Brithday ya February 29 - Utata!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Brithday ya February 29 - Utata!?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by SMU, Feb 27, 2012.

 1. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Tarehe 29 February ('leap day'), ni tarehe inayojitokeza katika baadhi ya miaka tu (i.e. miaka inayogawanyika kwa 4 lakini isiyogawanyika kwa 100 - ukiacha ile inayogawanyika kwa 400).

  Sasa kwa watu waliozaliwa February 29, wanasherekea vipi siku zao za kuzaliwa katika miaka ambayo haina taraehe hii?

  Vipi yanapokuja masuala la kisheria (kwa hapa Tz) inakuwaje? - Kwa mfano ni siku gani sheria itamtambua kijana aliyezaliwa February 29, mwaka 1996 kama amefikisha miaka 18? (Note: Mwaka 2014, ni mwaka mfupi - hautakuwa na tarehe 29 February).

  Tukipata uzoefu kutoka kwa watu au wazazi wenye watoto waliozaliwa tarehe hii itakuwa njema zaidi.

  [Ooops!, the word "brithday" in the heading should read "birthday"]
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Inabidi washerehekee before...hahahaaaa imekula kwao mazima aisee
   
 3. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,245
  Likes Received: 2,930
  Trophy Points: 280
  Hii ngumu sana ila nadhani wataalam wa sikukuu za kuzaliwa wakija watatuambia trh hii uliyotaja kwa miaka ambayo haipo wanasherehekeaje?
   
 4. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Yaani huwa napata shida kidogo kujua inakuwa vipi Birthday Party ya watu waliozaliwa February 29 haswa kwa mwaka mfupi unaoishia February 28 !
   
Loading...