Brings back Moses Lijenje campaign

Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake,hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao,na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia.
Bring back Moses Lijenje.
 
Makomandoo mliostaafu wote na kufukuzwa KJ 92 fanyeni jambo kunusuru hili Taifa na aibu hii kubwa
Huu ni mjadala unaoojitegemea na ingekuwa vema kama ungeitendea haki kwa kuianzisha chapisho linalojitejemea. Naamini muitikio utakuwa mkubwa kwa jinsi Watz wamevyochoshwa na hawa walioaminiwa na wakakabidhiwa silaha. Matokeo yake wamepoteza uaminifu kwa umma. Hawaaminiki tena. Nazungumzia polisisiem
 
Wakuu kutokana na yanayoendelea kwenye kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake,hatuna budi kupaza sauti zetu kuisaidia familia ya Komandoo Moses Lijenje kujua status ya hali ya mpendwa wao,na pia kupaza sauti zidi ya matendo ovu ya jeshi la Polisi Tanzania dhidi ya RAIA wasiokuwa na hatia.

Bring back Moses Lijenje.

Jumbe Brown tushirikiane kumtaja Sirro kumrejesha Moses Lijenje:

IMG_20210928_193047_864.jpg

akiwa hai na salama.

Uswahilini haukubaliki.
 
Back
Top Bottom