Bring Back our Miss Chagga

Bring Back our Miss Chagga

iliniuma sana nachat nae vizuri pm,ghafla nikituma SMS haiendi,natafakari what's wrong nkachungulia profile...damn sikuamin pale nlipokuta banned,I really miss you miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wengine....naomba kusema wazi tummiss miss chagga humu

Najua yuko ban

Lakini mashabiki wake wa humu tunamkosa

Tunamuombea msamaha kwa mods...Tafadhali Mods Mhurumieni Miss chagga...

Bring back our miss chagga

Mtueleze, kapigwa ban kwasababu gani sio mnasema tu kapigwa ban halatu hatuelewi.

Yule ni member mwenzetu, so tunatakiwa tufahamu wht happene ili kama kuandamana kuelekea kwa mods ijulikane.
 
Mie hata sijui kwanini Honey Faith.. Sema huyu mwanao miss chagga nae ni mwingi.. Labda ameingilia anga za mtu na sasa anataka kum-gwamanya lol..

Ha ha ha ha Dragoon kumbe unajua aliko duuh.. Japo uko loyal kwa kaka yako naomba umnnong'oneze japo sikioni kwamba ninam-miss..

Hiyo Mkuu haiwezekani, labda nimshutue tue mhusika (miss chagga) nimwambie huku JF wamekumiss, atoe japo Hi
 
Naona na wewe una hamu na Ban....huyo ni mfalme wa JF mamods wote mfukoni

Duuh wanipige tu ban kusema kweli lakini kumuita mtu --------- siachi.. Kwanza hicho ni cheo kikubwa halafu sijamtaja jina mtu hapa..
 
Wana JF miss chagga anawapa Hi... Lakini mods msimind mimi ni mjumbe tu
 
napenda sana comments zake....Plis lift the ban
 
teh teh tuanzishe mgomo hakuna kulog in mpaka arudi
au wamuite kova tuongee nae:biggrin1:
 
Kwa heshima na taadhima na kwa niaba ya wengine....naomba kusema wazi tummiss miss chagga humu

Najua yuko ban

Lakini mashabiki wake wa humu tunamkosa

Tunamuombea msamaha kwa mods...Tafadhali Mods Mhurumieni Miss chagga...

Bring back our miss chagga

Katika pitapita zangu niliona comment yake jukwaa la siasa mada ya Zitto na ACT, labda utani wake alipoandika commengi ifuatayo: "miss chagga you don't have permission to access this thread..." May be ni utani ulipitiliza, la sivyo kuna kingine kizito zaidi. Kama ni hii tu kwangu nafikiri ilitakiwa maangalisho tu huko in box toka kwa hawa administrators.
 
Nna shida na MoDs mkuu nawapataje?

Wana nyodo hao...kila mmoja yupo kwwny kigeto chake na kilaptop, basi wanaona wamemaliza maisha! Otherwise wangekuwa wana customer care nzuri (kujibu requests mbalimbali), ukilalamika tu post inarushwa kwenye "Complaints", ndo bac tena. niche ya IT ni watu wenye viburi sana. na IT yenye copy paste tu hamna lolote
 
Mwanangu watakuburn haya mi nna shida na wao kuna Ka karequest nataka kuwapa bana
 
Back
Top Bottom