawa,huyu mke anafikiria raha ya dakika 10 ni bora kuliko uhai wa mme wake na mtoto wao mmoja?This is saddening!
 
Mpe POLE SANA Bro... Kama huyo wifu kakubali tukio na haja mpa hata hope Bro... Inakua ni kama vile wifu hana regrets ya alicho fanya.. Mi ushauri wangu amuache tu... Atakua anauhakika gani kwamba ata rudia tena?? Na uhaminifu utakua umepungua kwenye ndoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom